Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,434
- Thread starter
- #61
Kobello,Umeamua tu kutoelewa. And I can even see the tone is changing. Nielezee kimahesabu kama unavyodai, hiyo asilimia 86 ina-represent nini?
Kimahesabu.
what tone are you talking about. Mtu wa kuhamaki huwa ni wewe, tumeshakuzoea, sina haja ya kuhamaki wakati nachokijadili ninakijua na nimekifanyia utafiti. Usilazimishe mambo ambayo hayapo.
Siwezi jibu hoja yako "kitakwimu" kwa vile haujajibu hoja yangu ya awali kuhusu haki za wanawake - kitakwimu, based on the same dataset. Hizi porojo za siasa zina muda wake, na kama nilivyokueleza, nikipata muda wa kuzijadili siasa, nitakurudia.
Last edited by a moderator:
