Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
Yauane! Majambazi mauaji yafarakane! Kufeni ccm, kufa!Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama...
Safi kabisa. Tuanze na Gwajima. Hatuwezi kuwa na wanaCCM wa aina hii. CCM siyo jamhuri ya kambale!Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama...
Shaka anatakiwa ajue chama kina uhuru wa kuongea.
No need of beating about the bush 'call a spade a spade not a big spoon'Anzeni na hawa na matokeo yawe wazi bila kuficha.
1.Ndugai
2.Mwigulu...
Mzito kivipiMama Samia amewalea mamluki wansompinga wazi wazi.
Tumelisemea hili lskini ni mzito kuchukua hatua.
Ana wazimu huyo, kwani CCM imekuwa mali yake?CCM hampendi changamoto kabisa.
Taarifa zilizopo ni kwamba bibi ameagiza Gwajima afukuzwe chama kwa msimamo wake wa kupinga chanjo ya korona.
Hatari Sana hii.
Maoni hayapigwi mawe.....Kikwete