johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!Yanatoka rohoni au una jambo lako rohoni?
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Hakika bwashee!Mama ana nia ya dhati ya kufuata utawala wa sheria ,tumwombee Mungu watanzania wote bila kujali itikadi zetu ,mama ataipeleka hii nchi panapostahili .
CCM itashinda kidemokrasia kabisa pamoja na kwamba mzee wa " goli la mkono " amepiga kambi huko!Ngoja tuone Buhigwe na wapi kule kwingine? kesho si ndiyo?
Mama Samia anaweza kuirudisha CCM kwenye Mioyo ya Wananchi, arudishe mchakato wa Katiba mpya na Tume HURU ya Uchaguzi
Hao ccm sasaKumekuwa na mabadiliko makubwa sana kati ya ccm ya mwenda zake na ccm ya Mama yetu...mabadiliko yaliyotokea kwenye mifumo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa ni kama zilikuwa CCM mbili tofauti.
Kuwa serious kidogo master.Mama kamfunika jiwe kwa kasi ya 9G
Jamaa kaniudhi kweli. Badala akamatie mpododo yeye anakamata shingo utadhani anataka kuchinja kuku! Inabidi arudishwe 'Baharia sec school' akapigwe brash.πππHao ccm sasaView attachment 1792637