CCM tukumbushane majimbo yaliyotopea kwa umaskini baada ya kuongozwa na upinzani ili tuyakomboe tukianza na Rombo

CCM tukumbushane majimbo yaliyotopea kwa umaskini baada ya kuongozwa na upinzani ili tuyakomboe tukianza na Rombo

Majimbo ya vijijini ndio yanaumaskini wewe mtoa mada hujitambui
Mara nyingi ccm hufanya makusudi ili kuwakomoa wapinzani hutengeneza mbinu za kutopeleka maendeleo na hata ikitokea wamepeleka hutengeneza mazingira kuwa ni serikali imesikia kilio cha wananchi
 
Mara nyingi ccm hufanya makusudi ili kuwakomoa wapinzani hutengeneza mbinu za kutopeleka maendeleo na hata ikitokea wamepeleka hutengeneza mazingira kuwa ni serikali imesikia kilio cha wananchi

Majimbo ya vijini yako ccm shida zimejaa zakumwaga .
 
Majimbo mengi hasa mkoani Lindi Singida Tabora na hata morogoro Dodoma mtwara na Rukwa kuna umasikini wa kutisha sana ni mara mia serikali iunde mfumo wa utawala wa majimbo province kama ilivyokuwa Kenya, china, Marekani, South Africa na kila jimbo kuongozwa na Gavana inakuwa rahisi kila jimbo kujilitea maendeleo lenyewe kisha serikali kuu kupata Gawio kwenye mapato yote kwa jumla.
 
Busanda kuna umaskini gani ? Umetoka usingizini nini ?

WEWE UTAKUWA MGENI BUSANDA
Barabara mbovu, maji safi na salama hakuna, umeme uko barabarani tu haujasambazwa kwenye mitaa, zahanati madawa hakuna
Unapata wapi ujasiri wa kujigamba kuwa busanda ni tajiri ili hali dhahabu zetu zinapelekwa kujenga fry over dar kwetu pakavu?
 
Back
Top Bottom