Halina tofauti na kijiwe cha genge la kahawa. Sio bunge lile, ni kikundi cha wendawazimu.Ndugai ndo kiongozi wa kukondesha bunge letu liwe na afya kama yake ndo maana mama kaona bunge na mijadala yake haina afya..
Kifupi hatuna bunge pale Dodoma..
Kwani wewe mkuu umehama kule umejiunga na ya CCM, au bado upo kule?View attachment 1755807
Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha.
Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko.
Angekuwa sawa angemtumbua Bashiru?
Angekuwa sawa angepiga marufuku uporaji wa TRA?
Angekuwa sawa angetoa Uhuru wa vyombo vya habari?
Angekuwa sawa Safari za ndege za Chato zingesitishwa?
Muungwana ukimuomba kitu akikujibu "tutaangalia" ujue kakataa.
Sasa ninyi wakoromije endeleeni kupiga makofi.
Tena ngoma yenyewe kibao kataSafi sana mama. Ngoma inapigwa mtandaoni inachezwa bungeni. Tena wabunge wanaicheza sana ngoma utafikiri bungeni ni sehemu ya KUCHEZA NGOMA!!
Kama atakomesha utekaji,utesaji na uuaji wa wapinzani na kukomesha wizi wa kura tutampa sapoti kubwa kuiponya nchi yetu then tutaonana 2025Kwa hiyo Bavicha mmekubaliana kumuunga mkono mama?
Jpm alipenda demokrasia?Rais amesema kuna kuboresha kwenye baadhi ya maeneo. Hili ni pamoja na kubadilisha viongozi kadhaa wasiona tija. Hicho hakikwepeki hata haysti JPM mara kadhaa alibadilisha watu na taratibu, hilo ni zoezi endelevu kwenye uendeshaji wa serikali.Haina maana wanatofautiana na JPM.Ila Kimsingi,kisera na mwelekeo ni wazi atafuata nyao za JPM kasema.
Baada ya MO kutekwa magufuli wako alifanya nn?Wewe ndio haukumuelewa basi. Au hukusikia kuwa pia anaweka sawa kwenye makosa/kusahihisha ili mambo yaende vzr zaidi. Kubadili watendaji ni Jambo tarajiwa ili waweze kusimamia anayoamini kuwa ni marekebisho. Hata JPM kuhusu TRA kwa mfano mara kadhaa alishasema hadharani kuwa hakuwatuma kunyanyasa watu. Kwa hatua hiyo sioni wapi ambapo wawili hawa si wamoja zaidi ya kuona propaganda zako za mitandaoni ambazo amezikemea ktk hotuba yake hiyo SSH.
View attachment 1755807
Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha.
Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko.
Angekuwa sawa angemtumbua Bashiru?
Angekuwa sawa angepiga marufuku uporaji wa TRA?
Angekuwa sawa angetoa Uhuru wa vyombo vya habari?
Angekuwa sawa Safari za ndege za Chato zingesitishwa?
Muungwana ukimuomba kitu akikujibu "tutaangalia" ujue kakataa.
Sasa ninyi wakoromije endeleeni kupiga makofi.
Ulitaka wasimuungeKwa hiyo Bavicha mmekubaliana kumuunga mkono mama?
Mokazeee,vipi tena,mbona hivyo.Not only sexless but also senseless.
Niww unaejidhirishia kabisa ni Mataga msukuma wa Lumumba kwa ku reply kitu kisichokuhusu..Au ni wewe ndiyo mwenye low thinking capacity kwa kushindwa kufanya analysis ya maneno aliyozungumza leo.
Wademke tu kumbe Zero brain tupo wengiKwa kifupi rais SSH ameliambia bunge lipuuze ya mitandaoni
Kama navyopataga mori na kuweza kuruka juu na mikuki yenu kwa furahaKudemka ndio nini jamani mtusaidie sie wamasai mie nafikiri ni kulendemuka
Tumejionea wako tofauti sana ,hata zile rumours kua mwaka fulani alumsusia mwendazake nimeziamini [emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna cha usawa. Kamwe hawawezi kuwa sawa
Hakuwatuma?? Seriously??Hata JPM kuhusu TRA kwa mfano mara kadhaa alishasema hadharani kuwa hakuwatuma kunyanyasa watu
Duuh huna akili kwani wabunge sio sehem ya mtandaoni?Ila mama anajua lugha,mimi na Jpm kitu kimoja mazombie ya Lumumba yameshangilia,katika hali ya kawaida mlitaka aseme sio kitu kimoja?Kitu kimoja kwa nafasi ya urais sio matendo.Kwa kifupi rais SSH ameliambia bunge lipuuze ya mitandaoni