CCM muwekeni Bashiru jirani ana nguvu sana kuliko balozi Polepole

Pole sana. Lowassa angeona hili bandiko lako angekutafuta na kukuchapa kofi.#usichezenasirikari
 
Sasa unazani anaweza kua na nguvu KULIKO hao wezi?.. sawa awaweke hadharani kua flan na flani wamekwiba Halafu next?.. kumbuka Ni Tanzania sio USA!.. hata akizijua Siri na akaweka wazi business as usual tutapiga story hiyo week mbili ngoma inalala
 
Sasa unazani anaweza kua na nguvu KULIKO hao wezi?.. sawa awaweke hadharani kua flan na flani wamekwiba Halafu next?.. kumbuka Ni Tanzania sio USA!.. hata akizijua Siri na akaweka wazi business as usual tutapiga story hiyo week mbili ngoma inalala
Hakuna sehemu yoyote amezungumzia wezi....yeye amezungumzia mifumo ya Maisha ya wanadamu na hata wanyama ambayo ni nature
 
Siasa zetu ni za kinyumbu zaidi, hazitabiriki kwa sababu aliye mbele akielekea kwenye mto wenye mkondo Kasi, au mamba wengi wote wanafuata na kujitumbukiza huko.
Wenye kufikiria kwa ajili yao na kundi (taifa) zima ni wachache sana.
Bahati mbaya zaidi, viongozi hawatafuti wenye akili ya kupingana na huo unyumbu, wanapendelea wenye unyumbu zaidi.
Hii ni changamoto kubwa sana
 
Reactions: Ame
Kama ulivyomnafiki wewe

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Rais = Bashiru
W/ Mkuu = Makonda
Waziri m/ndani = Sabaya

Hiyo ni nchi tena au Sobibo camp.
Tuacheni utani huu UHURU tulionao chini ya uongozi wa Mama Samia tutaukumbuka sana. Tuiombee nchi yetu pamoja na Rais wetu hao wasaka madaraka waliojaa chuki mioyoni mwao tuwaogope kama ukoma
 
Namba ya simu ???
 
Hahahaaa!! Zama zake zimekwisha. Yuko kama mandonga
 
Bashiru ndio 'system' yenyewe. Jaribu na wewe kwenda kuongea na kundi lolote la kijamii kwa namna alivyofanya Bashiru juzi uone kama utarudi kuchati hapa JamiiForums
Nan kakudanganya ww 😂😂 CCM wanajuana pia wanaangalia nn umefanya au nn umesema juu ya utawala but kama haina madhara kwao utaonywa na ukae kwa kutulia lkn ukijidai kichwa ngumu lazima ile kwako tu!! Au uombe msamaha refer wazee wetu mamvi, yule wa manyara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…