Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake ,najua sasa Dkt.Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya Polepole na ni heri nguvu hiyo ikatumika akiwa ndani.
Dkt.Bashiru ni hatari sana kwa CCM akiwa nje ya CCM ,ni hatari sana.
Bashiru ni katil;i kama Jiwe Mzilankende. Sikiliza wenye akili wanavyomfafanua na kumuona (sorry hii clip nimeshaiweka JF may be inajaza server yao)Bashiru aliekua na heshima ni yule wa enzi akiwa mkufuzi pale chuo kikuu!!
Bashiru akajiharibu alipopewa madaraka na mzila kende,akavimbirwa kwa kula na mikono na miguu huku akiwatapikia watu mabaki ya shibe take.
Kauli zake za ulevi wa madaraka zinatosha kumfanya kibaraka huko CCM na kuufyata!!
Nguvu ya dola na uchawa.CCM hakuna mwenye nguvu hata mmoja hawa wote wanategemea nguvu ya Dola tu
Hata mm namshangaa mleta mada anasema Bashiru ana nguvu. Sijui nguvu gan? Kama ana nguvu si angeanzisha chama chake? Maana qmenyanyasika sana......kutoka Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge viti vya kupewa.!!? Hana nguvu yoyote. Soon akitishwa atakuwa kimya kama Ndugai.Ana nguvu gani, miaka yote alikuwa CUF na hakuwa na nguvu yoyote ya maana. Alipoingia CCM hakuna chochote alioffer kwenye uga wa siasa zaidi ya kutembelea kiburi cha madaraka ya Magufuli. Huyo ukimtoa hapo kwenye huo ubunge wa mchongo anarudia yale mashati yake ya zamani yaliyochakaa. Kama ana nguvu kweli, basi ni za kishirikina na sio za kisiasa.
Nguvu gani aliyonayo huyo? Si anafinywa tuu fasta afu anaufyata.Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya Polepole na ni heri nguvu hiyo ikatumika akiwa ndani.
Dkt. Bashiru ni hatari sana kwa CCM akiwa nje ya CCM, ni hatari sana.
Wewe Tindo unaongea ki- visasi zaidi ya uhalisia!Ana nguvu gani, miaka yote alikuwa CUF na hakuwa na nguvu yoyote ya maana. Alipoingia CCM hakuna chochote alioffer kwenye uga wa siasa zaidi ya kutembelea kiburi cha madaraka ya Magufuli. Huyo ukimtoa hapo kwenye huo ubunge wa mchongo anarudia yale mashati yake ya zamani yaliyochakaa. Kama ana nguvu kweli, basi ni za kishirikina na sio za kisiasa.
Kama Lowasa na mtandao wake wote alishindwa kuna mtu ataweza tena Bashiru wa CUF?Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya Polepole na ni heri nguvu hiyo ikatumika akiwa ndani.
Dkt. Bashiru ni hatari sana kwa CCM akiwa nje ya CCM, ni hatari sana.
kamfufueni magufuli basi.Wewe Tindo unaongea ki- visasi zaidi ya uhalisia!
Anaweza asiwe na nguvu kwako na Chadema yenu!
Bashiru wa ile CUF sio huyu wa leo!
This is another Bash-Law!
Lakini kwa CCM wanajua nguvu yake!
Ni Bashiru pekee anayejua wezi wote na uizi wao wote ndani na nje ya CCM!
Bashiru nje ya CCM kwa sasa ni hatari kuliko akiwa ndani ya CCM hiyohiyo!
Ni Bashiru pekee aliyezunguka nchi nzima kuratibu mali za CCM na kuzirudisha zile ambazo walikwishapora hao mnaowaita Makada na mimi nikiwaita "Makuda" wa chama!
Ni Bashiru huyohuyo aliezunguka nchi nzima na kuratibu uchaguzi uliowaweka madarakani 2020!
Je!
Kwa mtu timamu unayeelewa siasa,kwako huyo mtu ni wa kupuuzwa!
Je!
Wadhani Bashiru amekurupuka ovyo bila kuwa na kitu behind the scenes?
Mbona hujiulizi imekuwaje Ndugai na Bashiru wote wana trend at the same Period?
Tena wote wakiwa hapohapo Dodoma?
Vitu vingine kama huvielewi ni vema ukaviacha kushoto.
Sio kila mmoja mnambebesha hasira zenu za "kijiwe".
Una huruma sana na CCMNaombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya Polepole na ni heri nguvu hiyo ikatumika akiwa ndani.
Dkt. Bashiru ni hatari sana kwa CCM akiwa nje ya CCM, ni hatari sana.
Hawawezi kumuweka karibu sababu ya itikadi yake! Bashiru anawajua vizuri ao viongozi wenzake kuwa ni walafi na waroho sana. Ukimuweka Bashiru jua Polepole atasogezwa na Bashiru sababu ya itikadi yao ni moja, anachoamini Bashiru ndicho anachoamini Polepole na ndicho anachoamini Prof Kabudi! Usione haya mapambano ila wanapambana na mengi.Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.