Wewe
Tindo unaongea ki- visasi zaidi ya uhalisia!
Anaweza asiwe na nguvu kwako na Chadema yenu!
Bashiru wa ile CUF sio huyu wa leo!
This is another Bash-Law!
Lakini kwa CCM wanajua nguvu yake!
Ni Bashiru pekee anayejua wezi wote na uizi wao wote ndani na nje ya CCM!
Bashiru nje ya CCM kwa sasa ni hatari kuliko akiwa ndani ya CCM hiyohiyo!
Ni Bashiru pekee aliyezunguka nchi nzima kuratibu mali za CCM na kuzirudisha zile ambazo walikwishapora hao mnaowaita Makada na mimi nikiwaita "Makuda" wa chama!
Ni Bashiru huyohuyo aliezunguka nchi nzima na kuratibu uchaguzi uliowaweka madarakani 2020!
Je!
Kwa mtu timamu unayeelewa siasa,kwako huyo mtu ni wa kupuuzwa!
Je!
Wadhani Bashiru amekurupuka ovyo bila kuwa na kitu behind the scenes?
Mbona hujiulizi imekuwaje Ndugai na Bashiru wote wana trend at the same Period?
Tena wote wakiwa hapohapo Dodoma?
Vitu vingine kama huvielewi ni vema ukaviacha kushoto.
Sio kila mmoja mnambebesha hasira zenu za "kijiwe".