CCM: Tunayataka mataifa yote duniani yaliyoiwekea vikwazo nchi ya Zimbabwe kuondoa vikwazo hivyo mara moja

CCM: Tunayataka mataifa yote duniani yaliyoiwekea vikwazo nchi ya Zimbabwe kuondoa vikwazo hivyo mara moja

Mzee siku hizi kushwinei... hata demekorasia ikibakwa hawezi kukemea... kutokana na misimamo yake huko nyuama... anamaliza uzee vibaya! Tangu alipobanwa na wanamatandao akaenda kulima viazi Njombe... then akarudishwa amekuwa mwepesi kama mabua ya mpunga!
Duuuh Watu mnakumbuka historia
 
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Phillip Mangula amesema CCM inataka kuyaona mataifa yaliyoiwekea Zimbabwe vikwazo yanaviondoa mara moja.

Mzee Mangula amesema ni wakati muafaka sasa nchi za Afrika kuunganisha nguvu ili kupambana na nguvu za mabeberu.

Hivyo CCM inaweka msimamo wa Diplomasia ya kimataifa kuhusu Zimbabwe na inataraji itaungwa mkono na vyama vyote vya kizalendo Afrika.

Source Channel ten mubashara!
 
Ccm uchwara katika ubora wake ,hivi huyu mzee Zimbabwe anaifahamu vizuri na serikali yake iliyopita na sasa
 
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Phillip Mangula amesema CCM inataka kuyaona mataifa yaliyoiwekea Zimbabwe vikwazo yanaviondoa mara moja.

Mzee Mangula amesema ni wakati muafaka sasa nchi za Afrika kuunganisha nguvu ili kupambana na nguvu za mabeberu.

Hivyo CCM inaweka msimamo wa Diplomasia ya kimataifa kuhusu Zimbabwe na inataraji itaungwa mkono na vyama vyote vya kizalendo Afrika.

Source Channel ten mubashara!
Mbona tumewateleza wana wa Sahara ya Magharibi inayokariwa kinyama na Morocco?
Tumeuza utu wetu kwa msaada wa kiwanja cha mpira na Msikiti kwa hisani ya Mfalme wa Morocco.
Shame on us!
 
Mimi niliwadharau sana umoja wa Africa pale ghadafi alipokuwa akipigwa walikaa kimya wakichungulia madirishani Ghadafi anauliwa ni umoja wa kinafiki sana hali Ghadafi kausaidia sana umoja wa Africa.Umoja wa Africa ni sawa na umoja wa kukutana kula na kunywa pamoja labda.Wangesimama imara wakaitisha kikao cha dharura kwamba mkitia tu miguu yenu Libya tunazifurusha balozi zenu zote Africa ndani ya masaa 12 walai Ghadafi asingepigwa beberu angegwaya,hatuna umoja wa Africa labda umoja wa kukutana kula na kunywa.
 
hahahahahahaha Manguraaaa unajitutumia katikakati ya vurugu za vikwazo vya kiuchumi zilizotapaaa duniani nzima, what can you do mangura, Tanzania haiwezi hata kuisunction Zanzibar wewe unatishia dunia nzima.

uzee mbaya.
 
Ccm wanatupeleka pabaya hao Iran,north korea ,Syria etc ambao angalau wanakauwezo wanapata tabu na mabeberu sasa sie ambao bajeti yenyew mabeberu ndio twategemea sijui wakituekea vikwazo itakuaje tusijifanye wajuaji sana kwa waliotutangulia
 
Kwanini mataifa yote msiungane kuondoa madikteta Afrika?

Hii ni mwendelezo wa unafiki nchi hii ambayo inakuwa engineered na CCM
 
Ccm wanatupeleka pabaya hao Iran,north korea ,Syria etc ambao angalau wanakauwezo wanapata tabu na mabeberu sasa sie ambao bajeti yenyew mabeberu ndio twategemea sijui wakituekea vikwazo itakuaje tusijifanye wajuaji sana kwa waliotutangulia
Beberu akiacha kutusaidia kondomu tu lzm tupukutike,sema wameumbwa na mioyo tofauti sawa mtoto amtukanaye mzazi wake amlipiae ada ajui alitendalo
 
Ccm wanatupeleka pabaya hao Iran,north korea ,Syria etc ambao angalau wanakauwezo wanapata tabu na mabeberu sasa sie ambao bajeti yenyew mabeberu ndio twategemea sijui wakituekea vikwazo itakuaje tusijifanye wajuaji sana kwa waliotutangulia
Wewe utakuwa unatokea Ufipa!
 
Back
Top Bottom