Muuaji wa Gadafi hakuwa mwingine bali Nicolas Sarkozy wa Ufaransa akiwa Rais wakati huo.Mimi niliwadharau sana umoja wa Africa pale ghadafi alipokuwa akipigwa walikaa kimya wakichungulia madirishani Ghadafi anauliwa ni umoja wa kinafiki sana hali Ghadafi kausaidia sana umoja wa Africa.Umoja wa Africa ni sawa na umoja wa kukutana kula na kunywa pamoja labda.Wangesimama imara wakaitisha kikao cha dharura kwamba mkitia tu miguu yenu Libya tunazifurusha balozi zenu zote Africa ndani ya masaa 12 walai Ghadafi asingepigwa beberu angegwaya,hatuna umoja wa Africa labda umoja wa kukutana kula na kunywa.
Unachotumia wewe!CCM huwa wanafikiria kwa kutumia kiungo gani[emoji849]
Mkuu hawa viongozi sijuwi wakoje.Unaweka mkwara wa kutaka uondolewe vikwazo?.Mimi nilifikiri mkwara wake ungelenga kuondokana na utegemezi.TUNAHITAJI UONGOZI MBADALA.Hawa waliopo wameishiwa PUMZI.Ana mawazo ya kizamani kwenye ulimwengu wa sasa afiti.Unamponda beberu wakati huo unataka aondoe vikwazo.Kama tunawezaishi bila mabeberu vikwazo vyao vinazuia vipi kujiletea maendeleo.Kusema vikwazo maana yake huwezi ishi bila wao
Ni udhihirisho wanawahitaji mabeberu japo wanawaponda majukwaani.Mkuu hawa voingozi sijuwi wakoje.Unaweka mkwara wa kutaka uondolewe vikwazo?.Mimi nilifikiri mkwara wake ungelenga kuondokana na utegemezi.TUNAHITAJI UONGOZI MBADALA.Hawa waliopo wameishiwa PUMZI.
R.I.P Mzee Kingunge.
Eti uyaondoe mara moja najiwazia kwa sauti wamesikia ?au hata wakimsikia wasipotekeleza utawafanyaje kwa mfano.Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Phillip Mangula amesema CCM inataka kuyaona mataifa yaliyoiwekea Zimbabwe vikwazo yanaviondoa mara moja.
Mzee Mangula amesema ni wakati muafaka sasa nchi za Afrika kuunganisha nguvu ili kupambana na nguvu za mabeberu.
Hivyo CCM inaweka msimamo wa Diplomasia ya kimataifa kuhusu Zimbabwe na inataraji itaungwa mkono na vyama vyote vya kizalendo Afrika.
Source Channel ten mubashara!
Na nyie muache kuwasahau watu mpaka wanajiuliza Bwana misosi nitoke vipiMangula anajimwambafai!
Nyie mnaramba miguu ya mabeberu weupe!mabeberu weusi wanateteana.