CCM muwekeni Bashiru jirani ana nguvu sana kuliko balozi Polepole

Bwana Bashiru. Ana Heshimika na Atazidi kuheshimika sana. Maana ufanisi wa SERIKALI ya Awamu ya Tano Ulionekana hata na kipofu.

Huyu ni Mjamaa kindaki ndaki. Tunaanza kupata mashaka kwa Nini Halipochaguliwa kama Katibu kiongozi ndio Magufuli Akafariki?

Hapa kuna kitu kimejificha sana. Eidha kuna watu walijua kabisa michezo yao ndio imefika mwisho maana tuliona Impact Yake ndani ya CCM kama Katibu MKUU.
 
Hata angejua siri kiasi gani, hana lolote atafanya akiwa nje ya mfumo wa maamuzi. Tena hiyo kujifanya kujua siri ndio hatari zaidi kwake.
 
Hata angejua siri kiasi gani, hana lolote atafanya akiwa nje ya mfumo wa maamuzi. Tena hiyo kujifanya kujua siri ndio hatari zaidi kwake.

Hatari Kwa wengine pia
 
Impact ya wizi wa kura?
 
Kwa mtazamo wako Bashiru na Lowassa yupi hasa alikuwa mwiba kwa Ccm na ni yupi anaekubalika na jamii?
 
Ukishaweka nje ya system usitegemee uwe na nguvu mzee 😂😂 wakiamua kukulostisha ni mazimaa!!
 
Wew mjinga Yule jamaa ni daktari ujue
 
Wewe ndo mnafiki kabisa. Kwa akili yako unategemea kuwa Katibu wa Chama mpya ndani ya miaka 3 Sijui abadilishe katiba ya chama na nchi? Huo ndo unafiki wa hali ya juu, Tumia akili basi hata kidogo
 
Ukishaweka nje ya system usitegemee uwe na nguvu mzee 😂😂 wakiamua kukulostisha ni mazimaa!!
Bashiru ndio 'system' yenyewe. Jaribu na wewe kwenda kuongea na kundi lolote la kijamii kwa namna alivyofanya Bashiru juzi uone kama utarudi kuchati hapa JamiiForums
 
Bashiru Hana nguvu, Bibi Tozo hata nguvu za kuongea tu Hana.
 
Wew mjinga Yule jamaa ni daktari ujue

Hakuna tofauti ya mwenye elimu ya udaktari na mwenye elimu ya darasa la 7 hapa Tanzania. Labda udaktari wake unakutisha ww.
 
Hakuna tofauti ya mwenye elimu ya udaktari na mwenye elimu ya darasa la 7 hapa Tanzania. Labda udaktari wake unakutisha ww.
Yule siyo wa level ya kukosa chakula wew utakuwa humjui
 
Wewe ndo mnafiki kabisa. Kwa akili yako unategemea kuwa Katibu wa Chama mpya ndani ya miaka 3 Sijui abadilishe katiba ya chama na nchi? Huo ndo unafiki wa hali ya juu, Tumia akili basi hata kidogo
Kuwa katibu wa chama kwa miaka 3 ndo kulimfanya kutoa maneno ya shombo?

Ubongo wako kama unaonekana hata nukta ni kubwa!!
 
Hivi kati ya Mhe Edward Ngoyai Lowassa na Mhe Ally Bashiru nani mwenye nguvu nyingi?
Yuko wapi Lowassa hivi sasa?
 
Hivi kati ya Mhe Edward Ngoyai Lowassa na Mhe Ally Bashiru nani mwenye nguvu nyingi?
Yuko wapi Lowassa hivi sasa?
Kwahiyo Lowassa ndiyo atakuwa pekee mwenye nguvu hata miaka Mia moja ijayo ?? Kwahiyo jamii ni stagnant kbs?? Kuna watu sijui shule walienda kufanya nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…