marcusgarvey
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 891
- 235
Mfumo wa CCM umeenda na Lowassa na Sumaye. Wote hawa ni mafisadi...wa Richmond, Epa, Radar na unyang'anyi wa viwanja vya wananchi huko Kilombero.
umeandika ukweli mzito sana , ubarikiwe sana .Barabara unazoziona nyingi zimejengwa kwa hela za wahisani,tunadaiwa trilion 1,barabara nyingi ziko chini ya kiwango na magufuli kazipitisha mfano dodoma iringa road,ni mbovu sijui kama itamaliza hata mwaka mmoja,ile dhana ya value for money hapa ni zero
CCM ni nambari one kwa kuwafilisi watanzania.ni namba moja kwa huduma mbaya za afya,ni namba moja kwa kushusha viwango vya elimu,ni namba moja kwa kuchochea umaskini.
machozi yananitiririka mkuu !wana tusi moja kubwa kwa watanzania na ambalo yawezekana watanzania wengi hawalifahamu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Laiti watanzania wangekuwa wana buy time na kulifikiria tusi hili sidhani kama leo hii chama hicho kingekuwepo madarakani
Hujakosea mkuu
Wewe unaona hali halisi sasa hivi kila kona majanga mpk wagombea wa CCM wenyewe wanasema hali mbaya mabadiliko lazima.Magufuli mwenyewe anasema ataleta mabadiliko ya China.
Si kweli kwamba wananchi wote wanataka UKAWA iingie Ikulu bali Mafisadi na Mawakala wao