CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

Mama Samia ,Mh Rais wa jamhuri ya Muungano,Popote ulipo utake usitake tutakuongezea Muda wa urais ili uendelee kutufundisha ustaarabu sisi malimbukeni ambao tukipata vyeo tunajiona miungu watu!!
 
Jamaa kaniudhi kweli. Badala akamatie mpododo yeye anakamata shingo utadhani anataka kuchinja kuku! Inabidi arudishwe 'Baharia sec school' akapigwe brash.[emoji41][emoji41][emoji41]

Hahahah[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Jamaa kaniudhi kweli. Badala akamatie mpododo yeye anakamata shingo utadhani anataka kuchinja kuku! Inabidi arudishwe 'Baharia sec school' akapigwe brash.[emoji41][emoji41][emoji41]
Huyo ni mke wa mtu. Shangaa
 
Back
Top Bottom