Uchaguzi 2020 CCM taa nyekundu na muda unawatupa mkono mtoseni Yoha baharini mpone tufani

Huyu Makonda mbona mwenyewe anatuhumiwa kwenye mambo hayo ya ushoga?
Anawezaje kuyapinga ama kuyakataza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demokrasi kulingana na mawazo yako?????



Sent using Jamii Forums mobile app
 

The United States has sanctioned a Tanzanian official who sparked fear in the gay community by announcing plans to track and punish homosexuals in the East African nation.


The U.S. statement Friday said Paul Christian Makonda, regional commissioner for Dar es Salaam, is accused of “targeting marginalized individuals,” repressing the opposition and cracking down on freedom of expression.


In a travel warning in December, the U.S. said “individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations.“



The new statement also says the U.S. is deeply concerned with the deteriorating respect for human rights in Tanzania, whose first-term President John Magufuli has been accused by rights groups of widespread repression of the opposition, journalists and others.


The U.S. statement comes ahead of Tanzania’s presidential election in October. A separate statement by the U.S. Embassy on Friday said it was encouraged by Magufuli’s assurances of a “free, fair, and transparent” vote and his invitation to international observers.
 

Very well said
 
Kamwe watanzania hatutakubali kuteseka kwa sababu ya kumpendezesha mtu mmoja. Meko ni lazima arejee Chato. Ametuvuruga vya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikwete aliwahi kusema wenye maono walimkataa Meko kwa sababu hakuwahi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa. Ccm kwa ulafi na kuto kuona mbali mkampa nchi hayo ndiyo matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaameeen
 
Aaameenn
 
Wanajifichia kwwnye ushoga na watoto kurudi shule baada ya kupata ujauzito
Wamesahau kitendo cha kuingia clauds ma wanajeshi waliobeba bunduki?
Waliona ni sifa Leo inawatafuna
Wamesahau kufungia magazeti kwa sababu ya kukosoa sirikali?
Wamesahau kumfungulia kesi za uchochezi mmiliki jamii forum?
Mambo ni mengi
#kazinabata


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umesema kitu sahihi kabisaaa..
Hii nchi kuna wajinga wengi waioelewa lolote hapa duniani Ila ukiangalia Kwa jicho la tatu tunapata picha kuwa hii message imefika Kwa magufuli mwenyewe kuwa DUNIA imemvua nguo Kwa matendo alivyofanya,Kwa akili za kawaida haiwezakani Mkuu wa mkoa afanye unyama na ugaidi alafu ikulu isijue!!

America wametumia indirect speech Kwenye suala hili.PIN iliyowekewa MAKONDA ni ya serikali yote ya magufuli
 
Umenena ukweli mtupu.

Miezi miwili iliyopita, balozi wa marekani hapa nchini alimtembelea mke wa Azory Gwanda huko kibiti. Alifanya mazungumzo nae

Pia makonda ndiye aliyetuahidi kuwa Mo atapatikana jumamos

Roma mkatoliki
Kijana wa udism

Waliokuwa wanatakiwa kuuwawa
Tundu Lisu
Freeman Aikael Mbowe

Waliopetezwa
Saa8
Azory

Waliofungwa jela
Sugu
Lema
Lijualikali
Mbowe
Mdee

Watu kibao waliokotwa kwenye viroba

Karibia viongozi wote wa chadema wanna kesi mahakamani

This is shame

Yaani huyu ingekuwa Kama general suleman wa Iran, sisi siku hiyo ingekuwa mapumziko na kula bia kwa kwenda mbele

Mungu yupo yanamwisho

Bado Kuna wase

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment imeshiba nondo za uhakika.
Big up mkuu
 
Unazuiwa hata usienda maliwato ''Yaani unazuiwa mkutano na wapiga kura wako lakini anayekuja kwa mbinu ya kukagua miradi ya maendeleo ama eti kukijenga chama anaruhusiwa kufanya mikutano. ukiawa upinzani ni mshirika wa mabeberu 'CCM wajue kwamba wanaopiga kura siyo viongozi wa vyama vya upinzani'
 
Mimi nafikiri hoja sio kwenda Marekani, Marekani ni nchi kama nchi nyingine. Tanzania yetu itajengwa na watanzania wenyewe na sio Marekani. Hatuwezi kuwapigia magoti Marekani. Tuna imani na Rais wetu Mhe. Magufuli na viongozi wote aliowateua kwa kufanya kazi usiku na mchana kwa ajili ya nchi yetu. Watanzania tuache fikra tegemezi, tuchape kazi.
 
Kweli mambo ni mengi
 
Mbona unazunguka kueleza sababu? Sababu au hizo Haki zinazotajwa ni mambo ya ushoga, uko tayari tushangilie haki za mashoga? Kuweni wawazi tu! Hakuna haja ya kuzunguka. Tena iwe jukwaani maana sasa munazomea bila hata kujua maana yake ni nini.
 
Wawe makini na taratibu za uchaguzi, huu utaratibu wa kuwaengua wapinzani kwa kigezo cha fomu uachwe kwani unaonekana kama ubakaji wa demokrasia, na hilo wameliongelea kwenye zuio la kusafiri kwa makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…