CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

Wana siri mbili. Mosi, ni mabingwa wa kuiba kura wakati wa uchaguzi na kuzuia wapinzani wao kufanya siasa kwa uhuru. Pili, Tanzania hakuna upinzani makini wala wa maana....
Pia naona CCM wamejitahidi sana kubalance suala la udini ndani yao. Utaona vyama vikubwa vyote vilivyowahi kutikisa. NCCR, CUF na CDM vinakuwa havijabalansi kidini. na ndiyo maana ACT haitafika mbali.

Tanzania dini kwenye siasa ni mwiko lakini lina nguvu sana. Chama kuwa na sura ya watu wote ni muhimu sana.
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Iko kwenye sanduku la kura
 
Hizi hapa sababu
1. Watanzania ni wajinga wengi hawajasoma
2. Watanzania ni washamba na hawana exposure
3. Watanzania ni waoga
4. Watanzania wengi ni maskini na wana njaa hivyo wananunulika
5. Ccm wanatumia nguvu ya dola na Pesa
6. Hivyo vitu vyote juu vinasababishwa/kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na CCm haohao
🤫
 
Wana siri mbili. Mosi, ni mabingwa wa kuiba kura wakati wa uchaguzi na kuzuia wapinzani wao kufanya siasa kwa uhuru. Pili, Tanzania hakuna upinzani makini wala wa maana. Wengi ni wapigaji na CCM wanaotumia vyama kama maduka yao ya mifukoni kuganga njaa. Hivi unapokuwa na viongozi kama Lipumba, marehemu Mrema, Mbatia, Cheyo, na Zitto Kabwe unategemea nini? Mpinzani aliyewahi kutokea Tanzania ni shujaa Christopher Mtikila waliyemkolimba.
Kwann Mchungaji Mtikila hakupa uungwaji mkono wa kutosha kutoka kwa Wananchi.
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Siri yao ni CHAMA TEULE kwa Tanzania iliyoteuliwa na kubarikiwa kwani Nabii Adam(A.S) aliishi Ngorongoro crater......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Iangalie Darfur.....

Mwangalie "Hemedti" Dagalo na mkuu wake wa majeshi hapo Sudan....

Iangalie Kenya na ukabila uliotopea.....

Rwanda ya mkono wa chuma....

Uganda isiyoeleweka....

Burundi yenye kujitafuta.....

Kongo wasiojitambua......

Malawi uliojikita "uzungu" usioendana na lindi la umaskini.....

Zambia iliyotapakaa WALEVI WA POMBE wanaovaa suti na kuongea kiingereza kisichoakisi maisha yao.....

Msumbiji ya mizozo ya Frelimo na RENAMO huku miongoni mwao wakijigeuza kuwa "kikundi cha kigaidi" na kutumia dini.....

Mtanzania si mjinga....

Hapana si Zwazwa.....

Nimekataa UHOBOBO kwa kuamua kuihuisha KADI YANGU YA CHAMA toka kipindi kile nikiwa Mwenyekiti wa tawi wa vijana hapo tawi la CCM Regency mkabala na kaya ya marehemu Kighoma Malima kwa ndugu katibu bwana Chacha......

Miongoni mwa fungu langu la 10 huwa ninaichangia CCM ili nipate radhi za thamani ya uhai.....wewe je?!!!!

#SiempreSSH[emoji120]

#SiempreCCM[emoji120]
 
Kwasababu ya kunyimwa kuongea kingereza na fursa ya elimu
Zambia wanaongea kiingereza kizuri...imebadilisha nini kwa wananchi wao wa kawaida?!!!

Kenya "wanabonga" haswa kuna lipi la ajabu kwa wavuja jasho wa Kibera?!!!

Uganda usiseme kwa "ya malkia"kuna lipi la ajabu hapo ?!!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Pia naona CCM wamejitahidi sana kubalance suala la udini ndani yao. Utaona vyama vikubwa vyote vilivyowahi kutikisa. NCCR, CUF na CDM vinakuwa havijabalansi kidini. na ndiyo maana ACT haitafika mbali. Tanzania dini kwenye siasa ni mwiko lakini lina nguvu sana. Chama kuwa na sura ya watu wote ni muhimu sana.
Agiza Togwa nakuja kukulipia [emoji2956]
 
Na bado watakaa sana kwani kiasili ni chama cha kupigania maendeleo ya umma. Upinzani wa ndani kwa ndani umeweza kufanya chama kubakia kwenye msingi wa kujali maslahi ya umma. Hii ndio imesababisha chama kukubalika huku wananchi wakiwa na mashaka na upinzani.
Agiza togwa hapo nina buku lako hapa....[emoji2956]
 
Ingekuwa ni Kenya ningetafuta sababu, ila hapa Tz watu bado wamelala, hakuna haja ya kutafuta sababu kwani inajulikana. Labda huenda na ujamaa umetuponza.
 
Ujinga na imani za kishirikina zimetamalaki katika jamii ya Watanzania.

Hata ibada za kidini zenye maudhui ya kishirikina (kimwili zaidi) zina nguvu kuliko ibada zilizojikita katika kweli na ukombozi wa roho ya mwanadamu.
 
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa.

Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?

Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Siri ni kwamba Tanzania hakuna Upinzani bali kuna waka asali tu
 
Back
Top Bottom