CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

Kwingine kote umepatia Ila hapo kwenye dini umebugi,kiimani ile misukule yake pale ubungo tu ndiyo inamkubali
 
Daah! Mkuu umeandika maandishi mazito Sana.
 
Unamaanisha wanaandaa taratibu za kuchukua jimbo kwanza kisha ndo wanafukuza sio?
Siku hizi hakuna uchaguzi. Huwa kuna usimikaji wa watu wa ccm kuwa rais, wabunge na madiwani.
 
Kuna Wanachama WAWILI wa CCM wamejitokeza HADHANI KUPINGA Msimamo wa MWENYEKITI wa CCM na RAIS Samia Juu ya Suala la TOZO na CHANJO ya CORONA.

MWENYEKITI na RAIS Samia Alitoa Maelekezo juu ya TOZO baada ya kusikia KILIO cha WANANCHI na Ametamka kwa kusema Ataangalia ni namna gani Watendaji wake waone namna ya Kufanya MAREKEBISHO Lakini SPIKA wa BUNGE Amekuwa Anatoa KAULI za Kuonyesha kuwa hakuna kinachoweza KUBADILISHWA na RAIS sana sana Anawataka Wanaopinga TOZO watoe Mbadala wa TOZO Kauli ambayo inakinzana na MAELEKEZO ya RAIS Huu ni USALITI Kuhusu CHANJO.

MBUNGE wa KAWE ASKOFU Gwajima yeye ANAPINGA WAZI WAZI Upokeaji wa CHANJO kutoka MAREKANI na Kuwataka Wananchi KUIKATAA na Akasema kuwa Walioruhusu Chanjo WAMEHONGWA na MABEBERU Kauli ambacho ni ya KICHOCHEZI na USALITI. Atasemaje Walioruhusu CHANJO WAMEHONGWA Je ALIYERUHUSU CHANJO ni NANI? Ni WAKATI wa CCM kuwafukuza CHAMANI Wabunge hawa kwani WANAPINGA na SERIKALI na CHAMA na Pia RAIS SAMIA.



Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Na nyie CCM muelewe kuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake. Msiwasumbue vyama vya upinzani basi kwa kutoa maoni yao.
 
Pacha hii sinema safari hii ni kiboko ya karne. Mama akiendelea kujifanya kaziba masikio kwetu viherehere wa JamiiForums tunao jaribu kumpigia kelele na kumuuzia ramani ya vita. Imekula kwake.

Sisi Yetu [emoji102][emoji102]
Hahaha sisi acga tuvute seat pacha tuangalie drama linavyo unfold.
 

Gwajima ni TAPELI ,anapandikiza chuki ili kulinda MISUKULE yake waendelee kumpa sadaka.
 
Tozo ni kubwa sana na Chanjo isiwe lazima kila anayejisikia afanye hivyo.

Ndio maana Mungu akampa kila mtu mwili wake hivyo swala la kuruhusu kitu flani juu ya mwili wa mtu lipo ndani ya maamuzi ya mtu husika aliyepewa jukumu la kwanza la uangalizi na Mungu muumba.
 
Waanze na Job. Gwajiboy alionge Kama Mchungaji na si Mbunge. Hata hivyo watanzania wengi hawako tayari kuchanjwa.
 
Waanze na Job. Gwajiboy alionge Kama Mchungaji na si Mbunge. Hata hivyo watanzania wengi hawako tayari kuchanjwa.
Ni kweli Gwajiboy akiitwa chamani atawashinda kwa hoja kutokana na jukwaa alilotumia,hapo labda watumie nguvu ya usalama kumtisha
 
Ni kweli Gwajiboy akiitwa chamani atawashinda kwa hoja kutokana na jukwaa alilotumia,hapo labda watumie nguvu ya usalama kumtisha
Nimeona arguments za wanasiasa wanaompinga Gwajiboy, wote utaona wanashambulia personality yake. Hakuna hata mmoja anayetoa utetezi wa kisayansi kupinga mtazamo wa Gwajiboy. Kwa kuwa tangu Disemba 2020 Chanjo ya corona ilianza kutolewa sehem mbalimbali duniani, Basi watetezi wa Chanjo waje na Epidermilogical evidence on the efficacy and efficiency ya Chanjo hizo. Hali ikoje kwenye hizo nje zenye Chanjo? Kabla na baada ya Chanjo.
Even my fellow doctors who are working with patients daily are not ready to be used as test organism Wakati wenzetu wanachomwa Placebo.
 
Should it be a STERN WARNING or a severe punishment for the committed MISCONDUCT?!!!!

Nikiwa kijana wa CCM nimefedheheshwa sana na kuwaona baadhi ya makada wenzetu wakidhihaki hatua adhimu za serikali....

Mbaya zaidi ni hatua zenye maelekezo ya mh.Rais SSH....

Je huku si kumpora mh.Rais nguvu zake "presidential decree"?!!!

This is a havoc and misdemeanor of the Constitutional maximal...

It's high time now for the fellow compatriots to change for the sake of the country's and party's interests.......

Kongole kwake Kamarada Shaka Hamdu Shaka👊

#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaCCM
#SiempreSSH
#VivaCCM
#AlutaContinua

#KaziInaendelea
#TujiandaeKuchanjaChanjoDhidiYaUviko
 
"Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama"-Shaka H.Shaka Katibu Mwenezi CCM.

- Naona Safari ya 2025 inaanza mdogomdogo.
 
Tupo VITANI....

Tupo mapambanoni dhidi ya UVIKO.....

Ingalikuwa askofu Gwajima amefanya TAFITI ZA KISAYANSI na kugundua HIZO SUMU ZILIZOKO NDANI YA CHANJO DHIDI YA UVIKO AMBAYO SERIKALI INAJUA NA INATAKA TU KUWADHURU WATANZANIA....ningemuunga mkono.....

Ila kutumia tu "conspiracy theories" na kuongozwa na misimamo ya kiimani kuwashajiisha watanzania WAIKATAE CHANJO HII na kuwabandika MAJINA MABAYA wote wanaoiunga mkono...na kutaka WENGINE WACHANJWE kuwa ni "MAKUWADI NA WALIONUNULIWA NA MABEBERU" ni kuikosea JAMII YA KISTAARABU inayotaka majibu kwa maswali magumu.....

Hakuishia hapo ,aliwaombea LAANA YA KIFO MADAKTARI WOTE(WIZARA YA AFYA) wanaoiunga chanjo mkono na wanaotaka wengine wachanjwe...

This is UNFAIR and TOTALLY TERRIBLE.......

#ChanjoNiMuhimu
#TujitokezeKuchanjwa
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Kusema ukweli sielewi kwanini watanzania hawajui maana ya democracy...Mbona kwenye imani imewezekana na kila mtu anaamini yake ila sheria za nchi zinatuleta pamoja? Chanjo imefuata hiyo hiyo njia na Rais na tume walishaiweka vizuri kwamba mwenye kutaka chanjo ipo na at hos or her own risk...Sasa haya mambo ya huyu kumbandika jina mara huyu naye kutaka kulazimisha wengine yanatoka wapi?

Its so sad!

Taifa lina kosa critical thinkers, why Lord!
 
Ccm ibebeni hii hoja ya katiba. Muda umekwenda sana, msibaki na mawazo ya kizamani. Kama katiba ilikuwa muhimu 2014 leo itakuwa ni muhimu zaidi. Msisubiri nguvu ya wananchi kuwazidia ndipo mfungue macho. Itakuwa too late. USHAURI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…