CCM nambari wani

CCM nambari wani

Barabara unazoziona nyingi zimejengwa kwa hela za wahisani,tunadaiwa trilion 1,barabara nyingi ziko chini ya kiwango na magufuli kazipitisha mfano dodoma iringa road,ni mbovu sijui kama itamaliza hata mwaka mmoja,ile dhana ya value for money hapa ni zero
 
Mfumo wa CCM umeenda na Lowassa na Sumaye. Wote hawa ni mafisadi...wa Richmond, Epa, Radar na unyang'anyi wa viwanja vya wananchi huko Kilombero.

Aliyenunua bahewa feki mwakyembe,na hiyo pantoni mbovu inayotumia masaa 4 dar bagamoyo na kuzidiwa na ya azam inayotumia dk 45 mpaka zbar wakti hilo bovu mmenunua hela nyingi kuliko ya azam,na huyo twiga mlo mpakia kwenye ndege vp,na hiyo meli ya kinana ilokamatwa na pembe za ndovu?!!!! Ccm haifai hata kuongoza ujumbe wa nyumba kumi,ni sawa kumpa mchawi akulelee mtoto
 
huu uzi tangu uletwe humu umechangia kwa zaidi ya 50% kuing'oa ccm octoba , shukrani tena mkuu tpaul kwa wema wako wa kuweka wazi kila uchafu wa ccm .
 
Barabara unazoziona nyingi zimejengwa kwa hela za wahisani,tunadaiwa trilion 1,barabara nyingi ziko chini ya kiwango na magufuli kazipitisha mfano dodoma iringa road,ni mbovu sijui kama itamaliza hata mwaka mmoja,ile dhana ya value for money hapa ni zero
umeandika ukweli mzito sana , ubarikiwe sana .
 
CCM ni nambari one kwa kuwafilisi watanzania.ni namba moja kwa huduma mbaya za afya,ni namba moja kwa kushusha viwango vya elimu,ni namba moja kwa kuchochea umaskini.
 
wana tusi moja kubwa kwa watanzania na ambalo yawezekana watanzania wengi hawalifahamu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Laiti watanzania wangekuwa wana buy time na kulifikiria tusi hili sidhani kama leo hii chama hicho kingekuwepo madarakani
 
CCM ni nambari one kwa kuwafilisi watanzania.ni namba moja kwa huduma mbaya za afya,ni namba moja kwa kushusha viwango vya elimu,ni namba moja kwa kuchochea umaskini.

sikia mkuu wangu , kuna mambo yanatendwa na ccm nchi hii mpaka MWOVU shetani ameshika kiuno kwa mshangao !
 
wana tusi moja kubwa kwa watanzania na ambalo yawezekana watanzania wengi hawalifahamu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Laiti watanzania wangekuwa wana buy time na kulifikiria tusi hili sidhani kama leo hii chama hicho kingekuwepo madarakani
machozi yananitiririka mkuu !
 
Najiuliza lakini sipati majibu, hivi ccm imewakosea nini watanzania mpaka waamke kwa pamoja na kutaka mabadiliko kwa kuiingiza UKAWA IKULU? mwana jf lete point zako hapa
 
Wewe unaona hali halisi sasa hivi kila kona majanga mpk wagombea wa CCM wenyewe wanasema hali mbaya mabadiliko lazima.Magufuli mwenyewe anasema ataleta mabadiliko ya China.
 
Always people need changes. Hata wakati wa Nyerere wananchi walikuwa wanataka mabadiliko. Hivyo usishtuke sana. Hata Libya walikuwa wanataka mabadiliko
 
Wewe unaona hali halisi sasa hivi kila kona majanga mpk wagombea wa CCM wenyewe wanasema hali mbaya mabadiliko lazima.Magufuli mwenyewe anasema ataleta mabadiliko ya China.

mkuu umesomeka
 
Si kweli kwamba wananchi wote wanataka UKAWA iingie Ikulu bali Mafisadi na Mawakala wao
 
Tumechoka kuchemshiwa mawe nakupewa moyo a better tomorrow, we will bury them down down n down...
 
Merameta, Deepgreen ECSROW na EPA, rais anawajua wauza unga ila hawataji, maaana yake anauza nao unga; Elimu duni na Afya mbovu. Hayo kwa uchache ndo makosa ya CCM na inapaswa kuondoka haraka TZ.
 
Back
Top Bottom