CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

Acha kuingiza hoja dhaifu ya udini na ukabila wewe! Gwajima hajaongelea dini ya mtu wala kabila la mtu! Hoja yake ni kukataa chanjo kwa lazima na wewe unapswa ujikite kujibu hoja hii! Gwajima hajapingana na Rais kwa sababu wanatofautiana dini wa la kabila.
Ukabila ukabila ukabila hilo halina ubishi.
Kuna watu walitoroka kule nchi jirani wakati wa vita vya maziwa makuu wakajichanganya na makabila ya ukanda wa ziwa . Hao watu asili yao ni kupenda madaraka kwa namna yoyote.
Ni wabinafsi mbaya kabisa. Wanasaka Mali kwa kuua mpaka albino. Waliendesha biashara haramu za samaki na dagaa ziwani.
Ni watu waovu sana wanaojificha kwenye dini na siasa.
Wanajifanya kuwa ni wasukuma au wahaya au wakurya au Waha au Wanyamwezi lakini kiukweli sio watu katika makabiala hayo Bali ni watu waliokosa fursa huko kwenye nchi zao za awali na kukimbilia ukanda huo.
Hawa kwa muda mrefu walikua wanasumbua sana serikali kwa kupanga njama mbalimbali.

Kumbuka miaka ya 2000 kuelekea 2010 ujambazi ulivyokua umeshamiri Ukanda huo na utekaji wa mabasi.

Kwa nini walishindwa kudhibitiwa kwa muda mrefu wakati nchi yetu ina majeshi imara?
Jibu ni kuwa ndani ya serikali walikua na mawakala wao wengi sana.

Unakumbuka kilichopelekea Lisu kupigwa Risasi ni kile kile kilichopelekea Mbowe kubambikiziwa kesi ya Ugaidi ?

Lisu alimtuhumu Mwendazake kuwa anaendesha nchi kikabila na kidini kwa sababu aliwavunjia nyumba watu wa Kibamba ambao wengi wao ni wachaga lakini wale wa Mwanza alisema wasivunjiwe bila kulipwa.
Alisema dini zote zilizuiwa kupewa vibali vya kwenda nje isipokua RC.

Baada ya siku chache Lisu alipigwa Rusasi . Hofu ya Wale watu kuwa watanzania wameanza kufunguliwa macho na kujua njama zao za Ukanda na Ukabila kupeana vyeo na kukwapua Fedha za nchi hii kwa kujilimbikizia mali zilipelekea kutaka kumuua Lisu.

Mbowe alijitokeza hadharani na kutamka wazi kuwa Awamu ya Tano iliendeshwa kikabila na kikanda. Mbowe akasisitiza kuwa awamu ya mwenda zake iliwagandamiza wachaga na kuwanyima ajira na kuua biashara zao.
Ukweli huo uliwaumiza sana wale wanaojificha nyuma ya makabila ya ukanda wa ziwa na kupanga njama za kulipa kisasi kwa Mbowe kwa kuwa ameweka tena hadharani njama za kuitawala nchi hii kitemi na kikabila chini ya mwavuli wa katiba inayomwezesha Rais kuifanya nchi hii kuwa Mali yake na familia yake kwa kutumia mtutu wa bunduki za askari walioapa kusimamia haki na usalama wa wote.
Kwa sasa ni maslahi ya CCM na wale watu wanaojificha chini ya mwavuli wa Ukanda wa ziwa ndio yanayolindwa sio taifa.

Kuna group moja la wale watu wanamsifia sana Gwajiboy na kusema ni Msukuma mwenye ujasiri kama Mwenda zake hivyo anafaa kuwa rais 2025. Yote ni ukabila.
Bahati Mbaya Mama samia hana mtandao mkubwa na wenye hila kama wenzake wanaomzunguka ambao waligombea mpaka Urais na Mwenda zake.

Gwajima ukimsikiliza vizuri utagundua kuwa kwenye Genge lao wanaamini kuwa Mwenda zake akiuawa . Dhana ambayo ni mbaya sana na inaleta visasi na chuki mbaya sana kwa jamii.

Wachunguzeni wanaojifanya wazalendo wa kuwaumiza wapinzani ndani na nje ya vyombo vya dola. Ni mabilionea ,pesa wamezitoa wapi?
Hata hao wanaomsakama Mbowe ni mabilionea wakati mishahara yao inajulikana. Je,nani anawapa hizo fedha kama sio magenge ya kiwizi na kihalifu ndani ya dola.?
Bila kuwa na sheria na Katiba mpya hata CCM na hao walioifilisi nchi hii kwa mitutu ya Bunduki IPO siku hata makaburi yao yatajengwa vyoo juu yake.

Korona inaua kila siku badala ya watu kukaa pamoja kama Taifa na kuhurumiana wao wanawaza kuuana na kuumizana kugombania madaraka. Yupo wapi aliyekua anaogopwa kuliko Mungu. Ingekua Cheo na bunduki ndio uzima wake angeishi milele.
Jifunzeni kukosa na kupata sio kupata tuu. Ipo siku mtakosa amani kwa matendo yenu maovu juu ya binadamu wenzeni kwa sababu tu ya vyeo na Mali.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
CCM hawawezi kumgusa Gwajima,ana 'watu' wakimgusa chama kinasambaratika mchana kweupeeeeee. Hawamuwezi amejipanga
Maneno na dua kama hizi yalisemwa sana enzi zile za Lowasa kwamba wakimkata ccm itasambaa. Lkn wakimkata na bado ccm inadunda tu. Atakuwa Gwajima!!!!?
 
Mama ametoka Zanzibar kaja kuitawala Tanganyika kiulaini Sana yaani. Daah! Katiba hii!!
Wewe pia unatakiwa ufunguliwe kesi ya uchochezi kwa kujaribu kuamdha hisia za watu kwa kutumia Uzanzibar na Utanganyika na kupotosha katiba yetu ambayo inampa haki mtu yeyote kutoka Tanzania (bara na visiwani) kuwa rais wa jamuhuri ya muungano.

Jamani wahusika, watu kama hawa ndio wakuanza nao ili wawe mfano. Gaidi sio lazima atumie silaha, hata anayefanya propaganda kama hizi pia ni gaidi.
 
Wewe pia unatakiwa ufunguliwe kesi ya uchochezi kwa kujaribu kuamdha hisia za watu kwa kutumia Uzanzibar na Utanganyika na kupotosha katiba yetu ambayo inampa haki mtu yeyote kutoka Tanzania (bara na visiwani) kuwa rais wa jamuhuri ya muungano.

Jamani wahusika, watu kama hawa ndio wakuanza nao ili wawe mfano. Gaidi sio lazima atumie silaha, hata anayefanya propaganda kama hizi pia ni gaidi.
Hahaha! Acha nicheke kwa dharau kwanza. Naona unalamba viatu vya mama mpk kinyesi anacho kanyaga aunaona ni kama sukari. Pole sana kwa unafiki.
 

Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.

CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM.

Kauli hii ya CCM imetokana na kauli kinzani zinazotolewa na baadhi ya makada wake katika masuala ambayo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT amekwishayatolea maelekezo ikiwemo suala la tozo na COVID-19.

Shaka Hamdu Shaka,
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.
Je vipi wale wanaoenda kinyume na jitihada za mwenyekiti za kuliunganisha taifa,kwa kubadili uelekeo wa ubambikiaji kesi na migawanyiko ya kiitikadi .Je ni ipi kauli ya chama kuhusiana na wote wanaopingana na mwenyekiti katika haya?
 
Hayo mapesa ya wazungu mliyokula ni bora myatapike.

Watanzania hawataki kudungwa michanjo ya hovyo hovyo ya kuokoteza.

Huyo mwenyekiti wenu uchwara akikosea anakoselewa tu. Kwani ye' nani mpaka asikosolewe?

Kibibi chenyewe goigoi hakiwezi hata kuongoza.

Mabeberu wameki-fix kimeshafyata mkia!

Kwendeni huko na kibibi chenu hiko! Kidalali cha machanjo ya mabeberu!
Unawatanzania wangapi wamefika kwako wamekuambia hawataki CHANJO IDADI ya tz zaidi MILIONI MOJA je nusu yao wamekuja kwako kukuambia hawata au UMEKAA UMESHIBA UGALI NA DAGAA WAIBUKA WATANZANIA HAWATAKI , MWACHE M/KITI AFANYE KAZI YAKE NA UZURI ALISEMA SIO LAZIMA SASA UKIONA UTAKI KAA ULE DAGAA WAKO
 
Back
Top Bottom