CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

Hizi hapa sababu
1. Watanzania ni wajinga wengi hawajasoma
2. Watanzania ni washamba na hawana exposure
3. Watanzania ni waoga
4. Watanzania wengi ni maskini na wana njaa hivyo wananunulika
5. Ccm wanatumia nguvu ya dola na Pesa
6. Hivyo vitu vyote juu vinasababishwa/kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na CCm haohao
Sahihi 100% hamna lingine
 
Sababu ni kama ifuatavyo
1.Wanadahili vijana wa kuingia TISS kwa maelekezo ya kulinda na kufia chama hivyo ukimess up na CCM ni sawa umemesup na dolla au serikali direct
2.Mwenyekiti wake ndo raisi wa nchi ambapo ni rahisi sana kuacha mazingira ya kurithishiana madaraka na kuiba kura kirahisi
3.Uwoga wa Raia wa Tanzania tunatoa mchango mkubwa sana kufuga koo za wana CCM kuwa ndo watawala wetu milele na milele say Amiiiina kama unabisha check JPM alivyo
4.CCM wana intel yao ambayo imeconnectiwa na seriakali na inapatiwa full suport na Government
5.Bado tuna idadi kubwa ya wajinga ambao hawahui umuhimu wa kujaribu upande mwingine watu wamejikatia tamaa wakishinda njaa wanahisi ni mipango ya Mungu ndo maana wanaenda kurundikana kwenye makanisaa ya miujiza
 
Genge la wezi, watu wa dili na makatiri wanaojimilikisha nchi peke Yao na kuifanya kama kiwanda cha Kanga.
 
download (2).jpeg
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Wezi wa kura
 
CCM kinaongoza kwa muda mrefu barani Afrika na hakiwezi kutoka madarakani karibu kwasababu kinaongoza kwa kufuata mahitaji ya wakati ya Watanzania na hivyo kuonekana kipya wakati wote. Ebu angalia viongozi wake wanavyobadilishana uongozi kwa amani kabisa! Alianza Mwl. Nyerere. Akafuatia Mzee Mwinyi. Akaja Uncle Mkapa Kisha Mzee Kikwete. Baada yake akafuatia Jiwe Magufuli na Sasa tunaye Mama Samia. Hii inakifanya kiwe na maono mapya Kila uongozi mpya unapoingia!

Nenda upinzani kwa akina CUF, Chadema na wengineo. Mpaka wanachekesha! Tangu mwaka 1994, Prof. Lipumba Mwenyekiti hadi Leo! Ahahahahaha! Chadema wao siku akifa Mbowe na chama kinakufa! Ahahahahaha!!!
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
e6300b734588790671bdb0fb2a9b84ea.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Wapinzani wa nchi hii ndo hawaeleweki
 
Siri yao kuu mpaka wakawa madarakani mpaka muda huu ni kusiasisha vyombo vya dola basi.
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Hawa watu Kuna vitu wamefanya au wanafanya(vibaya).
1. Wanamajibu mepesi ya kudanganya wanainchi, mf wanahadaa watu kuwa CHADEMA/ACT NK HAWAJITOSHELEZI KUONGOZA INCHI HII.
2. Wameibia sana serikari, so wanaukwasi wa kumnunua yeyote. Mf wabunge wengi wanaondoka chadema kwenda ccm tu Kwa sababu ya njaa eg kafulila.
3.Wazee wa inchi hii wengi, wanamzimu wa Nyerere akilini mwao,
4. Wasomi na wafanyakazi, na wafanyabiashara wameaminishwa kuwa CCM ndo imeshikilia hatima ya ugali wao.
5. Jeshi la police, limekua sio la inchi Bali ccm.
6. CCM inachukiwa na watu wengi mno, ila ni waoga wa kufanya mabadiriko ya kuondoa ccm madarakani wakisema kutatokea vita.
VYOTE VINAUNDA MWENYE WENYE NGUVU, UNAO FANYA CCM IENDELEE KUWEPO MADARAKATI. MIMI BINAFSI NAICHUKIA CCM, EE MUNGU NAJUA UTAFANYA KWA WAKATI UTAKAOKUBARIKA. nanyamaza
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Kwa Tanzania hii sijaona chama cha kuitoa CCM MADARAKANI mpaka sasa
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Na bado watakaa sana kwani kiasili ni chama cha kupigania maendeleo ya umma. Upinzani wa ndani kwa ndani umeweza kufanya chama kubakia kwenye msingi wa kujali maslahi ya umma. Hii ndio imesababisha chama kukubalika huku wananchi wakiwa na mashaka na upinzani.
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Wana siri mbili. Mosi, ni mabingwa wa kuiba kura wakati wa uchaguzi na kuzuia wapinzani wao kufanya siasa kwa uhuru. Pili, Tanzania hakuna upinzani makini wala wa maana. Wengi ni wapigaji na CCM wanaotumia vyama kama maduka yao ya mifukoni kuganga njaa. Hivi unapokuwa na viongozi kama Lipumba, marehemu Mrema, Mbatia, Cheyo, na Zitto Kabwe unategemea nini? Mpinzani aliyewahi kutokea Tanzania ni shujaa Christopher Mtikila waliyemkolimba.
 
Back
Top Bottom