Wewe ndio haukumuelewa basi. Au hukusikia kuwa pia anaweka sawa kwenye makosa/kusahihisha ili mambo yaende vzr zaidi. Kubadili watendaji ni Jambo tarajiwa ili waweze kusimamia anayoamini kuwa ni marekebisho.
Hata JPM kuhusu TRA kwa mfano mara kadhaa alishasema hadharani kuwa hakuwatuma kunyanyasa watu. Kwa hatua hiyo sioni wapi ambapo wawili hawa si wamoja zaidi ya kuona propaganda zako za mitandaoni ambazo amezikemea ktk hotuba yake hiyo SSH.