Uchaguzi 2020 CCM tumefanya makosa kwa miaka mitano. Hakuna wa kumlaumu, sasa tulinywe!

Umeharibikiwa akili kama mgombea wenu chizi, nani hajui mazuri yaliyofanywa na ccm?
 
Acha uongo wewe siyo ccm.kwa taarifa yako ccm ushindi ni 95%
 
Siamini kabisa. Tumewaburuza jamaa kwa miaka mitano leo tunaonekana kama mazwazwa hata kujitetetea hatuwezi tunabakia kuwatumia wakina TID. Shame on Polepole. Sijui walimuokota wapi!
Kuna mshenx mwingine nimemsikia akiinanga CHADEMA na TAL-2020 inachekesha Sana....!!
CCM wameishiwa hoja wanatapata na kushika unyasi ilhali Kasi ya mafuriko Ni Kali kuliko 2015....!!

This time around Magufuli a.k.a Jiwe atawajua Watz Ni watu wa aina gani...!!!Watz wanataka kuona MAENDELEO YAO NA SIYO MAENDELEO YA VITU.....!!!
 
Umeharibikiwa akili kama mgombea wenu chizi, nani hajui mazuri yaliyofanywa na ccm?

Mazuri yaliyofanywa na CCM ni kwa ajili ya Wana-CCM na Magufuli wao na siyo Watz wa vyama vingine na Wasio na vyama...!!
Makundi ya WATUMISHI, WAFANYI BIASHARA na GRADUATES wame- suffer sana kwa kipindi hii ya miaka 5 ..!!

Jiwe asitegemee kuata kura yoyote toka Makundi haya labda iwe za kughushi🤣🤣!!!
 
Bila kupokonya kura Magu 2021 harudi
 
Katika Awamu nilizoshuhudia nikiwa najitambua aisee hii awamu iacheni tu imekithiri sana kwa vitu viwili pacha "UONGO NA UNAFKI"
muongo anaeleza uongo wake, alaf mnafki anaukubali uongo kinafki, watoto wa mjini tunasema ngoma ndroo
 
Waafrika kuna mtu alituroga. Kweli mtu anaweza kuandika upuuzi wa namna hii. Eti kwa miaka 5 CCM imelikoroga kwa kununua ndege, ElimuBure, Flyover, SGR na StieglersGorge.

Nimeamini kurudi nyuma kimaendeleo huwa tunamlaumu mzungu bure lakini ni sisi wenyewe. Wakati mwingine unajiuliza hivi binadamu afanyiwe nini mpaka aridhike. Hii ni laana mbaya sana.

Demokrasia haikutakiwa Africa, inaturudisha sana nyuma. Kwasabbu inawafanya mpaka wapumbavu wajione wana haki. Kuna watu bila kutumia mijeledi hawatawaliki.

Sasa hivi tumepata kiongozi anaetupeleka mbele kimaendeleo mpaka tumefikia uchumi wa kati, Leo tumekua nchi ya kwanza Africa kusambaza umeme kwa wananchi, Madini yetu tumeanza kuyalinda na kupata faida. Lakini kiongozi huyu ambao wengi wanamtamani huko nje, sisi tunamuona hafai tunataka kumpa kichaa atuongozee nchi.
 
Napendekeza Bashiru na Polepole wafukuzwe. Sera zao zinaididimiza chama. Hawajui wajibu nini
 
Kitu kilimuuma Magu ni madaraja, ndege, reli zitakupigia kura..alisema siku ile ametoka kuchukua fomu NEC..uso wake ulionyesha hasira za wazi ila akimkumbuka Amsterdam & CO akaishia hiiiiiìiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…