Acha kuingiza hoja dhaifu ya udini na ukabila wewe! Gwajima hajaongelea dini ya mtu wala kabila la mtu! Hoja yake ni kukataa chanjo kwa lazima na wewe unapswa ujikite kujibu hoja hii! Gwajima hajapingana na Rais kwa sababu wanatofautiana dini wa la kabila.
Ukabila ukabila ukabila hilo halina ubishi.
Kuna watu walitoroka kule nchi jirani wakati wa vita vya maziwa makuu wakajichanganya na makabila ya ukanda wa ziwa . Hao watu asili yao ni kupenda madaraka kwa namna yoyote.
Ni wabinafsi mbaya kabisa. Wanasaka Mali kwa kuua mpaka albino. Waliendesha biashara haramu za samaki na dagaa ziwani.
Ni watu waovu sana wanaojificha kwenye dini na siasa.
Wanajifanya kuwa ni wasukuma au wahaya au wakurya au Waha au Wanyamwezi lakini kiukweli sio watu katika makabiala hayo Bali ni watu waliokosa fursa huko kwenye nchi zao za awali na kukimbilia ukanda huo.
Hawa kwa muda mrefu walikua wanasumbua sana serikali kwa kupanga njama mbalimbali.
Kumbuka miaka ya 2000 kuelekea 2010 ujambazi ulivyokua umeshamiri Ukanda huo na utekaji wa mabasi.
Kwa nini walishindwa kudhibitiwa kwa muda mrefu wakati nchi yetu ina majeshi imara?
Jibu ni kuwa ndani ya serikali walikua na mawakala wao wengi sana.
Unakumbuka kilichopelekea Lisu kupigwa Risasi ni kile kile kilichopelekea Mbowe kubambikiziwa kesi ya Ugaidi ?
Lisu alimtuhumu Mwendazake kuwa anaendesha nchi kikabila na kidini kwa sababu aliwavunjia nyumba watu wa Kibamba ambao wengi wao ni wachaga lakini wale wa Mwanza alisema wasivunjiwe bila kulipwa.
Alisema dini zote zilizuiwa kupewa vibali vya kwenda nje isipokua RC.
Baada ya siku chache Lisu alipigwa Rusasi . Hofu ya Wale watu kuwa watanzania wameanza kufunguliwa macho na kujua njama zao za Ukanda na Ukabila kupeana vyeo na kukwapua Fedha za nchi hii kwa kujilimbikizia mali zilipelekea kutaka kumuua Lisu.
Mbowe alijitokeza hadharani na kutamka wazi kuwa Awamu ya Tano iliendeshwa kikabila na kikanda. Mbowe akasisitiza kuwa awamu ya mwenda zake iliwagandamiza wachaga na kuwanyima ajira na kuua biashara zao.
Ukweli huo uliwaumiza sana wale wanaojificha nyuma ya makabila ya ukanda wa ziwa na kupanga njama za kulipa kisasi kwa Mbowe kwa kuwa ameweka tena hadharani njama za kuitawala nchi hii kitemi na kikabila chini ya mwavuli wa katiba inayomwezesha Rais kuifanya nchi hii kuwa Mali yake na familia yake kwa kutumia mtutu wa bunduki za askari walioapa kusimamia haki na usalama wa wote.
Kwa sasa ni maslahi ya CCM na wale watu wanaojificha chini ya mwavuli wa Ukanda wa ziwa ndio yanayolindwa sio taifa.
Kuna group moja la wale watu wanamsifia sana Gwajiboy na kusema ni Msukuma mwenye ujasiri kama Mwenda zake hivyo anafaa kuwa rais 2025. Yote ni ukabila.
Bahati Mbaya Mama samia hana mtandao mkubwa na wenye hila kama wenzake wanaomzunguka ambao waligombea mpaka Urais na Mwenda zake.
Gwajima ukimsikiliza vizuri utagundua kuwa kwenye Genge lao wanaamini kuwa Mwenda zake akiuawa . Dhana ambayo ni mbaya sana na inaleta visasi na chuki mbaya sana kwa jamii.
Wachunguzeni wanaojifanya wazalendo wa kuwaumiza wapinzani ndani na nje ya vyombo vya dola. Ni mabilionea ,pesa wamezitoa wapi?
Hata hao wanaomsakama Mbowe ni mabilionea wakati mishahara yao inajulikana. Je,nani anawapa hizo fedha kama sio magenge ya kiwizi na kihalifu ndani ya dola.?
Bila kuwa na sheria na Katiba mpya hata CCM na hao walioifilisi nchi hii kwa mitutu ya Bunduki IPO siku hata makaburi yao yatajengwa vyoo juu yake.
Korona inaua kila siku badala ya watu kukaa pamoja kama Taifa na kuhurumiana wao wanawaza kuuana na kuumizana kugombania madaraka. Yupo wapi aliyekua anaogopwa kuliko Mungu. Ingekua Cheo na bunduki ndio uzima wake angeishi milele.
Jifunzeni kukosa na kupata sio kupata tuu. Ipo siku mtakosa amani kwa matendo yenu maovu juu ya binadamu wenzeni kwa sababu tu ya vyeo na Mali.
Sent from my TECNO L8 Lite using
JamiiForums mobile app