Mara nyingi ccm hufanya makusudi ili kuwakomoa wapinzani hutengeneza mbinu za kutopeleka maendeleo na hata ikitokea wamepeleka hutengeneza mazingira kuwa ni serikali imesikia kilio cha wananchiMajimbo ya vijijini ndio yanaumaskini wewe mtoa mada hujitambui
Mara nyingi ccm hufanya makusudi ili kuwakomoa wapinzani hutengeneza mbinu za kutopeleka maendeleo na hata ikitokea wamepeleka hutengeneza mazingira kuwa ni serikali imesikia kilio cha wananchi
ccm huwakomoa wapinzani lakini mungu na yeye huwalaani baadhi ya majimbo yao ni masikini zaidiMajimbo ya vijini yako ccm shida zimejaa zakumwaga .
ccm huwakomoa wapinzani lakini mungu na yeye huwalaani baadhi ya majimbo yao ni masikini zaidi
Labdda ukame wa wanaumeUkame wa Tarakea unatisha, huo ndio ukweli mchungu
Soma kichwa cha habari yako linganisha na hicho kibwagizo chako halafu tafakari.Maendeleo hayana vyama!
Hujamsoma mtoa thread kamaanisha kinyumeWewe utakuwa na laana Rombo ni maskini? na kule kwenu Iramba paitwaje?
Ila kishapu ni maskini aiseeMajimbo masikini kabisa ni haya: Kongwa, Kishapu, Misungwi, Chemba, Manyoni, Kibakwe, Kavuu, tuanze na haya kwanza tuwatoe wabunge wa huko!
Kishapu ni matajiri wa bunduki!Ila kishapu ni maskini aisee
Busanda kuna umaskini gani ? Umetoka usingizini nini ?
Nenda chembaNimefika Kibaigwa na Mbande!
Hakuna hata moja kati ya hayo linaloizidi Kwimba kwa umaskini wa watu na vitu pia.Ni aibu kwa chama chetu