chama,
Unatumika lakini bado unatafuta kutumika ili uweze kutumikia tumbo lako vilivyo. Hauwezi kujifananisha na mimi, wewe ni mtu unayelipwa na Lumumba elfu kadhaa kwa siku just to make a statement for ccm. Mimi nilishaingia humo lakini nimeona hatari iliyipo kwa ccm na muungano, so I decided to side na maoni ya wananchi kwani wao ndio waamuzi. Given my background, if I wanted kutumikia ujinga (refer mwalimu), ningekuwa maili elfu moja mbele yako na hata
MwanaDiwanin lakini nimeona mantiki ipo wapi, siwezi tetea ujinga (refer mwalimu).
Rejea mabandiko yangu ya awali - serikali mbili zilizoboreshwa zinadumisha na kuboresha vipi muungano? Kwanini unakimbia kujibu hii hoja?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums