Uchaguzi 2020 CCM tumefanya makosa kwa miaka mitano. Hakuna wa kumlaumu, sasa tulinywe!

 
Juzi namshangaa anavyolalamika eti wakipata Urais Wapinzani watavunja flyover na ndege zitakuwa scrapers. Nikacheka sana. Nikajisemea moyoni yaani mwenyekiti amekata tamaa hivi kiasi hana hoja tena??
Kweli wakati ni ukuta.
Mwenyekiti wetu apatia huruma.
 
Siamini kabisa. Tumewaburuza jamaa kwa miaka mitano leo tunaonekana kama mazwazwa hata kujitetetea hatuwezi tunabakia kuwatumia wakina TID. Shame on Polepole. Sijui walimuokota wapi!
Tukishindwa kujibu hoja tunakwambia kunaviashiria vya uvunjifu wa amani, ukitugonga kwenye msumari umetumwa na mabeberu
 
Wazee wa kusifia lakini ata mlivyo minya uhuru wa habari ni kubana matumizi tu
 
Nimependa hii paragraph [emoji1787]

Mikutano yetu iliyokuwa Mubashara toka Ikulu, leo imegeuka kuwa Maigizo ya wana usalama kuchoma mahindi na bastola kiunoni. Maendeleo yetu ya Flyovers imekuwa Wapinzania kutaka kuuza Scrapper. Hoja mfu!
CCM haina hoja
 
Nimekumbuka kisa cha vazi la ajabu la mfalme aliyekua anatembea uchi huku umati ukimshangilia mpaka pale mtoto mdogo (Lissu) aliposema "lakini mfalme yupo uchi"
Hahaa kwa hiyo mwenye kiti wenu ni mfalme juha !!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…