Uchaguzi 2020 CCM taa nyekundu na muda unawatupa mkono mtoseni Yoha baharini mpone tufani

Kwa hiyo Simu zote zinasikilizwa kila kukicha
Hawa watu hata ukiwaalika kule wanaacha vinasa sauti vigogo kama punje ya mchele [emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Serikali ya US haiwezi kujali haki za wewe kutekwa au kuuwawa. Wao wana mambo yao tu! Haki za kuuwana hawana habari nazo. Kwani wao wamefanya nini Iran hivi karibuni? Kinachowasumbua ni kueneza ushoga. Bahati mbaya nasi tunawaunga mkono JF!
 
Kuna watu humu wali-downplay sana ile ziara ya Lissu Marekani lkn ilikuwa na maana kubwa tu.
 
Very small mind that can't see beyond the horizon.
 
And U think Who's naive about American giving a https://jamii.app/JFUserGuide about this shithole country, I know Americans are always after their economic interests? Is there a need to debate about it?. What are we talking about is why we act so awkwardly that we welcome then in our verandah. U jeopardize their interests, Ok, but be smart to not let them easily approaching your neck. U've all means to remain incumbent. All the institutions are Constitutionally work in your favor. U've an impregnable powers to command whatever U wish, why tormenting the helpless weak?. That's what we're facing as a country, our country is a signatory to human rights, waache ushamba wa kuuwa watu Sababu tu hawataki criticism!
Serikali ya US haiwezi kujali haki za wewe kutekwa au kuuwawa. Wao wana mambo yao tu! Haki za kuuwana hawana habari nazo. Kwani wao wamefanya nini Iran hivi karibuni? Kinachowasumbua ni kueneza ushoga. Bahati mbaya nasi tunawaunga mkono JF!
 
Kuna watu humu wali-downplay sana ile ziara ya Lissu Marekani lkn ilikuwa na maana kubwa tu.
Visit! OK Sifa ziende kwa nani sasa? Mara Lissu, Mara CIA, mara bhla! bhla! Nigeria pia wamapewa. Nako Lissu alipasemea? Remember, US has a president who don't need shithole countries!
 
Please correct your English or use only Kiswahili. Hata hizo nchi zingine pia wana vianzio vyao.
 
Don't be idiomatic at a time when we need to talk sense with minimum time! Talk this and that. No circumlocution languages.
It will be nativeness to argue with you in the absence of logical discourse.
 
Please correct your English or use only Kiswahili. Hata hizo nchi zingine pia wana vianzio vyao.
Unaiga! Can you spot any language error? Do you have a handle on the language basics?
 
It will be nativeness to argue with you in the absence of logical discourse.
Usikusanye maneno ya english wakati hayaleti maana yoyote! Hiyo sentensi ina ujumbe gani? Go back to your age mates for training purpose! Don't cling on my shoulders.
 
It will be naivety to argue with you in any logical discourse. That's how it ought to be, the previous error was merely due to typing rather than grammatical. So please take care.
 
Unaiga! Can you spot any language error? Do you have a handle on the language basics?
US has a president who "don't" need shithole countries. This is grammatically incorrect: The rule states that the president as a singular noun must take the 'Contraction' 'doesn't' and NOT 'don't'.
 
Thanks for that! Any other observation on homosexuality?
 
Ila bahari itulie ni lazima yona atoswe ye ndo chanzo cha dhoruba
 
How does it feature here, I don't consider it as a subject of the given topic.
How is it possible that you have not been following what is being discussed over here? Somewhere, epigenetics never worked correctly!
 
US has a president who "don't" need shithole countries. This is grammatically incorrect: The rule states that the president as a singular noun must take the 'Contraction' 'doesn't' and NOT 'don't'.
Vimtu vingine bhana! Sisi tunatafuta wave function vyenyewe vinatafuta wapi viweke 'the' eti navyo vina mchango kwa taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…