MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.
Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu mtu ametondoa mwenye historia za siasa za nchi hii. Huyu Lissu anabebwa na Mungu Muumba kama kweli ndani yetu kuna mtu ana dini.
Alisema rafiki yangu Robert Heriel kwamba nabii Mussa, Mfalme Daudi na Yessu walishinda vita si kwa nguvu zao, ni kwakua walikua na nguvu za ziada kutoka kwa Mungu. Tusimpuuze Lissu kuna kitu ndani yake, ayakaemgusa au kumkaribia huyu kiumbe huenda ndio tukalipoteza taifa letu mapema.