Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kesho chanjo inazinduliwa
Tuko na Gwajima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko na Gwajima.
Ukabila ukabila ukabila hilo halina ubishi.Acha kuingiza hoja dhaifu ya udini na ukabila wewe! Gwajima hajaongelea dini ya mtu wala kabila la mtu! Hoja yake ni kukataa chanjo kwa lazima na wewe unapswa ujikite kujibu hoja hii! Gwajima hajapingana na Rais kwa sababu wanatofautiana dini wa la kabila.
Maneno na dua kama hizi yalisemwa sana enzi zile za Lowasa kwamba wakimkata ccm itasambaa. Lkn wakimkata na bado ccm inadunda tu. Atakuwa Gwajima!!!!?CCM hawawezi kumgusa Gwajima,ana 'watu' wakimgusa chama kinasambaratika mchana kweupeeeeee. Hawamuwezi amejipanga
Wewe pia unatakiwa ufunguliwe kesi ya uchochezi kwa kujaribu kuamdha hisia za watu kwa kutumia Uzanzibar na Utanganyika na kupotosha katiba yetu ambayo inampa haki mtu yeyote kutoka Tanzania (bara na visiwani) kuwa rais wa jamuhuri ya muungano.Mama ametoka Zanzibar kaja kuitawala Tanganyika kiulaini Sana yaani. Daah! Katiba hii!!
Hahaha! Acha nicheke kwa dharau kwanza. Naona unalamba viatu vya mama mpk kinyesi anacho kanyaga aunaona ni kama sukari. Pole sana kwa unafiki.Wewe pia unatakiwa ufunguliwe kesi ya uchochezi kwa kujaribu kuamdha hisia za watu kwa kutumia Uzanzibar na Utanganyika na kupotosha katiba yetu ambayo inampa haki mtu yeyote kutoka Tanzania (bara na visiwani) kuwa rais wa jamuhuri ya muungano.
Jamani wahusika, watu kama hawa ndio wakuanza nao ili wawe mfano. Gaidi sio lazima atumie silaha, hata anayefanya propaganda kama hizi pia ni gaidi.
Je vipi wale wanaoenda kinyume na jitihada za mwenyekiti za kuliunganisha taifa,kwa kubadili uelekeo wa ubambikiaji kesi na migawanyiko ya kiitikadi .Je ni ipi kauli ya chama kuhusiana na wote wanaopingana na mwenyekiti katika haya?
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.
CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM.
Kauli hii ya CCM imetokana na kauli kinzani zinazotolewa na baadhi ya makada wake katika masuala ambayo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT amekwishayatolea maelekezo ikiwemo suala la tozo na COVID-19.
Shaka Hamdu Shaka,
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.
Unawatanzania wangapi wamefika kwako wamekuambia hawataki CHANJO IDADI ya tz zaidi MILIONI MOJA je nusu yao wamekuja kwako kukuambia hawata au UMEKAA UMESHIBA UGALI NA DAGAA WAIBUKA WATANZANIA HAWATAKI , MWACHE M/KITI AFANYE KAZI YAKE NA UZURI ALISEMA SIO LAZIMA SASA UKIONA UTAKI KAA ULE DAGAA WAKOHayo mapesa ya wazungu mliyokula ni bora myatapike.
Watanzania hawataki kudungwa michanjo ya hovyo hovyo ya kuokoteza.
Huyo mwenyekiti wenu uchwara akikosea anakoselewa tu. Kwani ye' nani mpaka asikosolewe?
Kibibi chenyewe goigoi hakiwezi hata kuongoza.
Mabeberu wameki-fix kimeshafyata mkia!
Kwendeni huko na kibibi chenu hiko! Kidalali cha machanjo ya mabeberu!
There is no specific target.Target Acquired: Gwaji Boy.
Chadema ni kubwa kuliko. Hamjajua tuThere is no specific target.
CCM ni chama kikubwa chenye kujitambua.
Hakuna mkubwa zaidi ya CCM
Wanajua vizuri, ila kwa hapa JF ni lazima wakupinge ili kulinda ugali wao.There is no specific target.
CCM ni chama kikubwa chenye kujitambua.
Hakuna mkubwa zaidi ya CCM