CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama...
Yauane! Majambazi mauaji yafarakane! Kufeni ccm, kufa!
 
Katibu wa uenezi wa CCM Dr Shaka amesema chama kinawafuatilia kwa karibu viongozi wote wanaokwenda kinyume na mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa JMT kuhusiana na chanjo za Corona.

Source: Eatv!
 
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama...
Safi kabisa. Tuanze na Gwajima. Hatuwezi kuwa na wanaCCM wa aina hii. CCM siyo jamhuri ya kambale!
 
"Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.

CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi iyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM"

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.
26 Julai, 2021

IMG_20210726_152029_615.jpg
 
Gwajima ni mpenda haki na msema ukweli siku zote na kama kuna jambo haliendi sawa huwa siyo muoga kuliweka wazi tungepata viongozi kama Gwajima nchi ingekaa sawa.
 
Chama Cha Mapinduzi kinafuatilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake.


Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.

CCM inawahakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.

IMG-20210725-WA0286.jpg
 
CCM hampendi changamoto kabisa.

Taarifa zilizopo ni kwamba bibi ameagiza Gwajima afukuzwe chama kwa msimamo wake wa kupinga chanjo ya korona.

Hatari Sana hii.

Maoni hayapigwi mawe.....Kikwete
 
Kumekucha!

Gwajima na wale wa Tozo za miamala: bila shaka Madelu na Jobo, sasa ni rasmi watakuwa wuamekalia Kuti Kavu:



Kwamba mama keshatoa msimamo na wao wanajifanya vidume? Wao wanadinda na kutoa misimamo yao kwa maslahi binafsi?

Utovu mkubwa huu wa nidhamu kwa madam president ambaye pia ndiye mwenyekiti wa CCM hauvumiliki tena.

Tayari wako kwenye notice.

--------
My take:

Marudio ya sinema ya Diallo na Msukuma yanaonekana yako karibu.

IMG_20210614_192655_399.jpg


Tusubiri sasa moto faya tokea kwake Chief Msukuma mzee wa mipasho.
 
Kwa mujibu wa katibu mwenezi wa ccm ndg Shaka wote waliopinga maagizo na maelekezo ya mwenyekiti juu ya suala la chanjo ya korona na tozo wajiandaye kukiona cha mtema kuni.


Source:ITV
 
CCM hampendi changamoto kabisa.

Taarifa zilizopo ni kwamba bibi ameagiza Gwajima afukuzwe chama kwa msimamo wake wa kupinga chanjo ya korona.

Hatari Sana hii.

Maoni hayapigwi mawe.....Kikwete
Ana wazimu huyo, kwani CCM imekuwa mali yake?
 
Back
Top Bottom