CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa.

Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?

Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
 
Hizi hapa sababu
1. Watanzania ni wajinga wengi hawajasoma.

2. Watanzania ni washamba na hawana exposure

3. Watanzania ni waoga

4. Watanzania wengi ni maskini na wana njaa hivyo wananunulika

5. Ccm wanatumia nguvu ya dola na Pesa

6. Hivyo vitu vyote juu vinasababishwa/kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na CCm haohao
 
CCM.jpg
CCih 2.jpg
 
Wnatumia kila kitu kupata uongozi kibaya zaidi wanatumia mpaka GOLI LA MKONO
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa...
Na kwa bahati mbaya (au nzuri?) Watawala (Chama tawala) kinajua sana udhaifu wa 95% ya watanzania. Wape Simba na Yanga na utakuwa umewatoa kwenye kufikiria na kujadili mambo ya msingi yanayohusu maisha yao ya kila siku!!!!. Shida!!!!
 
Jwtz yaho

Polisi yao

Magereza yao

Mahakama yao

Thissss yao

Tume ya uchaguzi yao

Serikali,wizara zote yao

Bunge yao

Hivi hapo unatoboaje kwao

Ova
 
CCM inafanya kazi nzuri sana.

bado hakuna chama madhubuti cha upinzani chenye ubavu wa kuiondoa CCM madarakani.

kuna utitiri wa vyama vya upinzani zaidi ya 12!! cha kushangaza kwenye uchaguzi Mkuu kila chama kina simamisha mgombea wa uraisi!!!

CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa zaidi ya miaka 100.
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo? Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
CCM inafanya kazi nzuri sana.

bado hakuna chama madhubuti cha upinzani chenye ubavu wa kuiondoa CCM madarakani.

inawezekana ccm ikaendelea kuongaza Taifa letu kwa zaidi ya miaka 100
Wizi wa kura!
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.

Siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu ni Uwepo wa Mwenge, Mwenge ni kafara na zindiko la CCM.
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Siri ni Nyerere
 
Back
Top Bottom