Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 832
- 770
Duuuh Watu mnakumbuka historiaMzee siku hizi kushwinei... hata demekorasia ikibakwa hawezi kukemea... kutokana na misimamo yake huko nyuama... anamaliza uzee vibaya! Tangu alipobanwa na wanamatandao akaenda kulima viazi Njombe... then akarudishwa amekuwa mwepesi kama mabua ya mpunga!
Kuna tusi lolote hapo?Usipende kumtukana mtu bila.sababu huko ni kulekewa vibaya hebu kuwa na heshima
Hivi Mangula ana miaka mingapi sasa ?Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA ataongea na umma juu ya msimamo wa chama na diplomasia ya kimataifa kutokea Ofisi ndogo za CCM - Lumumba.
Saa ngapi?Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA ataongea na umma juu ya msimamo wa chama na diplomasia ya kimataifa kutokea Ofisi ndogo za CCM - Lumumba.
Mangula anajimwambafai!Heheheh nikadhani AU ndiyo imeongea kumbe ccm
Wewe unamawazo ya mzururajiHeheheh nikadhani AU ndiyo imeongea kumbe ccm
Ana mawazo ya kizamani kwenye ulimwengu wa sasa afiti.Unamponda beberu wakati huo unataka aondoe vikwazo.Kama tunawezaishi bila mabeberu vikwazo vyao vinazuia vipi kujiletea maendeleo.Kusema vikwazo maana yake huwezi ishi bila waomangula amekunywa pombe gani leo?
Mbona tumewateleza wana wa Sahara ya Magharibi inayokariwa kinyama na Morocco?Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Phillip Mangula amesema CCM inataka kuyaona mataifa yaliyoiwekea Zimbabwe vikwazo yanaviondoa mara moja.
Mzee Mangula amesema ni wakati muafaka sasa nchi za Afrika kuunganisha nguvu ili kupambana na nguvu za mabeberu.
Hivyo CCM inaweka msimamo wa Diplomasia ya kimataifa kuhusu Zimbabwe na inataraji itaungwa mkono na vyama vyote vya kizalendo Afrika.
Source Channel ten mubashara!
Beberu akiacha kutusaidia kondomu tu lzm tupukutike,sema wameumbwa na mioyo tofauti sawa mtoto amtukanaye mzazi wake amlipiae ada ajui alitendaloCcm wanatupeleka pabaya hao Iran,north korea ,Syria etc ambao angalau wanakauwezo wanapata tabu na mabeberu sasa sie ambao bajeti yenyew mabeberu ndio twategemea sijui wakituekea vikwazo itakuaje tusijifanye wajuaji sana kwa waliotutangulia
Wewe utakuwa unatokea Ufipa!Ccm wanatupeleka pabaya hao Iran,north korea ,Syria etc ambao angalau wanakauwezo wanapata tabu na mabeberu sasa sie ambao bajeti yenyew mabeberu ndio twategemea sijui wakituekea vikwazo itakuaje tusijifanye wajuaji sana kwa waliotutangulia