Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
- Thread starter
- #41
Pia naona CCM wamejitahidi sana kubalance suala la udini ndani yao. Utaona vyama vikubwa vyote vilivyowahi kutikisa. NCCR, CUF na CDM vinakuwa havijabalansi kidini. na ndiyo maana ACT haitafika mbali.Wana siri mbili. Mosi, ni mabingwa wa kuiba kura wakati wa uchaguzi na kuzuia wapinzani wao kufanya siasa kwa uhuru. Pili, Tanzania hakuna upinzani makini wala wa maana....
Tanzania dini kwenye siasa ni mwiko lakini lina nguvu sana. Chama kuwa na sura ya watu wote ni muhimu sana.