CCM rudini shule mkasome Kiswahili. Rais Samia ni mwingi wa tafsida

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini machadema mnalazimisha ionekane mama hawapendi Magufuli na ccm na hatafanya na kuendeleza yale ya Magufuli?

Hivi inawezekanaje Samia akaongoza nje ya mifumo ya ccm na wana ccm?

Mbona michadema mnakuwa wajinga namna hii? Acheni kujioendekeza kwa mama bhana
 
Kwa kifupi rais SSH ameliambia bunge lipuuze ya mitandaoni
Hiyo ni ngumu, na haiwezekani! Maneno ya kudemka na kujibu midemko, yote wanapatia humu! Wewe mwenyewe, mama mwenyewe, wote hawawezi kuzima data!
 
Ni kikwazo tayari kwa timu chato bungeni - pigo kubwa!!
 
View attachment 1755807

Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha.

Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko.

Angekuwa sawa angemtumbua Bashiru?
Angekuwa sawa angepiga marufuku uporaji wa TRA?
Angekuwa sawa angetoa Uhuru wa vyombo vya habari?
Angekuwa sawa Safari za ndege za Chato zingesitishwa?

Muungwana ukimuomba kitu akikujibu "tutaangalia" ujue kakataa.
Sasa ninyi wakoromije endeleeni kupiga makofi.
Rais SSA ni professional public administrator kwa basic undergraduate degree. Hapo ametumia Law number 3 ya "Laws of Power" (Robert Greene) inasema "Conceal your intentions"

Kwa nini awapoteze mashabiki wa Mwendazake, kwa nini aanze kushindana nao? Anahitahi support yao angalao kwa kipindi fulani
 
Sasa walitegemea aseme yeye na Magufuli ni tofauti halafu aumize hisia za wafuasi wa Magufuli?
Mama katumia diplomasia ya kisiasa tu kutuliza mnyukano wa kisiasa ndani ya Chama.
Magufuli keshakufa harudi tena
Sio tuendelee kungojea pengine Gwajima yupo kwenye maombi ya kumfufua!
 
Duuh huna akili kwani wabunge sio sehem ya mtandaoni?Ila mama anajua lugha,mimi na Jpm kitu kimoja mazombie ya Lumumba yameshangilia,katika hali ya kawaida mlitaka aseme sio kitu kimoja?Kitu kimoja kwa nafasi ya urais sio matendo.

Wabunge mmojammoja ni sehemu ya mitandao mimi nimeliongelea bunge kama mhimili
Rudi kasome tena uelewew..... usikurupuke
 
Sasa walitegemea aseme yeye na Magufuli ni tofauti halafu aumize hisia za wafuasi wa Magufuli?
Mama katumia diplomasia ya kisiasa tu kutuliza mnyukano wa kisiasa ndani ya Chama.
Magufuli keshakufa harudi tena
Mama Samia akili kubwa kayaacha mazwazwa ya mwendazake njia panda
 
View attachment 1755807

Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha.

Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko.

Angekuwa sawa angemtumbua Bashiru?
Angekuwa sawa angepiga marufuku uporaji wa TRA?
Angekuwa sawa angetoa Uhuru wa vyombo vya habari?
Angekuwa sawa Safari za ndege za Chato zingesitishwa?

Muungwana ukimuomba kitu akikujibu "tutaangalia" ujue kakataa.
Sasa ninyi wakoromije endeleeni kupiga makofi.
Haya makoromije ni Bure kabsa
 
Sasa walitegemea aseme yeye na Magufuli ni tofauti halafu aumize hisia za wafuasi wa Magufuli?
Mama katumia diplomasia ya kisiasa tu kutuliza mnyukano wa kisiasa ndani ya Chama.
Magufuli keshakufa harudi tena
Kwa hiyo kama Magufuli kafa na ccm nayo imekufa?
 
View attachment 1755807

Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha.

Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko.

Angekuwa sawa angemtumbua Bashiru?
Angekuwa sawa angepiga marufuku uporaji wa TRA?
Angekuwa sawa angetoa Uhuru wa vyombo vya habari?
Angekuwa sawa Safari za ndege za Chato zingesitishwa?

Muungwana ukimuomba kitu akikujibu "tutaangalia" ujue kakataa.
Sasa ninyi wakoromije endeleeni kupiga makofi.
Ukiisiliza na kuichambua kwa utuo historia ya Mama Samia aliyoitoa mwenyewe kwenye kongamano la siku ya wanawake utagungua kuwa sio wa kwao kama wengi wa wanaccm wanavyofikiri. Sema walimbeba juu juu na kumtwiga majukumu ambayo hakuyatarajia.

Mama ni Muungwana sana sema mfumo uliomzunguka ni ngumu kujitenganao japo anajaribu kwa akili sana.

Mama anaonekana kutumia hekima na busara nyingi sana kwy mambo yake, anaonekana hapendi kukwazana na wenye nacho ila kupitia hekima hiyohiyo na busara anapata maarifa zaidi.

Bado nina imani naye na tayali kaonyesha utofauti mkubwa hata kumsikiliza tu anatoa dalili za faraja mbeleni.
 
Wabunge mmojammoja ni sehemu ya mitandao mimi nimeliongelea bunge kama mhimili
Rudi kasome tena uelewew..... usikurupuke
Huo mhimili unatoaje taarifa kwa umma kama haupo mtandaoni au unafikiri mtandaoni ni Jf tu
 
Sina uhakika sana ila kuhusu jf ila najua kule titwa kumejaa wazandiki wa kitanzania

Habari za uhakika ziko Tbc, channel10, itv, startv, azamtv.........
 
Back
Top Bottom