CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

Suala la chanjo ya UVIKO ni ajenda ya ulimwengu mzima.

Kila atakayerefusha mdomo kuipinga huishia kufa au kuanguka publically.

Kuna mawili...

1) Utafutwa ubunge

2. Utauliwa.
Na lile kanisa lake lipo kwenye road Reserve inabidi alihamishe
 
Ntashangaa president Samia na Mohamed mcherenga , na Shaka , na mkuu wa TISS, Kama wataacha kumshughulikia huyu taperi mmoja asiye na heshima kwa mamlaka,

Wakimuacha wajiandae atafanya upuuzi na dharau zaidi ya hizo..

Gwajima inatakiwa itumike namna Kama yakufuta maandishi kwenye kitabu, azimwe tu, Ni mtu hatari sana
Kama humjui gwajima vzur ww kijana wa leoo muulizee mstaafu kikwete na makonda watakupa habari zake..
Gwajima ni mutu na nusu erooo..
 
Hawezi kufutwa ubunge, kwasababu Gwajima ni jeuri kuliko Mwenyekiti wa CCM na pia ametumwa na hao hao CCM kumtingisha Rais SSH ili wamweke kwenye tisini asigombee 2025.

Kifupi, Gwajima anatimiza agizo la wana CCM wenye uchu wa madaraka ya urais (Mwigulu Nchemba & Co Ltd In Collaboration With Sukuma Gang) kumfanyia hujuma, figisu na fitina Rais SSH.

Simple logical theory wanayotumia Mwigulu Nchemba & Co Ltd; Rais SSH anatakiwa atingishwe kisawasawa,

1) Afitinishwe na wananchi kwa kupandisha kodi/tozo kwa wanyonge (Miamala Ya Simu, Wakulima, Wavuvi). Hapa ametumika Mwigulu Nchemba.

2) Afitinishwe na vyombo vya Usalama. Hapa ametumika Gwajima.

3) Afitinishwe na dunia nzima kwa kuwapa viongozi wa upinzani kesi za Ugaidi. Hapa vimetumika vyombo vya Police.

4) Akose kuungwa mkono na CCM wenyewe ndani kwa ndani kwa kuona hana msimamo thabit. Hapa itatumika CCM yenyewe kwenye vikao vya NEC taif.

Rais SSH cha ajabu bado hajaona sinema hii, akiendelea kuwalea hao viumbe hachomoki kwenye kikaango cha CCM wenye uchu wa madaraka, ndio kwanza 2021 mpaka 2025 ni mwendo masafa marefu na Rais SSH ajiandae kwa kuvaa viatu vizuri tu.
Pacha umeweza kuwaza nje ya box. Mambo haya yanahitaji sana upeo mkubwa kuweza kuyang'amua.
 
Huyu si ndo yule jamaa alikulaga kondoo ...hivi kumbe alipata nafasi ya kuingia mjengoni😂😂😂
 
Atapewa adhabu ya karipio, labda akaze kichwa afukuzwe ahamie upinzani agombee tena🤣
 
Gwajima apewe ulinzi, huyo ni asset adimu sana kuwahi kutokea nchini. strong man at work!, tikisa vyura wote. Sijajua amezungumza kama PHd holder, kama Bishop, kama Member of parliament, kama mwanaCCM ama kazungumza kama mwananchi wa kawaida. Hapa ndipo sijamuelewa...ila kwa ujumla mm binafsi namuelewa sana Gwajima kama Bishop, God bless him
 
Huyo hata akifukuzwa uanachama naona ni kazi bure tu, hivi ana cha kupoteza kweli? Au ndio umaarufu ndio utakubwa mkubwa? Sijui.
 
Shaka nilikwisha mpuuza tangu alipo toa tamko juu ya yule mbunge viti maalumu Majige
 
Kwa mujibu wa katibu mwenezi ndg Shaka wote waliopinga maagizo na maelekezo ya mwenyekiti juu ya suala la chanjo ya korona na tozo wajiandaye kukiona cha mtema kuni.


Source:ITV
1836659_9f8a9a57a9d96f92002b66d0c7f34287.jpg
 
Pacha umeweza kuwaza nje ya box. Mambo haya yanahitaji sana upeo mkubwa kuweza kuyang'amua.
Pacha hii sinema safari hii ni kiboko ya karne. Mama akiendelea kujifanya kaziba masikio kwetu viherehere wa JamiiForums tunao jaribu kumpigia kelele na kumuuzia ramani ya vita. Imekula kwake.

Sisi Yetu [emoji102][emoji102]
 
Wanaweza wakamzimisha Gwajima Ila tupo wengine tutaongea pia , hakuna haja ya kutishana , kama Mungu alitoa Uhuru Kwa mwanadamu mkaidi , lakini still to-date amepewa Uhuru wa maamuz inakuwaje Sisi wote tunaoenda chooni kuanza kuchimbana mkwara wa kiduwanzi....!!! Gwajima katoa hoja , tupeni side effect ya chanjo , component yake na uhalali wa ku- circulate kwenye maisha ya kibinadamu then anakuja boya mmoja anaita press conference kuchimba mkwara ...
Huwa sielewi matumizi ya nafasi ya mwenezi,amekuwa hakimu badala yakuunganisha watu kwa Sera na upendo.
Wanaotoa hoja wanachanganua,yeye anakuja na command ya jina la mtu.Hatari sana
 
Gwajima ni asset na sio liability, atasamehewa na maisha yataendelea. But huyu atakuja kuwa Mtikila wa pili atasumbua sana na shida yake ni madaraka makubwa zaidi worst case scenarion huyu anatokea kanda ya ziwa ( kanda ambayo ina wapiga kura wengi pia)halafu fitina anazijua. Pili amesimama kutoka kwenye kundi la dini that is why he is an asset and not a liability.
Kishaonja Asali sasa anachonga mzinga.
 
Kwa mujibu wa katibu mwenezi ndg Shaka wote waliopinga maagizo na maelekezo ya mwenyekiti juu ya suala la chanjo ya korona na tozo wajiandaye kukiona cha mtema kuni.


Source:ITV
CCM hawawezi kumgusa Gwajima,ana 'watu' wakimgusa chama kinasambaratika mchana kweupeeeeee. Hawamuwezi amejipanga
 
Back
Top Bottom