Kama ana nguvu akabebe maweNaombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya Polepole na ni heri nguvu hiyo ikatumika akiwa ndani.
Dkt. Bashiru ni hatari sana kwa CCM akiwa nje ya CCM, ni hatari sana.
Wewe Tindo unaongea ki- visasi zaidi ya uhalisia!
Anaweza asiwe na nguvu kwako na Chadema yenu!
Bashiru wa ile CUF sio huyu wa leo!
This is another Bash-Law!
Lakini kwa CCM wanajua nguvu yake!
Ni Bashiru pekee anayejua wezi wote na uizi wao wote ndani na nje ya CCM!
Bashiru nje ya CCM kwa sasa ni hatari kuliko akiwa ndani ya CCM hiyohiyo!
Ni Bashiru pekee aliyezunguka nchi nzima kuratibu mali za CCM na kuzirudisha zile ambazo walikwishapora hao mnaowaita Makada na mimi nikiwaita "Makuda" wa chama!
Ni Bashiru huyohuyo aliezunguka nchi nzima na kuratibu uchaguzi uliowaweka madarakani 2020!
Je!
Kwa mtu timamu unayeelewa siasa,kwako huyo mtu ni wa kupuuzwa!
Je!
Wadhani Bashiru amekurupuka ovyo bila kuwa na kitu behind the scenes?
Mbona hujiulizi imekuwaje Ndugai na Bashiru wote wana trend at the same Period?
Tena wote wakiwa hapohapo Dodoma?
Vitu vingine kama huvielewi ni vema ukaviacha kushoto.
Sio kila mmoja mnambebesha hasira zenu za "kijiwe".
Hivi na wewe unadhania system itamuacha tu bila ya kufukua maskeleton yake yaliyojificha?Je!
Kwa mtu timamu unayeelewa siasa,kwako huyo mtu ni wa kupuuzwa!
Je!
Wadhani Bashiru amekurupuka ovyo bila kuwa na kitu behind the scenes?
Mbona hujiulizi imekuwaje Ndugai na Bashiru wote wana trend at the same Period?
Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya Polepole na ni heri nguvu hiyo ikatumika akiwa ndani.
Dkt. Bashiru ni hatari sana kwa CCM akiwa nje ya CCM, ni hatari sana.
Kwahiyo apewe Asali ??!!Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya Polepole na ni heri nguvu hiyo ikatumika akiwa ndani.
Dkt. Bashiru ni hatari sana kwa CCM akiwa nje ya CCM, ni hatari sana.
Labda Asali imenoga !!Nyakati kama hizi wakati fisiemu inayumba cdm walitakuwa kuwa strong but sijui kimepatwa na nini kama hawapo vile
Bashiru ni katil;i kama Jiwe Mzilankende. Sikiliza wenye akili wanavyomfafanua na kumuona (sorry hii clip nimeshaiweka JF may be inajaza server yao)
We differ in the level of integrating issues, particularly those involving higher mental faculties. Kama huoni alichoongea basi level yako ya integration ni questionable!Sioni kitu cha maana alichokiongea huyu jamaa....anaimba ngojera tu...sijui Bashiru halisi Bashiru mlevi...
Aliongea vitu sahihi kwa wakati sahihi period...
We differ in the level of integrating issues, particularly those involving higher mental faculties. Kama huoni alichoongea basi level yako ya integration ni questionable!
Ana nguvu gani, miaka yote alikuwa CUF na hakuwa na nguvu yoyote ya maana. Alipoingia CCM hakuna chochote alioffer kwenye uga wa siasa zaidi ya kutembelea kiburi cha madaraka ya Magufuli. Huyo ukimtoa hapo kwenye huo ubunge wa mchongo anarudia yale mashati yake ya zamani yaliyochakaa. Kama ana nguvu kweli, basi ni za kishirikina na sio za kisiasa.
Bashiru hawezi kuwa hatariiiiNaombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana.
Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM.
Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya Polepole na ni heri nguvu hiyo ikatumika akiwa ndani.
Dkt. Bashiru ni hatari sana kwa CCM akiwa nje ya CCM, ni hatari sana.
Na huyo panzi wa kigogo lusinde nae kubweka kumhusu Dr.BashiruAnachomaanisha ni ukaaji wake wa kuwa katibu mkuu wa ccm na katibu mkuu kiongozi
It's very possible akawa anajua mengi ambayo wengi hawayajui
Kwa chama cha mapinduzi kuwa katibu mkuu ni cheo kikubwa Sana na kina maamuzi makubwa
Bashiru anajua wabunge wote ambao walishinda Kwa wizi wa Kura, anajua plan yote the way walifanya
Akianza kusema kweli ni hatari
Kuna siku bungeni kibajaji alisema kuwa mbunge yoyote ambae Yuko sure aliingia Bunge Kwa haki anyoshe kidole na wote walikaa kimya
Na huyo panzi wa kigogo lusinde nae kubweka kumhusu Dr.Bashiru
Kidagaa kama lusinde nacho eti kinabwata so sad.