Kwa majibu haya huna sababu za kuhoji tume ya Warioba. Ingekuwa ni rahisi kiasi hicho tungeshapata katiba. Hata wewe mwenyewe unaona aibu kueleza maana ni aibu ab initioKodi, mikopo na mainly misaada
Mku hiyo ilikuwa ni njama ya kukwepa hoja. Kila jitihada inafanyika kuingiza S3 katika mjadala. Ni jambo zuri kwasababu S3 zinahoja. Kuna kurasa 106 na zaidi. S2 hakuna hoja ndiyo hayo ya mke, mchumba n.k.Kobello please, hapa ni JF; hiyo analogy ya mke is below your dignity...tafadhali usitupeleke huko. On second thought, may be I jumped the gun...tafadhali naomba ufafanuzi; katika mada tuliyo nayo, ni nani huyo unayemsema kwamba pamoja na kutegemea msaada bado anataka kuongeza mke?
Mimi ninachosimamia ni kutokuwepo kwa federation. Hasa kwa federation inayoundwa na nchi mbili tofauti.Ok kama unadhani njia njema ni kuvunja tugawane mbao kwanini unatetea S2?
Hilo la rasimu ya CCM , endapo rasimu ya CCM kutetea S2 haipo (assume), kwa maneno mengine CCM na akina Kobello na MwanaDiwani wanataka S2 kwasababu wanataka tu.
Hawana sababu wala hoja kwanini wanataka 2. Kungekuwa na hoja mbadala ungepatikana.
Hivi hapa huoni Warioba anasimama wima.
Yeye kaonyesha kitu hata kama hamkubaliani nacho.
Vipi mnachokubaliana nacho cha S2 kiko wapi?
Kwavile hakuna hoja za kukubaliana na Warioba, hoja kuu sasa ni kumdhalilisha, kumshambulia na kuzusha uongo.
Kobello sera za Lukuvi makanisani ndizo S2 imara na hakika mnasimama kutetea hilo?
Kobello, jeshi halitakuwa na fedha za kutosha, tuelezeni za sasa zinatoka wapi?
Serikali ya shirikisho haitakuwa na vyanzo vya uhakika, tuonyesheni vya sasa vinapatikanaje
Bunge la Tanzania bara (nchi ya ahadi) litakuwa linahudumiwa na serikali gani?
Kama hayo hamna majibu lipo hili rahisi
Kwa maiaka 50 kwanini kero hazikumalizwa hadi kutishia uhai wa muungano?
Ninyi wa S2 mnadhani nini kifanyike kwasasa tofauti na mapendekezo ya Warioba?
Ni ajabu kumshambulia Warioba kukiwa hakuna karatasi mezani kuonyesha mnataka kufanya nini.
Kama ni hayo ya Lukuvi fungukeni msione aibu.
[/FONT][/SIZE]
Tatizo lako wewe ni kukariri talking points. Ni kama mtu fulani ambaye ushaamini mambo fulani ni lazima yaende na mambo fulani.Kwa majibu haya huna sababu za kuhoji tume ya Warioba. Ingekuwa ni rahisi kiasi hicho tungeshapata katiba. Hata wewe mwenyewe unaona aibu kueleza maana ni aibu ab initio
Sitetei watanzania, natetea hoja ambayo pia inaungwa mkono na watanzania wengi walitoa maoni kwa tume ya mabadiliko ya Katiba. Wewe na MwanaDiwani mnatetea "ujinga", kwa kuazima maneno ya Mwalimu kwamba yapo ya maana na yapo ya kijinga kufanyia wananchi. Ujinga mnaotetea nimeujadili kwenye mabandiko yangu ya awali, lakini mmekuwa hodari wa kukwepa hoja iliyo mbele yenu, na badala yake kubwabwaja tu kama mlivyofundishwa na kukaririshwa na kina Nape na Mwigulu.MwanaDiwani
Katika dunia kuna watu ni vituko huyu Mchambuzi ni mmoja katika vituko hivyo; hivi inakuingia akilini kwamba Mchambuzi yupo hapa kupayuka kwa minajili ya kutetea watanzania wa kawaida??.
Asilimia 76 ya wazanzibari walitoa maoni yao kuhusu muungano, na asilimia 6 ya watanzania bara walitoa maoni yao kuhusu muungano.
Asilimia 14 ya watanzania walitoa maoni yao juu ya muungano. Wazanzibari kwa ujumla walizungumzia muungano na watanzania bara waigawaqnmyika katika issues mbalimbali.
Huwezi kumuuliza mtoa maoni, ni suala lipi linamtatiza, halafu umpe limit ya kuzungumzia suala moja. Halafu uca-compile data na kusema asilimia kubwa ya watanzania walizungumzia muungano; Hapo utakuwa umekosea.
Ingetakiwa watu 200,000 walizungumzia muungano, 101,000 walitaka serikali tatu ... hapo utaconclude kuwa majority walitaka serikali 3.
Jedwali na taarifa zimekanganya watu, kubalini tu.
Naomba tafsiri yako kwa hili jedwali hapo chini ili nione tafsiri yako ni kwa muundo tu au mambo mengine.
Warioba said:Tume ilianza kazi kwa madhumuni ya kupata maoni ya wananchi ili kuboresha Muungano. Wananchi wengi waliotoa maoni kuhusu Muungano, walijikita kwenye Muundo wake kama njia ya kuondoa kero. Kwa Tanzania Bara, wananchi zaidi ya 39,000 walitoa maoni kuhusu Muungano na kati ya hao, karibu 27,000 walizungumzia muundo. Kwa Zanzibar, wananchi karibu wote waliotoa maoni walijikita kwenye suala la Muungano. Kati ya wananchi karibu 38,000 waliotoa maoni kuhusu Muungano, wananchi 19,000 walitoa maoni kuhusu muundo wa Muungano. Mchanganuo wa takwimu hizi unaonyesha kuwa wananchi waliotoa maoni kuhusu muundo wa Muungano kwa upande wa Tanzania Bara, 13% walipendelea Serikali Moja, 24% walipendekeza Serikali Mbili na 61% walipendekeza Serikali Tatu. Kwa upande wa Zanzibar, 34% walipendekeza Serikali mbili na 60% walipendekeza Muungano wa Mkataba, na 0.1% (watu 25)walipendekeza Serikali Moja
Sitetei watanzania, natetea hoja ambayo pia inaungwa mkono na watanzania wengi walitoa maoni kwa tume ya mabadiliko ya Katiba. Wewe na MwanaDiwani mnatetea "ujinga", kwa kuazima maneno ya Mwalimu kwamba yapo ya maana na yapo ya kijinga kufanyia wananchi. Ujinga mnaotetea nimeujadili kwenye mabandiko yangu ya awali, lakini mmekuwa hodari wa kukwepa hoja iliyo mbele yenu, na badala yake kubwabwaja tu kama mlivyofundishwa na kukaririshwa na kina Nape na Mwigulu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ungeweza kuandika bila matusi na kueleweka vema tu.Bado unadhihirisha ujinga wako; wewe unatetea nafsi yako au watanzania?? watanzania sio mahayawani wanajua wanachokitaka; wewe unatumika tu hao watanzania unaowatetea wewe wako wapi??? watanzania wapo shwari wanasubiri wapelekewe machakato wautolee maamuzi; wewe endelea kutumika utapayuka kama uliyekunywa maji ya chooni lakini huna utakachofanikiwa.
chama,Bado unadhihirisha ujinga wako; wewe unatetea nafsi yako au watanzania?? watanzania sio mahayawani wanajua wanachokitaka; wewe unatumika tu hao watanzania unaowatetea wewe wako wapi??? watanzania wapo shwari wanasubiri wapelekewe machakato wautolee maamuzi; wewe endelea kutumika utapayuka kama uliyekunywa maji ya chooni lakini huna utakachofanikiwa.
Mchambuzichama,
Unatumika lakini bado unatafuta kutumika ili uweze kutumikia tumbo lako vilivyo. Hauwezi kujifananisha na mimi, wewe ni mtu unayelipwa na Lumumba elfu kadhaa kwa siku just to make a statement for ccm. Mimi nilishaingia humo lakini nimeona hatari iliyipo kwa ccm na muungano, so I decided to side na maoni ya wananchi kwani wao ndio waamuzi. Given my background, if I wanted kutumikia ujinga (refer mwalimu), ningekuwa maili elfu moja mbele yako na hata MwanaDiwanin lakini nimeona mantiki ipo wapi, siwezi tetea ujinga (refer mwalimu).
Rejea mabandiko yangu ya awali - serikali mbili zilizoboreshwa zinadumisha na kuboresha vipi muungano? Kwanini unakimbia kujibu hii hoja?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
chama unavuruga mjadala, inaonekana umepotea njia kuingia humu, hii hoja inakuzidi kimo...umekazania tu kutukana na kujadili watu, hapakufai hapa, yaonekana haujui hata mada inayoongelewa inahusu nini!
chama unavuruga mjadala, inaonekana umepotea njia kuingia humu, hii hoja inakuzidi kimo...umekazania tu kutukana na kujadili watu, hapakufai hapa, yaonekana haujui hata mada inayoongelewa inahusu nini!
MchambuziHadi sasa chama hajajibu hoja, sijui kama anajua hilo. Serikali mbili zilizoboreshwa zitaboresha vipi muungano? Nimejadili kwanini maboresho hayo yatakuwa ni "kero zilizoboreshwa", na sio kingine. Sio yeye wala Mwanadiwani ambao wamejibu hoja hii.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nadhani mkuu unashindwa kutuelewesha hizo serikali mbili zilizoboreshwa zimeboreshwa vipi?Hadi sasa chama hajajibu hoja, sijui kama anajua hilo. Serikali mbili zilizoboreshwa zitaboresha vipi muungano? Nimejadili kwanini maboresho hayo yatakuwa ni "kero zilizoboreshwa", na sio kingine. Sio yeye wala Mwanadiwani ambao wamejibu hoja hii.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
chama, ndio maana nikawa na wasi wasi na uwezo wako katika kujadili hoja...cha kwanza kabisa unachosahau ni kwamba sisi wote, mimi na wewe tulikuwa waumini wazuri tu wa serikali moja. Tofauti na wewe ni kwamba sisi wengine hatutaki unafiki; we are realists who will call a spade a spade! Hoja ya serikali moja katika hali ya sasa inajaribu kujengwa katika msingi wa udanganyifu na watu walaghai ambao hawako tayari kuukubali ukweli kwamba hilo haliwezekani tena, si kwa hiari. Njia ya ushawishi imejaa visiki na misumari na njia pekee iliyobaki ni kulazimisha kwa kutumia nguvu.Mchambuzi
Napata wasiwasi sana na upeo wako wa kuelewa; kuna tofauti kubwa sana kati ya mapendekezo na maamuzi , uliyoleta hapa ni mapendekezo ambayo hayajatolewa uamuzi kumbuka rasimu ya katiba mwisho wa yote itapelekwa kwa wananchi kwa uamuzi wa mwisho; katiba ni maridhiano kwa hiyo hoja yako bado haina nguvu kinachofanyika sasa hivi ni kuangalia namna gani kero zinazosemwa zipo zitaondolewa; kwa mapendekezo ya CCM yanaweza yasiwe suluhisho ya kero lakini lengo lake ni kuleta sura ya kitaifa zaidi na kuulinda muungano. Sio serikali 2 wala 3 zitaondoa kero; serikali moja tu ndiyo jibu sahihi; mapendekezo ya CCM ukiyaangalia kwa makini yanalenga kuelekea kwenye serikali moja; huko ndipo tunapoelekea. wanaopigania serikali 3 lengo kuu ni kuuvunja muungano na sio vinginevyo kuna maswali mwengi ya msingi mnashindwa kuyajibu. mimi ni muumini wa serikali 1 kwani naamini huo ndio utaleta sura moja ya kitaifa; hapa tulipo kwenye 2 ni rahisi sana kupata maridhiano ya serikali 1; napingana sana nyie kwasababu moja kubwa ni mnataka kuhodhi majadala wa katiba badala ya kujadili mambo ya msingi ambayo yanamgusa kila mtanzania mnatupotezea muda kujadili muungano; hivi mwananchi wa kawaida mkulima wa Sumbawanga kweli anahitaji kupotezewa muda kujadili huu muungano badala ya ardhi?? I don't give a fu2k if Zanzibar decides to break away, mainland we have nothing to loose!!
BLK lilianza kwa mjadala wa sura ya kwanza na sita. Katika hatua hiyo, ccm ililenga kuhakikisha inabomoa chochote kinachojenga mazingira ya serikali tatu au uzinduzi wa Tanganyika. Baada ya kufanikisha hilo, CCM ingepenyeza maboresho niliyojadili humu. Wazungumzaji wakuu na rasmi kwa haya wannasubiri muda muafaka. Lakini pia Kama ulikuwa unafuatilia bunge, wapo baadhi wa wachangiaji waliojitambulisha kutokea makundi ya "walio wengi" walisikika wakisema kwa juu juu kwamba Zanzibar itaruhusiwa kukopa, na mengine mengi niliyojadili, huku wakijenga hoja kwamba serikali mbili zitaboreshwa na kutatua kero za muungano. Inawezekana ukawa sahihi kwamba hoja yangu ni "bad timing", inahitaji kusubiri, lakini pia wapo wenye kuona kwamba, since huo ndio ukweli, hakuna ubaya kufanya a pre-emptive strike. All that said and done, you have a choice kusubiri kuchangia hadi August kama una amini ndio "good or best timing".Nadhani mkuu unashindwa kutuelewesha hizo serikali mbili zilizoboreshwa zimeboreshwa vipi?
Maana mimi binafsi sijawahi kuona hiyo hoja unayoizungumzia. nA NDIYO UNACHOAMBIWA HUMU, labda it's just a matter of bad timing ungesubiri iwasilishwe kwanza.
Nadhani mkuu unashindwa kutuelewesha hizo serikali mbili zilizoboreshwa zimeboreshwa vipi?
Maana mimi binafsi sijawahi kuona hiyo hoja unayoizungumzia. nA NDIYO UNACHOAMBIWA HUMU, labda it's just a matter of bad timing ungesubiri iwasilishwe kwanza.