Mama ametoka Zanzibar kaja kuitawala Tanganyika kiulaini Sana yaani. Daah! Katiba hii!!Ana wazimu huyo, kwani CCM imekuwa mali yake?
"Chama cha majambazi kinafuatilia kwa makini mienendo ya majambazi wake"Chama Cha Mapinduzi kinafuatilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake.
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.
CCM inawahakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.
View attachment 1869351
Danganya toto tu hiyo walikuwa wanaandaa mazingira ya kumpeleka Mbowe gerezaniKwa mujibu wa katibu mwenezi ndg Shaka wote waliopinga maagizo na maelekezo ya mwenyekiti juu ya suala la chanjo ya korona na tozo wajiandaye kukiona cha mtema kuni.
Source:ITV
Jiwe alianza hivi hivi ikafika mahala akawa tishio kwa kila mtu.Danganya toto tu hiyo walikuwa wanaandaa mazingira ya kumpeleka Mbowe gerezani
Hii ni hatari Sana!!!nasema tena
"Zidumu fikra za Mwenyekiti"
Huu upendeleo mbona Diallo bado mwenyekiti au yeye matamshi yake hayawahusu?CCM hampendi changamoto kabisa.
Taarifa zilizopo ni kwamba bibi ameagiza Gwajima afukuzwe chama kwa msimamo wake wa kupinga chanjo ya korona.
Hatari Sana hii.
Maoni hayapigwi mawe.....Kikwete
Mama ameamua kuwa kimya Sasa ili apambane na wenye nchi yao. Mpk waombe poo!Huu upendeleo mbona Diallo bado mwenyekiti au yeye matamshi yake hayawahusu?
.....haukubaliki kabisa kabisa....
CCM inamuogopa sana Askofu Rashid Gwajima kwani ana watu,mkileta fyoko anaweza kuwafanya chochote,hamumuwezi huyo pornstar.Chama Cha Mapinduzi kinafuatilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake.
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.
CCM inawahakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.
View attachment 1869351
Ikiwa Manara tu anapigania maslahi ya SSC kufa na kupona....iweje iwe tofauti kwa mh.Shaka Hamdu Shaka anayekisemea chama kinachoongoza dola la JMT?!!!Huyo dogo hana kingine cha kueneza zaidi ya kutishia watu wazima nyau?
Ntashangaa president Samia na Mohamed mcherenga , na Shaka , na mkuu wa TISS, Kama wataacha kumshughulikia huyu taperi mmoja asiye na heshima kwa mamlaka,Kwa mujibu wa katibu mwenezi ndg Shaka wote waliopinga maagizo na maelekezo ya mwenyekiti juu ya suala la chanjo ya korona na tozo wajiandaye kukiona cha mtema kuni.
Source:ITV