CCM, Serikali Mbili Zilizoboreshwa, na Hatima Ya Muungano

Hii mada imekaa vizuri sana! Natamani ingesomwa ndani ya Bunge la Katiba! Asante Mchambuzi
 
Kwa upande wa Zanzibar, asilimia 62 ya asilimia 76(waliotoa maoni) walitaka mfumo wa serikali tatu au mkataba (evenly distributed) na asilimia 23 walitaka serikali mbili. Asilimia 13 walitaka serikali moja.
Hii inamaanisha kuwa 47% ya waliotoa maoni (ambayo ndiyo sample size =N) walitaka either serikali tatu au muungano wa mkataba 17% walitaka serikali mbili, huku 10% walitaka serikali moja. 24% hawakuzungumzia muungano kabisa.

Kimahesabu 24% ya wazanzibari hawajali status quo au at least liwalo na liwe.
17% walitaka serikali mbili (status quo)
47% hawakutaka status quo.
Kati ya hao 47% , nusu yake walitaka serikali 3 yaani nikupe at least 25%.
Therefore only 25% walitaka serikali 3.

Soma taratibu utaelewa.
Umekimbia maswali muhimu sana ya mjadala.

Anyway nitakufuata unakotaka. Je, hao waliotaka serikali ya mkataba ulitaka wasikilizwe?
 
Mkuu Kobello , kuna mambo unajaribu kuyaingiza wakati huo huo yanakinzana na hoja zako.

Kwanza, kumbuka kuwa CCM wanasema tume ya Warioba haikuwa na sample size inayotakiwa.
Ingawa hawatuambii ni sample size gani inashangaza ni hao hao wanatumia sample size ya 80 kuonyesha kuwa kiwango hicho hakikuzungumzia muungano. Nawe unawaunga mkono kwa doubel standard hiyo.

Katika society yetu lazima uelewe kuwa upande wa Tanzania bara suala la muungano halikuwa kubwa kiaisi hicho. Ni baada ya kelele nyingi sana kutoka Zanzaibar, Watanganyika wakaliona tatizo.
Vurugu za znz za maandamano, kuchoma moto, tindikali n.k. ni dalili za ukubwa wa tatizo.
Unaguzi wa wznz ulijenga curiosity ya Watanganyika. Ghafla jambo likawa kubwa kuliko unavyodhani

Zanzibar ina 2/3 ya maamuzi ya mambo ya muungano.
Hata kura ya maoni znz wana uwezo wa kuzuia au kukubali.

Uchache wao katika sample size ya tume haumaanishi kuwa suala hilo ni dogo.
Hivyo kwa asilimia 80 unayozungumzia inategemea ni kutoka wapi.
Asilimia 20 inaweza kuwa znz peke yake, je hiyo unaweza ku ignore kwasababu tu umeangalia asilimia 80?

Ukubwa wa suala la muungano umeonekana katika majadiliano.
Lazima pia uelewe mgawanyiko ndani ya bunge la katiba unaonyesha ukubwa wake.
Kama asilimia 80 haikujali muungano, vipi katiba inakwama kwa suala la muungano?

Mswada wa kwanza wa sheria ya mchakato ulileta matatizo sana si bungeni hadi kule znz.
Hivi unawezaje kusema asilimia 80 haikujali na hilo ni suala dogo? Mbona kulikuwa na vurugu kila mara?

Katika rasimu asilimia iliyoongelea akina mama na watoto, au walemavu si zaidi ya 5.
Je, tuache kuongelea mambo hayo kwasababu hayakuzungumziwa na asilimia 80?

Je, kutoongelea walemavu au wazee na haki zao hiyo ina maana suala hilo lilikuwa dogo na tuliache tu.

Lakini pia kuna hoja, kama CCM wanadhani sehemu kubwa ya jamii(asilimia 80) hawajali muungano, ugomvi wa kura ya wazi na siri unatoka wapi?

Kwanini CCM wanaandika rasimu ya muungano pembeni na si haki za wanawake, walemavu na wazee?
Kuna kitu gani ambacho CCM inakiona ni kizito hadi kutumia muda na nguvu nyingi kupinga muundo ambao basically unauonekana hauna madhara kwao.

Kwanini CCM wasisubiri asilimia 80 katika kura ya maoni ili wakwamishe rasimu ya Warioba, kinyume chake wanatumia watu 400 waliowafunga minyororo ya kura ya wazi kubadili mawazo ya'asilimia 20' waliotaka muundo wa muungano ubadilishwe.

Je, wale CCM 400, ni asilimia ngapi kama tutawaweka katika idadi ya waliotoa mawazo katika tume ya warioba, na je wanawezaj kubadili asilimia 80 na kuwa 50 au 90?

Kama jibu ni siyo, iweje watu 400 ambao hawafikii hata 0.00i percent iwe na haki ya kuandika rasimu ya muungano, haki ambayo asilimia 20 haina?

Kobello, tume iliyoshughulikia kubadili mfumo wa chama kimoja au vingi ilikuja na maoni kuwa asilimia 80 hawataki vyama vingi, ikiwa ni hivyo ilikuwaje serikali ikasikiliza asilimia 20 waliotaka vyama vingi.
Na kwanini safari hii asilimia 20 ya S3 ionekane ni kituko.

Zimeundwa tume zaidi ya 10 kuhusu suala la muungano. Kobello, nitajie jambo jingine lililowahi kuundiwa tume nyingi kama hili la muungano.

Hapa tunabidi kujiuliza maswali haya
1. Hivi sample size ya tume ya Nyalali kuhudu vyama vingi ilikuwa na ukubwa gani tukilinganisha na tume ya Warioba?

2. Je, sample size ya Warioba ilikuwa sahihi au la
a) Kama ni sahihi ni kipi ambacho kinaleta tatizo kuhusu walioongelea na wasioongelea
b) Kama si sahihi, kwanini kuna wakati CCM wanatumia sample hiyo kufanya justifications ya mambo yao ili hali hawakubaliani na sample size
Kwa wale mnaofuatili mjadala, nilimuuliza Kobello maswali hayo hapo juu na amenijibu kama ifuatavyo
Kwa upande wa Zanzibar, asilimia 62 ya asilimia 76(waliotoa maoni) walitaka mfumo wa serikali tatu au mkataba (evenly distributed) na asilimia 23 walitaka serikali mbili. Asilimia 13 walitaka serikali moja.
Hii inamaanisha kuwa 47% ya waliotoa maoni (ambayo ndiyo sample size =N) walitaka either serikali tatu au muungano wa mkataba 17% walitaka serikali mbili, huku 10% walitaka serikali moja. 24% hawakuzungumzia muungano kabisa.

Kimahesabu 24% ya wazanzibari hawajali status quo au at least liwalo na liwe.
17% walitaka serikali mbili (status quo)
47% hawakutaka status quo.
Kati ya hao 47% , nusu yake walitaka serikali 3 yaani nikupe at least 25%.
Therefore only 25% walitaka serikali 3.

Soma taratibu utaelewa.

Serikali moja halafu tukaita muunngano wa Tanganyika na Zanzibar ni kitu kisichowezekana. Kama hilo lilishindikana miaka 50 iliyopita, itawezekana vipi leo? Kama serikali mbili bado zanzibar inahisi kumezwa na muungano, serikali moja maana yake si ni kuifuta? Sijui kwanini huwa mnajadili serikali moja kama option huku mkijua ni mfumo usiotekelezeka kama nia ya kulinda muungano.

Serikali moja ni sawa na kuwaambia zanzibar you are either with us or leave. Hapa tunaangalia mfumo ambao utatoa a chance for muungano kuendelea kuwepo, sio kuvunja muungano. Na kwa miaka zaidi ya 30, zanzibar wamekuwa wakitaka Tanganyika izinduliwe. Kiburi cha CCM cha kung'ang'ania unitary system ndio yale yale ya Sri Lanka, United Kingdom na kwingineko. Zanzibar wamefikia hatua ya kuvunja Katiba ya Muungano kwa vile katiba hiyo si fair, na sio kwao tu, bali hata kwa Tanzania Bara. Lakini kwa bahati mbaya sana, wachache ndio wanaona hili.

Serikali moja wengi tungependa iwe hivyo lakini hatuna muda wa kujadili vitu ambavyo ni "wishful thinking". Let's be pragmatic, and give serikali tatu a chance, one more chance.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mchambuzi,

Huu ndio usanii wenyewe ninausema unasema tutoe nafasi kwa serikali 3 zijaribiwe kumbuka kikubwa kinachopiganiwa ni fursa za kiuchumi kwa zanzibar. Lakini kama zikiwepo hizo serikali 3 fahamu fika kuwa serikali 3 zitakuwa na mlolongo wa gharama kama kusimamia serikali zote 3, mabunge 3 na mahakama 3. Tuchukulie hakuna mahakama zitakazoendezeka but bunge la muungano litakuwa na wajumbe wachache wa muungano na uwaweke na wajumbe wa Tanganyika na Zanzibar unakuta gharama zinaongezeka mara dufu. Na hoja ya gharama wanasiasa mnaifanya iwe mfu lakini ina mantiki hebu chukulia jedwali hili:-

Gharama za taasisi za muungano (Tshs Billioni)
Ministries Responsible for 01/02 02/03 03/04 04/05 05/06 06/07 07/08 08/09
Implementing Union Matters

1. Office of the President 1.12 0.19 3.49 4.64 4.33 5.17 5.84 55.96
2. Office of the Vice President 0.04 12.06 16.55 20.09 20.09 26.84 31.16 26.83
3. Office of the Prime Minister 12.08 20.43 36.20 62.61 64.63 51.41 71.36 79.30
4. Ministry of Home Affairs 49.11 61.94 111.57 95.40 118.44 146.32 154.81 173.79
5. Ministry of Foreign Affairs 20.82 33.54 39.47 61.83 58.71 71.97 55.94 78.43
6. Ministry of Defence and NS 8.69 22.65 52.93 168.40 204.81 196.64 216.58 275.25
5. Ministry of Justice and Const 0.39 0.43 1.39 22.08 27.09 1.00 0.54 1.21
6. Ministry of Infrastructure 1.76 0.80 2.33 9.74 13.25 7.32 18.43 6.65
7. Ministry of Higher Ed, Sc,T 0.44 0.83 0.60 1.50 1.92 1.46 2.07 3.98
8. Ministry of Education and TE 1.89 2.05 2.74 4.72 7.66 0.00 3.75 2.37
9. Ministry of Finance 12.39 16.64 19.10 20.70 34.69 46.00 47.04 63.91
10. Ministry of Energy and Mine 0.02 0.00 0.01 0.01 0.03 2.50 2.67 0.09
11. Ministry of Trade and Ind 0.78 0.78 0.78 0.42 0.42 0.41 0.43 0.40
Total 109.52 287.15 474.02 474.02 556.08 557.04 610.61 717.80

Source: Ministry of Finance, (Osoro, 2014)

Ukiangalia hizo figures utaona watanzania tayari wanaumia na mzigo wa gharama za karibia Billioni Tshs 717.8. Chukua hizo Billioni 717.8 zidisha na ukuaji gharama kama hizo zinazotokana na kuwepo kwa serikali ya Tanganyika na Muungano. Utagundua ya kwamba tusidanganyane mzigo wa kodi utamwangukia mwananchi wa kawaida ambaye atalibeba salaba la kugharimia serikali zote wakati nyie wanasiasa mnapanda malandcruiser.

Na ukizidi kuangalia unakuta kodi kubwa inayoleta pato kwa serikali ni PAYE ambapo tukiangalia figures za 2013 zinaonyesha kama ifuatavyo KODI KUBWA HAPO CHINI NI PAYE AMBAPO IMECHANGIA KIASI CHA ASILIMIA 50 AU ZAIDI YA JUMLA YA MAKUSANYO YOTE. PAYE IMECHANGIA TAKRIBANI BILLIONI 122,787.3 UKILINGANISHA NA KODI NYENGINE.
NDIO MAANA NARUDIA TENA KIUCHUMI HAINGIII AKILINI KUDAI SERIKALI 3 ACHENI WISHFUL THINKING ZENU NA TAMAA ZA MADARAKA EITHER TUBAKI NA SERIKALI MOJA AU TUFUTILIE MBALI MUUNGANO. Zaidi unaweza kujiridhisha na taarifa za TRA za makusanyo yao.
:-
[TABLE="width: 323, align: left"]
[TR]
[TD] 55,253.7
[/TD]
[TD]Limited Companies
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 0.0
[/TD]
[TD]Parastatals
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 19,736.5
[/TD]
[TD]Individuals
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 3,669.2
[/TD]
[TD]W/Tax (IRMD)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 8,467.9
[/TD]
[TD]Capital Gains Tax
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 661.0
[/TD]
[TD]Shipping Tax
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 211.4
[/TD]
[TD]Transport
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 1,944.9
[/TD]
[TD]Misc.Collections
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 18,862.1
[/TD]
[TD]W/Tax (G&S)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 71.5
[/TD]
[TD]W/Tax Ins. Commission
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 1,181.4
[/TD]
[TD]W/Tax Bank Interest
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 3.8
[/TD]
[TD]Treasury Bills
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 10,143.9
[/TD]
[TD]Rental Tax
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 2,126.3
[/TD]
[TD]Gaming Tax
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 122,333.5
[/TD]
[TD]Sub-total
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 122,787.3
[/TD]
[TD]P.A.Y.E.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 13,775.5
[/TD]
[TD]B. Skills & Dev.Levy
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 136,562.8
[/TD]
[TD]Sub-total
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 258,896.3

[/TD]
[TD]TOTAL (GROSS)

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mnapotosha sana wananchi juu ya hili. Tumelijadili sana kwenye uzi wa Nguruvi3 - Duru Za Siasa: Gharama Za Muungano na Ukweli Unaopotoshwa. Njoo kule tukuonyeshe kwanini mtazamo wenu umejaa upotoshaji.

Nipo njiani kuleta uzi mahususi kabisa juu ya gharama za serikali mbili vis a vis tatu, stay tuned.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Kwanza jibu maswali yafuatayo:-
a). Je hizo nilizokupatia sio gharama za serikali katika taasisi za muungano?
b). Je hayo sio makusanyo ya serikali ya muungano ?
c). Je serikali moja hatutapunguza gharama za kusimamia serikali ya muungano, serikali ya zanzibar na badala yake tukawa na serikali moja tu ya muungano yenye unafuu kwa mwananchi wa kawaida?

Sitaki hoja za kisiasa na maneno ya assumptions nataka realistic arguments. I am waiting!!!!!

Nasikitika sikuwapo katika mjadala huo ila siku hizi naona jamii forums imevamiwa na watoto na ndio maana sina interest ya kusoma kila thread. Akina Nzi, Game Theory, Invisible ndio walifanya wengine tuwepo but now naona tabu hata kulog in. Anyway Mchambuzi tuko pamoja convince me kama Serikali 3 ni economically better of than Serikali 1. I shall wait.
 
Mchambuzi,

Nimeisoma thread yako na Nguruvi kwa juu juu ila nakushauri most of them are politics antics. Njoo na figures na facts particularly economic facts kuonyesha serikali 3 ni bora kuliko serikali moja. I am waiting....
 
Mchambuzi
Ukitaka kukosana na watu au watu wakimbie uzi basi ni hlo la S2 vs S3.
Watu hawataki kabisa kuzungumzia ni jinsi gani S2 iataleta unafuu. Wapo bize kumshambulia Warioba.
Kumshambulia Warioba ndiyo 'soft spot' wakiwa hawana utetezi wa S2 kwa namna yoyote ile.

Utasikia S3 zitasababisha jeshi lisiwe na chanzo cha uhakika cha mapato. Tuliuliza kwani sasa hivi chanzo ni kipi, hakuna jibu. Tunaambia tuzungumzie ya Warioba tu.

Tumaambiwa S3 shirikisho halitakuwa na chanzo cha mapato. Tunauliza kwa chanzo cha mapato cha muungano wa sasa ni kipi? Hakuna jibu.

Yaani wanataka kutuuzia mbuzi katika gunia, nasi tukubali tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kobello , kuna mambo unajaribu kuyaingiza wakati huo huo yanakinzana na hoja zako.

Kwanza, kumbuka kuwa CCM wanasema tume ya Warioba haikuwa na sample size inayotakiwa.
Ingawa hawatuambii ni sample size gani inashangaza ni hao hao wanatumia sample size ya 80 kuonyesha kuwa kiwango hicho hakikuzungumzia muungano. Nawe unawaunga mkono kwa doubel standard hiyo.
Hapana mkuu, mimi sina tatizo na sampling method. Sijui kwanini unalazimisha hivyo.
Sample size(n) ndiyo nina problem nayo. Population Sample size(N) ni 1,300,000 na maoni yote ni lazima ya-base kwenye 315,000(n) people. Why?
Kwa sababu hawakupangiwa maswali ya kurespond, mtu mmoja angeweza kuzungumzia hata masuala 10. Ndiyo maana maoni yapo almost laki saba ingawa waliotoa maoni ni 315,000(n) tu kati ya 1.3 million(N) waliohudhuria na kushiriki. La sivyo ningekuwa na matatizo ya sampling ningetaka watu 1.3 million wote wajumuishwe.

Katika society yetu lazima uelewe kuwa upande wa Tanzania bara suala la muungano halikuwa kubwa kiaisi hicho. Ni baada ya kelele nyingi sana kutoka Zanzaibar, Watanganyika wakaliona tatizo.
Vurugu za znz za maandamano, kuchoma moto, tindikali n.k. ni dalili za ukubwa wa tatizo.
Unaguzi wa wznz ulijenga curiosity ya Watanganyika. Ghafla jambo likawa kubwa kuliko unavyodhani
Najua hilo, ndiyo maana 76% ya wazanzibari wamezungumzia muungano. Ila takwimu za bara haziku-support maoni yako kuwa tanzania bara kuna majority ya watu waliozungumzia muungano, NO, ni asilimia 6 tu.[ya sample size(n) ambayo ni 315,000]

Zanzibar ina 2/3 ya maamuzi ya mambo ya muungano.
Hata kura ya maoni znz wana uwezo wa kuzuia au kukubali.
Okay ....

Uchache wao katika sample size ya tume haumaanishi kuwa suala hilo ni dogo.
Hivyo kwa asilimia 80 unayozungumzia inategemea ni kutoka wapi.
Asilimia 20 inaweza kuwa znz peke yake, je hiyo unaweza ku ignore kwasababu tu umeangalia asilimia 80?
Hapana siwezi ku-ignore, na hii aya ndiyo msingi wa jibu langu la mwanzo kwa sababu mengineyo niliona kama ni extra tu.
Asilimia 76 ya wazanzibari walizungumzia muungano. Hii ni muhimu sana kujua na ninaheshimu kama takwimu inayoonyesha umuhimu wa muungano na mfumo wake kwa Zanzibar. However, 32% of those 76% which is 26% of 100% (watu waliotoa maoni) ndiyo waliotaka serikali tatu.
29% of those 76% walitaka serikali ya mkataba, which is 23% of 100% (wote waliotoa maoni, sample size).
Asilimia 24 ya wazanzibari na asilimia 94 ya watanzania bara, hawakuzungumzia muungano. This means 86% of the total population [represented by the sample (n)= 315,000] hawakuzungumzia muungano.
Hawa watu unawaweka kundi gani? (jibu please!).

Ukubwa wa suala la muungano umeonekana katika majadiliano.
Lazima pia uelewe mgawanyiko ndani ya bunge la katiba unaonyesha ukubwa wake.
Kama asilimia 80 haikujali muungano, vipi katiba inakwama kwa suala la muungano?
Katiba haijakwama kwenye suala la muungano. Kuna watu wapo bungeni ambao wamekula kiapo cha muungano na bado hawaamini uhalali wamuungano.
Kuna wabunge waliondoka bungeni kwa kutotambua matokeo ya uchaguzi wa rais na kutomtambua rais. Ni usanii na si lazima u-reflect maoni ya wananchi. Wangeendelea tu, si kuna refferrendum??

Mswada wa kwanza wa sheria ya mchakato ulileta matatizo sana si bungeni hadi kule znz.
Hivi unawezaje kusema asilimia 80 haikujali na hilo ni suala dogo? Mbona kulikuwa na vurugu kila mara?
aSILIMIA 76 YA WAZANZIBARI WALITAKA KUONGELEA MUUNGANO, ndiyo maana muswaada wa kwanza haukufaa. Ila, watanzania bara, muswaada wa kwanza wala usingewaudhi kivile. Na since Zanzibar ni part ya muungano you definately had to respect that. Wazanzibari wapo almost evenly distributed (bearing in mind, the common margin of error 5%) kuhusu mfumo wa muungano na hili ni muhimu kwao.

Katika rasimu asilimia iliyoongelea akina mama na watoto, au walemavu si zaidi ya 5.
Je, tuache kuongelea mambo hayo kwasababu hayakuzungumziwa na asilimia 80?
pHEW!!! Kwanini uache kuongelea? Haki za kinamama na walemavu kwa Tanzania zipo na wengi wameona si jambo la kuwabugudhi sana, kwa hiyo Baraza linaweza kuja na kuimarisha au kuboresha zaidi haki zao na sio ku-dilute the status quo. That is up to baraza, na huwezi kuniambia eti majority walitaka haki za walemavu na kina mama zizngatiwe.

Je, kutoongelea walemavu au wazee na haki zao hiyo ina maana suala hilo lilikuwa dogo na tuliache tu.
Hapana, hii ilimaanisha kuwa status quo inatosha kwa watu wengi wanavyoona, ila ikiboreshwa siyo mbaya kwa sababu haki za binadamu zinaweza kuboreshwa hata pasipo demokrasia.

Lakini pia kuna hoja, kama CCM wanadhani sehemu kubwa ya jamii(asilimia 80) hawajali muungano, ugomvi wa kura ya wazi na siri unatoka wapi?
KURA YA WAZI NI DEMOKRASIA. When you vote on issues, you don't need to hide. Waliotoa maoni walitoa wazi na wewe yapigie wazi. Hii ni tofauti na kupiga kura ya mgombea nafasi.
Voting records is very, very important kwani kuna viongozi wa CDM waliopigia kura ya ndio Finance Act, Bomani Act (ya madini) etc.... na majukwaani wanaubeza. It reduces hypocrisy.

Kwanini CCM wanaandika rasimu ya muungano pembeni na si haki za wanawake, walemavu na wazee?
Kuna kitu gani ambacho CCM inakiona ni kizito hadi kutumia muda na nguvu nyingi kupinga muundo ambao basically unauonekana hauna madhara kwao.
Hiyo ni kamati ndani ya chama chao na itatumika kutathmini misimamo yao, hii si ajabu kwa vyama na taasisi kuwatuma wataalam wao kutoa ripoti kuhusu issues mbalimbali. Too bad nyie mmeukali kama ndiyo source ya kupiga kelel while that report has never been published to any government institution or Public institution. That's just a platform that you chose to step on ... go ahead, but watu makini wanajua ni propaganda za punndits ambazo kiukweli hazina basis yeyote.

Kwanini CCM wasisubiri asilimia 80 katika kura ya maoni ili wakwamishe rasimu ya Warioba, kinyume chake wanatumia watu 400 waliowafunga minyororo ya kura ya wazi kubadili mawazo ya'asilimia 20' waliotaka muundo wa muungano ubadilishwe.
CCM wana bunge, kwanin wasubiri? Ungewauliza hilo swali UKAWA. Please do us a favor and ask them.

Je, wale CCM 400, ni asilimia ngapi kama tutawaweka katika idadi ya waliotoa mawazo katika tume ya warioba, na je wanawezaj kubadili asilimia 80 na kuwa 50 au 90?
Negligibly small, but since they represent over 40 mil people, their decision are damn powerful. It's called a "Republic" remember??

Kama jibu ni siyo, iweje watu 400 ambao hawafikii hata 0.00i percent iwe na haki ya kuandika rasimu ya muungano, haki ambayo asilimia 20 haina?
Jibu ni ndiyo, how can you predict kuwa nitajibu siyo? On what basis?

Kobello, tume iliyoshughulikia kubadili mfumo wa chama kimoja au vingi ilikuja na maoni kuwa asilimia 80 hawataki vyama vingi, ikiwa ni hivyo ilikuwaje serikali ikasikiliza asilimia 20 waliotaka vyama vingi.
Na kwanini safari hii asilimia 20 ya S3 ionekane ni kituko.
Naam? Kama unataka ng'ombe wa nyama kwa ajili ya shughuli, ukapewa ng'ombe wa maziwa (ceteris peribus) utalalmika? Utamkamua na kumchinja kesho yake. Maziwa ukitaka utatengenezea chai au atayamwaga/gawa na nyama itapikia punga kesho yake. What does this mean?
Asilimia ileile 78 ilyokataa vyama vingi ndiyo inayoipigia CCM kwa miaka 25 sasa. So....

Zimeundwa tume zaidi ya 10 kuhusu suala la muungano. Kobello, nitajie jambo jingine lililowahi kuundiwa tume nyingi kama hili la muungano.
RUSHWA

Hapa tunabidi kujiuliza maswali haya
1. Hivi sample size ya tume ya Nyalali kuhudu vyama vingi ilikuwa na ukubwa gani tukilinganisha na tume ya Warioba?

2. Je, sample size ya Warioba ilikuwa sahihi au la
a) Kama ni sahihi ni kipi ambacho kinaleta tatizo kuhusu walioongelea na wasioongelea
b) Kama si sahihi, kwanini kuna wakati CCM wanatumia sample hiyo kufanya justifications ya mambo yao ili hali hawakubaliani na sample size
Nitarudia majibu kama hivi,

1. ILIKUWA NDOGO KUILNGANISHA NA YA wARIOBA,ila nani aliyebishia sample size? Rejea vitabu vya statistics.

2.iLIKUWA SAHHI, Given that N=1,300,000 na n= 315,0000 you cant change samples and say one was 5,000 and the other was 100,000 thats wrong. Sample size ya katiba ilikuwa 315,000.

a) Kinacholeta mzozo ni wanasiasa kufanya kazi za actuarists. ukinipa uwanja nitoe maoni yangu kuhus katiba mpya, nitazungumzia vitu vingi sana vinavyonikera na visivyonikera nitaviacha viendelee. Simple as that.

b)Nakubaliana na sample size ya 315,000... what's your sample size (I hope you do't got many of those).

OKAY .......... NIMEKUJIBU SASA?..........
 
Mchambuzi,

Nimeisoma thread yako na Nguruvi kwa juu juu ila nakushauri most of them are politics antics. Njoo na figures na facts particularly economic facts kuonyesha serikali 3 ni bora kuliko serikali moja. I am waiting....

Kwanini usome juu juu iwapo unauliza swali kwa nia ya kuelewa?

Wapi kuna siasa? Kwanini tusijadili hili kule na hapa tupishe zaidi mjadala wa rasimu mbadala ya ccm? Nimesema kwamba naandaa mjadala, na uzi huo utakuwa mrefu kidogo, tukianza humu tutaondoa focus ya uzi huu, na nikikujibu juu juu hautaelewa vyema.

Kule I have made a lot of arguments on economic grounds, not just political, na narudia tena, zile arguments are only indicative towards uzi naoandaa, not conclusive.

Tatizo lenu mnarukia hoja ya gharama bila any framework of analysis and jump into conclusion. Very briefly nitakuambia why serikali moja sio tu ni mzigo kuliko tatu, bali hata mbili. Lakini kwanza niambie ur framework unayotumia kujengea hoja kwamba serikali moja ni nafuu. Nakuuliza kwa sababu aidha hauna au ipo flawed. In other words, how do u reach to a conclusion kwamba serikali moja ni nafuu? Nijibu so that I tell u very briefly why u are wrong, mengine yatafuatia kwenye uzi maalum as indicated.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mdondoaji,

Umetaja kwamba Game Theory na Invisible inspired you in so many ways including economic reasoning. Waalike kwenye uzi wa Nguruvi3, nadhani wataona kitu kwani kama upo sahihi kuhusu umakini wao, hawatapitia ule uzi kwa juu juu na kusema umejaa siasa.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kwanini usome juu juu iwapo unauliza swali kwa nia ya kuelewa?

Wapi kuna siasa? Kwanini tusijadili hili kule na hapa tupishe zaidi mjadala wa rasimu mbadala ya ccm? Nimesema kwamba naandaa mjadala, na uzi huo utakuwa mrefu kidogo, tukianza humu tutaondoa focus ya uzi huu, na nikikujibu juu juu hautaelewa vyema.

Kule I have made a lot of arguments on economic grounds, not just political, na narudia tena, zile arguments are only indicative towards uzi naoandaa, not conclusive.

Tatizo lenu mnarukia hoja ya gharama bila any framework of analysis and jump into conclusion. Very briefly nitakuambia why serikali moja sio tu ni mzigo kuliko tatu, bali hata mbili. Lakini kwanza niambie ur framework unayotumia kujengea hoja kwamba serikali moja ni nafuu. Nakuuliza kwa sababu aidha hauna au ipo flawed. In other words, how do u reach to a conclusion kwamba serikali moja ni nafuu? Nijibu so that I tell u very briefly why u are wrong, mengine yatafuatia kwenye uzi maalum as indicated.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hoja zako huwa zinaanzisha mijadala kuhusu mambo mengine mengi tu.
Umeleta uzi kuhusu rasimu ya CCM (as you call it ) kuhusu kuboresha serikali mbili. Kwa hiyo tegemea maswali mengi sana kuhusu Serikali mbili vs sereikali moja au tatu.
Pia utegemee maswali kuhusu source ya information zako kuhusu hii rasimu na kama una copy uiweke kabisa hadharani.
Otherwise, utakuwa kama unam-brush off mtu ambaye labda angejifunza kutoka kwako, au wewe ungejifunza kutoka kwake.
 
Samahani mkuu iwapo maswali yangu yamekukwaza.

Nachojaribu kukuelewesha ni kwamba hapa tunaangalia rasimu mbadala ya ccm. Nimeona sehemu zake kadhaa lakini sijafanikiwa kukamata nakala. Nyaraka hii bado ni ya siri sana ndani ya chama, wanataka surprise tu na kuburuza watu. NEC ya leo ina wajumbe zaidi ya 200, nadhani utakuwa unajua angalau mnec mmoja, muulize kuhusu haya niliyo andika.

Ni kweli suala la gharama pia nimeligusia humu, lakini tofauti na mengine, hili ni zito kuliko yote, linahitaji uzi maalum as aforementioned. Ngoja nione nafanyaje in very brief kujibu maswali yako mkuu.

Ukiulizwa ufafanuzi ili maswali yako yajibiwe unachenga.

Nina uhakika utaulizia copy ya kikao cha CCM kilichoweka msimamo wa kura ya wazi.
Utaulizia copy ya kwanini Warioba alizungumza baada ya JK
Utaulizia copy ya kikao cha dharura cha rasimu kilifanyika wapi.
 
Mbona nimekujibu maswali yako kwa vipengele?
Tume ya mwakyembe ipo
Ya Nyalali ipo
Ya Warioba ipo ...
Nikiuliza ya CCM nakuwa mgomvi?
Unakoenda siko.
 
Hii ndio hasara ya kukurupuka na kuanza kuvamia mambo ambayo CCM hawana uelewa nayo. Ukweli ni kwamba hii katiba itapatikana kwa conspiracy theory kama tunavyoona inatekelezwa.

Hata hivyo haiwezi kuishi hata mwaka mmoja na migogoro inayoenda kutokea haijawahi kushuhudiwa hata siku moja tangu uhuru/mapinduzi? Kinachojionyesha kwenye hii document ya CCM (nikiri sijaiona ila Mchambuzi ungetuwekea humu) kuna a lot of inconsistencies to be solved before the BMK resumes its session. Short of which the country is plunged into untold crisis.

Hawa jamaa so far wana-shout tu yale waliyokaririshwa kwa sura mbili za rasimu. Wanasubiri wakaririshwe sura zingine "zilizoboreshwa" ili waendelee Ku-parrot na kupiga vigergere bungeni. Wanashangilia ushindi wa "walio wengi" ambao hawajui wasemalo.

It is not always true that the majority are right. - Dr. Stokemann: An Enemy of the People
 
Kobello,
Cc Nguruvi3,

Ebu tufanyie haki hoja hii ya takwimu.

Tuanze na uwasilishaji wa Warioba:
Kati ya wananchi karibu 38,000 waliotoa maoni kuhusu Muungano, wananchi 19,000 walitoa maoni kuhusu muundo wa Muungano. Mchanganuo wa takwimu hizi unaonyesha kuwa wananchi waliotoa maoni kuhusu muundo wa Muungano kwa upande wa Tanzania Bara, 13% walipendelea Serikali Moja, 24% walipendekeza Serikali Mbili na 61% walipendekeza Serikali Tatu. Kwa upande wa Zanzibar, 34% walipendekeza Serikali mbili na 60% walipendekeza Muungano wa Mkataba, na 0.1% (watu 25) walipendekeza Serikali Moja.

Hoja ya Kikwete ambayo ndio imezaa kina kobello et al ni hii:

Wapo wanaodai kuwa takwimu za Tume hazionyeshi ukweli huo. Wanasema kuwa taarifa ya Tume imeonesha kuwa Watanzania waliotoa maoni yao kwa Tume kwa mdomo na maandishi walikuwa 351,664. Kati yao ni wananchi 47,820 au sawa na asilimia 13.6 ndiyo waliokerwa na muundo wa Muungano hivyo wakauzungumzia. Wananchi 303,844 au sawa na asilimia 86.4 muundo wa Muungano kwao halikuwa tatizo, ndiyo maana hawakuuzungumzia kabisa. Wanahoji kuwa iweje leo asilimia 13.6 ya Watanzania wote waliotoa maoni wageuke kuwa ndiyo Watanzania walio wengi.

Tuchambue:

Hapa tunaona kwamba Jaji Warioaba na Rais Kikwete wanaongelea data ile ile.

Tukiangalia kwa "face value", tafsiri zote zina logic, validity, pamoja na kwamba zinafikia hitimisho tofauti, lakini hitimisho kwa pande zote mbili linatokana na data zile zile. Kwa maana hii, tunaweza sema kwamba tafsiri zote mbili (Warioba na Kikwete/Kobello), zote zipo questionable kwani - zote zinategemea zaidi sample ambayo ni "self selecting" kama tulivyoona Kikwete alivyofanya, Kobello alivyofanya, na pia Warioba anavyokuwa accused kufanya na Kobello na Kikwete.

Lakini baada ya hapo, Kikwete na Kobello wanaanza kuachwa na facts za mathematics of probability, huku facts hizi zikimbeba Warioba. Nitafafanua:

Kwanza, takwimu za tume ni "more indicative" kuliko "conclusive", ndio maana mchakato unaishia kwenye kura ya maoni. Lakini kina Kobello wanang'ang'aniza takwimu zao ziwe conclusive.

Pili na muhimu zaidi, tafsiri ya warioba ikilinganishwa na tafiti nyingine zilizofanywa na other credible research institutes zinaoana zaidi na tume kuliko Kikwete na Kobello. Kwa maana nyingine, unlike Kobello and Kikwete, tafsiri ya tume has more popular support. Tuangalia tafiti za afrobarometer na twaweza, taasisi ambazo ni very credible nchini, huku afrobarometer ikiwa credible all over africa, asia, south america and middle east. Je wanasemaje?
(Source zipo website za twaweza na afrobarometer):

Mkiangalia tafiti za taasisi hizi, mwaka 2012, kabla ya rasimu ya kwanza kutolewa, 47% ya watanzania bara walipendelea serikali mbili ziendelee.
Kwa upande wa Zanzibar, 29% walipendelea serikali tatu.

Mwaka 2013, baada ya rasimu ya kwanza kutoka, hali ikabadilika. 26% tu ya watanzania bara walisema serikali mbili ziendelee, na upande wa zanzibar, 51% walitaka serikali tatu.

Rasimu ya pili ya katiba imekuja na takwimu hizo hapo juu. Tunachoona hapa ni vitu vitatu muhimu sana katika mathematics of probability ambavyo ni indication ya any good study: validity, reliability and replicability.

Kwanza - takwimu za warioba ni valid, reliable and replicable. Kina Kobello na Kikwete hakuna hiki kitu. Nitafafanua. Maana ya reliability in research ni - degree to which an assessment tool produces stable and consistent results. Kwa maana nyingine, a scientific experiment must be replicable katika details zake ili iwe considered valid.

Tukitazama takwimu za afrobarometer na za twaweza, we see kwamba zipo more consistent na za tume kuliko Kikwete na Kibello. Kwa maana nyingine, takwimu za tume zipo replicable na zile za afrobarometer na twaweza, kuliko za kobello na kikwete. Pia zipo proven valid kwa kuangalia hizi za twaweza na afrobarometer kwani kuna consistency, na kwa maana hiyo zipo reliable kwani ukienda kwenye same population,utakutana na kitu kinachofanana in terms of findings za tume, twaweza and afrobarometer.

Kuna fact nyingine muhimu hapa:

Kwa jinsi muda unavyozidi kwenda, wananchi wengi zaidi wanaendelea kutaka serikali tatu.

Ni kwa mantiki hii, Lukuvi, Kobello na wengine wameona hatari ipo wapi, nayo ni kwamba: Kura ya maoni italeta serikali tatu. Kwahiyo cha kufanya ni kuwavuruga wananchi na takwimu, kutishia wananchi jeshi kupindua nchi, na kujenga hoja za udini.

Kuna haja ya wahusiku kurudi katika hoja ya msingi - nayo ni je, what's the way forward kuokoa muungano kufuatia action ya zanzibar kikatiba na madhara yake kisheria za nchi, katiba, mamlaka ya washirika wa muungano, mamlaka ya rais...., je hoja ya gharama na takwimu ina umuhimu zaidi kuliko mgongano uliojitokeza? Please, don't derail the nation kwa ujinga wa kisiasa and put everyone's situation (including the union) at risk.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Corrections za bandiko hili, please review again cc Kobello:

Nachojaribu kukuelewesha ni kwamba hapa tunaangalia rasimu mbadala ya ccm. Nimeona sehemu zake kadhaa lakini sijafanikiwa kukamata nakala. Nyaraka hii bado ni ya siri sana ndani ya chama, wanataka surprise tu na kuburuza watu. NEC ya leo ina wajumbe zaidi ya 200, nadhani utakuwa unajua angalau mnec mmoja, muulize kuhusu haya niliyo andika.

Maelezo yangu kwa Kobello ktk bandiko hili was meant kuishia hapo juu na suala ya rasimu mbadala ya CCM.

Hii hapa chini was meant for Mdondoaji:

Samahani mkuu kama maswali yangu yamekukwaza.

Ni kweli suala la gharama pia nimeligusia humu, lakini tofauti na mengine, hili ni zito kuliko yote, linahitaji uzi maalum as aforementioned. Ngoja nione nafanyaje in very brief kujibu maswali yako mkuu.

Mkuu Mdondoaji, nitakurudia muda sio mrefu ila briefly kuhusu gharama za serikali moja vis a vis tatu. Lakini in the meantime, naomba unieleze umefikaje kwenye hoja kwamba serikali mbili ni nafuu kuliko tatu, what's your analytical framework? Is is just copying and pasting budget ya muungano na kuijengea hoja husika?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kobello,
Cc Nguruvi3,

Ebu tufanyie haki hoja hii ya takwimu.

Tuanze na uwasilishaji wa Warioba:

Hoja ya Kikwete ambayo ndio imezaa kina kobello et al ni hii:

Tuchambue:

Hapa tunaona kwamba Jaji Warioaba na Rais Kikwete wanaongelea data ile ile.

Tukiangalia kwa "face value", tafsiri zote zina logic, validity, pamoja na kwamba zinafikia hitimisho tofauti, lakini hitimisho kwa pande zote mbili linatokana na data zile zile. Kwa maana hii, tunaweza sema kwamba tafsiri zote mbili (Warioba na Kikwete/Kobello), zote zipo questionable kwani - zote zinategemea zaidi sample ambayo ni "self selecting" kama tulivyoona Kikwete alivyofanya, Kobello alivyofanya, na pia Warioba anavyokuwa accused kufanya na Kobello na Kikwete.
Asante sana kwa kuona logic yangu behind those data, angalau in what you call "face value" hiyo inaonyesha angalau a commoner like me would want a further explanation kuliko kugubia tu conclussions blindly. Pia statement yako inafariji na kuchochea mjadala kuliko kukebehi na kudhoofisha mjadala. Honestly, I thank you for that.

Lakini baada ya hapo, Kikwete na Kobello wanaanza kuachwa na facts za mathematics of probability, huku facts hizi zikimbeba Warioba. Nitafafanua:

Kwanza, takwimu za tume ni "more indicative" kuliko "conclusive", ndio maana mchakato unaishia kwenye kura ya maoni. Lakini kina Kobello wanang'ang'aniza takwimu zao ziwe conclusive.

Pili na muhimu zaidi, tafsiri ya warioba ikilinganishwa na tafiti nyingine zilizofanywa na other credible research institutes zinaoana zaidi na tume kuliko Kikwete na Kobello. Kwa maana nyingine, unlike Kobello and Kikwete, tafsiri ya tume has more popular support. Tuangalia tafiti za afrobarometer na twaweza, taasisi ambazo ni very credible nchini, huku afrobarometer ikiwa credible all over africa, asia, south america and middle east. Je wanasemaje?
(Source zipo website za twaweza na afrobarometer):
Kwanza, takwimu ni moja ila conclusions ni tofauti. Stage ya Scientific method ambayo mimi na mzee Khalfan tunatofautiana na Judge Warioba ni kwenye ku-draw conclusion. Using the same data, bado wazanzibari ambao hawakutaka serikali tatu wanawazidi waliotaka serikali tatu. Why?
Afrobarometer polling imetumia questionaire ambayo ipo more direct na haina choices kama ilivyo questionaire ya maoni ya katiba. Unapoangalia maoni ya katiba, the element of ceteris peribus inaondoka na kutanua wigo wa questionaire.
Kwa mfano, ukimuuliza mzanzibari kama atapewa uhuru wa kujitambua kwa kuongezewa autonomy kama Wales, atakubali kuungana na Tanganyika? ... jibu litakuwa tofauti na asilimia itakuwa tofauti.
Mkiangalia tafiti za taasisi hizi, mwaka 2012, kabla ya rasimu ya kwanza kutolewa, 47% ya watanzania bara walipendelea serikali mbili ziendelee.
Kwa upande wa Zanzibar, 29% walipendelea serikali tatu.

Mwaka 2013, baada ya rasimu ya kwanza kutoka, hali ikabadilika. 26% tu ya watanzania bara walisema serikali mbili ziendelee, na upande wa zanzibar, 51% walitaka serikali tatu.
Sikubaliani na wewe, kwa sababu kutokana na utafiti wa afrobarometer ni asilimia 14 tu iliyotaka serikali tatu (repoa/afrobarometer, feb.2013)http://www.afrobarometer.org/files/documents/press_release/tan_r5_p2_constitution.pdf

Rasimu ya pili ya katiba imekuja na takwimu hizo hapo juu. Tunachoona hapa ni vitu vitatu muhimu sana katika mathematics of probability ambavyo ni indication ya any good study: validity, reliability and replicability.

Kwanza - takwimu za warioba ni valid, reliable and replicable. Kina Kobello na Kikwete hakuna hiki kitu. Nitafafanua. Maana ya reliability in research ni - degree to which an assessment tool produces stable and consistent results. Kwa maana nyingine, a scientific experiment must be replicable katika details zake ili iwe considered valid.

Tukitazama takwimu za afrobarometer na za twaweza, we see kwamba zipo more consistent na za tume kuliko Kikwete na Kibello. Kwa maana nyingine, takwimu za tume zipo replicable na zile za afrobarometer na twaweza, kuliko za kobello na kikwete. Pia zipo proven valid kwa kuangalia hizi za twaweza na afrobarometer kwani kuna consistency, na kwa maana hiyo zipo reliable kwani ukienda kwenye same population,utakutana na kitu kinachofanana in terms of findings za tume, twaweza and afrobarometer.
Kwa takwimu nilizoona mimi, zinashabihiana na conclusions zangu, almost 100% na zinashabihiana na takwimu za Warioba, ila siyo conclussions za Warioba. Link nimekupa hapo ila kama utanipa link ku-support maandishi yako, tutaangalia ni wapi sija/ujaelewa.

Kuna fact nyingine muhimu hapa:

Kwa jinsi muda unavyozidi kwenda, wananchi wengi zaidi wanaendelea kutaka serikali tatu.

Ni kwa mantiki hii, Lukuvi, Kobello na wengine wameona hatari ipo wapi, nayo ni kwamba: Kura ya maoni italeta serikali tatu. Kwahiyo cha kufanya ni kuwavuruga wananchi na takwimu, kutishia wananchi jeshi kupindua nchi, na kujenga hoja za udini.

Kuna haja ya wahusiku kurudi katika hoja ya msingi - nayo ni je, what's the way forward kuokoa muungano kufuatia action ya zanzibar kikatiba na madhara yake kisheria za nchi, katiba, mamlaka ya washirika wa muungano, mamlaka ya rais...., je hoja ya gharama na takwimu ina umuhimu zaidi kuliko mgongano uliojitokeza? Please, don't derail the nation kwa ujinga wa kisiasa and put everyone's situation (including the union) at risk.
I agree, ila tu usiniweke kundi moja na Lukuvi, mimi siamini mambo ya dini ila naheshimu watu wenye dini kwa sababu mara nyingi ni watu wastaarabu kuliko mimi na wanafanikiwa kimaisha kuliko mimi. Na mambo ya jeshi kuchukua madaraka, usinihusishe na upuuzi huo kwa sababu mimi ni mtu ambaye huangalia issues kwa makini sana.

Ila nakubaliana na wewe kuwa kadri muda unavyoenda, watanzania wengi wanazidi kuona umuhimu wa serikali tatu. Hii haitanizuia hata siku moja mimi kuwa na ndoto kwamba siku moja tutakuwa taifa moja hata kama siku hiyo sitaiona. Na nitawasisitizia vizazi vijavyo wawe watu wa taifa moja chini ya jamhuri moja. Ukiniona ni punguani, sawa tu ila ndiyo wish yangu na wewe una wish yako and I do respect that.
 
Back
Top Bottom