Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Mbona nchi nyingi za kiafrika Raia wake na ubabe wa serikali vipo namna hiyo.Hizi hapa sababu
1. Watanzania ni wajinga wengi hawajasoma...
Kwa sababu ya ujinga wa Watanzania. Hamna maelezo zaidi ya hayoChama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa...
Kwa sababu ya ujinga wa WaTanzania. Hamna maelezo zaidi ya hayo
Duh,poleMimi Jana nimejiondoa CCM rasmi sina chama CCM wamenipora Ardhi yangu
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Na kwa bahati mbaya (au nzuri?) Watawala (Chama tawala) kinajua sana udhaifu wa 95% ya watanzania. Wape Simba na Yanga na utakuwa umewatoa kwenye kufikiria na kujadili mambo ya msingi yanayohusu maisha yao ya kila siku!!!!. Shida!!!!Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa...
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo? Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Wizi wa kura!CCM inafanya kazi nzuri sana.
bado hakuna chama madhubuti cha upinzani chenye ubavu wa kuiondoa CCM madarakani.
inawezekana ccm ikaendelea kuongaza Taifa letu kwa zaidi ya miaka 100
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.
Siri ni NyerereChama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri nyingine ndani yao inayowafanya wakae madarakani muda mrefu hivyo?
Binafsi naogopa sana kuzeeka nchi ikiwa chini ya CCM.