CCM: Tunayataka mataifa yote duniani yaliyoiwekea vikwazo nchi ya Zimbabwe kuondoa vikwazo hivyo mara moja

Hao jamaa wana mioyo ya pekee ingekuwa ni sie waafrika tusingesitisha kuwasaidia kwa roho zetu mbaya.Unamuita MTU anaesaidia bajeti yako beberu hali kila kitu unategemea toka kwake.
Mkapa, Mwinyi, Kikwete HAWAKUWAHI KUITA WATU HIVYO.
Ni ushamba flani umeibuka juzi juzi ila hayo hayi unayakuta yamejazana ubalozi wa marekani wakiomba viza, teaan mpaka yanakata rufaa yanaponyimwa.
 
Mkapa, Mwinyi, Kikwete HAWAKUWAHI KUITA WATU HIVYO.
Ni ushamba flani umeibuka juzi juzi ila hayo hayi unayakuta yamejazana ubalozi wa marekani wakiomba viza, teaan mpaka yanakata rufaa yanaponyimwa.
Dunia twaishi kwa kutegemeana,nadhani mabeberu wangewafurusha na kuwanyima viza watoto wasomao huko,na kurudisha nchini pesa walizoficha huko ili twende sawa,kutwa kuwananga mabeberu hali wakiugua ukimbilia kwa mabeberu, watoto zao wamejaa huko kwa kodi zetu
 
Hongera Sana comrade Mangula
 
Zimbabwe inavikwazo gani? Mbona atcl unaenda Harare kila siku
 
Mangula alipaswa kuwaambia Zimbabwe wapambane na hali zao,mabeberu hawana tija.

Asante.
 
Zimbabwe inavikwazo gani? Mbona atcl unaenda Harare kila siku
Wa kushirikiana na mabeberu, Mugabe anawaponda mabeberu hali kajenga hekalu uingereza,viongozi wetu walituimbisha ujamaa hali awakuishi kijamaa.Viongozi wa kiafrica ujitekenya wenyewe,wanawaponda mabeberu hali kutwa kucha wako milangoni mwa mabeberu kuomba viza watoto wanasoma ulaya.
 
Hawa wazee ni wasanii sana.

Enzi zile Makamba anapiga kelele, watu wanacheka naye wakimuona hamnazo kumbe ana watoto wake wanasoma nje waje wawatawale baadae. Leo huyu Mangula sijui anatuambia nini?

Kuna siku nilimuona Lipumba airport akimsindikiza nadhani binti yake nikajisikia kuwaonea huruma tu Watanzania.
 
Kuna siku tulikemea uonevu wa Israeli kwa Parestina ... Waziri Mkuu wa Islaeli wakati huo Netanyahu akasema Tanzania ndiyo nini? (what is Tanzania?)....Yaani hajui kama ni nchi ama aina ya chungwa, nyanya au bucha.
Hahahahahahahah!!!! Tanzania inafahamika East Africa pekee lakini tunajidanganya kwamba tunatambulika dunia nzima. Nilimuona kabudi full kujimwambafai na kummwambafai jiwe siku ile anahutubia UN, alikuwa aki-imagine ni mkutano wa uvccm
 
Mficha maradhi kifo humuumbua, kufichaficha ndio wanajiona wajanja.Diversion at work.
 
AU siku hizi ni kama pale wazee wanapokutana Ilala!
 
Unataka vikwazo viondolewe Zimbabwe wakati ni kama na nyie mnakabiliana na vikwazo ?!. Ccm mna uwehu wa kudhani kuna mtu anawajali nje ya Tanzania !!. Hata hapa Tz ni kwa vile mnalazimisha vyombo vya dola kuwasaidia. Hakika nobody cares
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…