CCM ninayoijua siyo hii. Kamati ya Maadili ya CCM iko wapi?

Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa kalipio kali mkatibu wakuu wastaafu wa ccm taifa, Abdulrahman Kinana na mzee Yusufu Makamba?

Kwanini hivi sasa hii Kamati inaonekana kusuasua kumchukulia hatua kali mtu ambaye anaonekana wazi kumdhalilisha mhe rais waziwazi kwa kulibagaza baraza lake la mawaziri? Yaani mtu mmoja anajifanya kuwa na taarifa nyeti za nchi kuliko rais, na kuthubutu kumpa taarifa kuwa anatukanwa na mawaziri wake??

Mtu anayejitapa kuwa yeye na merehemu damudamu na hatowcha kufuata nyayo zake? Hee! CCM mnakwama wapi?

Fukuzeni huyu mtu ana-set precedence mbaya. Kuna siku ataibuka kichaa atakuja kuitumia hii precedence kufanya maovu zaidi na mtashindwa kumshughulikia. Aibu haina kwao. Nyoka hakaribishwi ndani na wala havumiliwi.

Huyu mtu kaanzia mbali sana:-
1. Alimpiga ngwala mzee Warioba.
2. Alimtukana Lowasa.
3. Alitaka kumpiga Nape na bastola.
4. Amelisingizia baraza la mawaziri kuwa linamtukana mhe rais.
5. Anatukana na kudhalilisha watumishi hovyo.
6. N.k.

Hakuna aliye salama.
Alimpiga Risasi ...Dodoma
 
ukifanya kazi kwa weledi kwani kuna mtu atakudhalilisha? hivi kati ya mkuu wa mkoa na yule dada nani alikuwa anamdhalilisha mwenzake? maana huwa tunawaita mheshimiwa .........lakini yeye anasema mkuu wa mkoa............
 
Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa kalipio kali mkatibu wakuu wastaafu wa ccm taifa, Abdulrahman Kinana na mzee Yusufu Makamba?

Kwanini hivi sasa hii Kamati inaonekana kusuasua kumchukulia hatua kali mtu ambaye anaonekana wazi kumdhalilisha mhe rais waziwazi kwa kulibagaza baraza lake la mawaziri? Yaani mtu mmoja anajifanya kuwa na taarifa nyeti za nchi kuliko rais, na kuthubutu kumpa taarifa kuwa anatukanwa na mawaziri wake??

Mtu anayejitapa kuwa yeye na merehemu damudamu na hatowcha kufuata nyayo zake? Hee! CCM mnakwama wapi?

Fukuzeni huyu mtu ana-set precedence mbaya. Kuna siku ataibuka kichaa atakuja kuitumia hii precedence kufanya maovu zaidi na mtashindwa kumshughulikia. Aibu haina kwao. Nyoka hakaribishwi ndani na wala havumiliwi.

Huyu mtu kaanzia mbali sana:-
1. Alimpiga ngwala mzee Warioba.
2. Alimtukana Lowasa.
3. Alitaka kumpiga Nape na bastola.
4. Amelisingizia baraza la mawaziri kuwa linamtukana mhe rais.
5. Anatukana na kudhalilisha watumishi hovyo.
6. N.k.

Hakuna aliye salama.
Mparaganyiko mwanana 👁

Makonda shikilia hapo hapo !
Watu wanamuona JPM ndani ya Wewe 👁
Nilikusikia ukiapa mbele ya alipolazwa JPM kwamba hutomsaliti hata ukiwekewa Bastola kichwani 👁

Keep it up 👍 mpaka kieleweke 👁
Simamia unachokiamini !
 
Back
Top Bottom