Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waseyempenda kaja,wakubaliana na hali zao.Mh.Lissu hazuiliki kwa nguvu za kibinadamu.Mungu ametuletea Mkombozi wa kurejesha Tanzania kwenye misingi yake ambayo ni Haki,Usawa,Uhuru na Umoja.Hakika maendeleo endelevu yatapatikana kwa Watanzania wote bila Ubaguzi au Vikwazo vinavyoepukika.Mkuu usiwaamshe we acha waendelee kutembelea nyota ya mazoea! Lissu anakuja na mahitaji ya wakati!
Tangu lini ulikuwa CHAUMA, NCCR, au ACT ? Kama ulihama kwenye nunuanunua sijui lkn hukuwa unauzikaJapokuwa Mimi sio shabiki wa Chadema lakini mwaka huu tarehe 28 /10/2020. Dolegumba litakuwa limempigia kura Ni yeye Lissu . Vote for Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
... hivi Samia kapotelea wapi. Muda sasa sijasikia habari zake.Kupona kwa Lissu kwa zile 16 bullets ni unabii. Huwezi kupona wewe hata iweje ni lazima ufe tu.. sasa subirini muone muujiza wa Mungu... ndipo mtatia heshima.
Kheri yetu sisi tuliotambua kwamba huu ni unabii mapema kabisa!! He has a spiritual power within !!
Tangu lini ccm wakawa na masikioNataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.
Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu mtu ametondoa mwenye historia za siasa za nchi hii. Huyu Lissu anabebwa na Mungu Muumba kama kweli ndani yetu kuna mtu ana dini.
Alisema rafiki yangu Robert Heriel kwamba nabii Mussa, Mfalme Daudi na Yessu walishinda vita si kwa nguvu zao, ni kwakua walikua na nguvu za ziada kutoka kwa Mungu. Tusimpuuze Lissu kuna kitu ndani yake, ayakaemgusa au kumkaribia huyu kiumbe huenda ndio tukalipoteza taifa letu mapema.
Mkuu kuna sgr inatoka dar mpaka kapirimposhi?CCM wamesahau kilicho mtoa Rais Kaunda wa zambia madarakani pamoja na kwamba Rais Kaunda aliwajengea SGR kutoka dar Hadi Kamprimposhi zambia,pamoja na kwamba aliwaletea Uhuru zambia.
TAZARA ni SGRMkuu kuna sgr inatoka dar mpaka kapirimposhi?
wewe kupapaswa makalio ni jadi yako janeAliyempiga naye alikuwa hajui shabaha tu, akaishia kumparazaparaza kwenye makalio
Aisee .. wewe unaongea Kama sio Binadamu ...laana ipo mlangoni kwako!Aliyempiga naye alikuwa hajui shabaha tu, akaishia kumparazaparaza kwenye makalio
Mmmh tazara ni cape gauge... Muwe mnasoma japo kidogo kujihakikishia ndo muandike... Na hili ulimsikia lisu akisema naww umeweka hivyo hivyo... Google mkuu usome...TAZARA ni SGR
Kila Manzania anashuhudia Matendo Makuu ya Mungu wetu,wengi hufariki kwa risasi moja/hata ya bastola.Mh Lissu kanusurika kwa risasi zaidi ya 16 na baadhi ya vipande vyake bado vipi mwilini mwake.Kupona kwa Lissu kwa zile 16 bullets ni unabii. Huwezi kupona wewe hata iweje ni lazima ufe tu.. sasa subirini muone muujiza wa Mungu... ndipo mtatia heshima.
Kheri yetu sisi tuliotambua kwamba huu ni unabii mapema kabisa!! He has a spiritual power within !!
Upinzani ulishakufaga tangu Mzee alivyowakimbia UKAWA
Mwenye Mungu ana vyoteNataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.
Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu mtu ametondoa mwenye historia za siasa za nchi hii. Huyu Lissu anabebwa na Mungu Muumba kama kweli ndani yetu kuna mtu ana dini.
Alisema rafiki yangu Robert Heriel kwamba nabii Mussa, Mfalme Daudi na Yessu walishinda vita si kwa nguvu zao, ni kwakua walikua na nguvu za ziada kutoka kwa Mungu. Tusimpuuze Lissu kuna kitu ndani yake, ayakaemgusa au kumkaribia huyu kiumbe huenda ndio tukalipoteza taifa letu mapema.
...ayakaemgusa au kumkaribia huyu kiumbe huenda ndio tukalipoteza taifa letu mapema.
Unawahubiria mambo ya Mungu watu wanaotegemea nguvu za giza? Angalia Comments za baadhi ya wana CCM ndo utagundua wana highest degree ya Roho mbaya na ushirikinaKila Manzania anashuhudia Matendo Makuu ya Mungu wetu,wengi hufariki kwa risasi moja/hata ya bastola.Mh Lissu kanusurika kwa risasi zaidi ya 16 na baadhi ya vipande vyake bado vipi mwilini mwake.
Wasioona Rohoni wanashindwa kusoma maandishi ukutani na kutafsiri njozi/ndoto.Huu wa Lissu ulikuwa muujiza rahisi kuwabadili hawa majambazi lakini wameshupaza shingo zao.Hawana jinsi tena isipokuwa kulinywa togwa lao.
Aliyempiga nani tuanzie na hapo ndio mjue Mungu ni wa wote na hajawahi kuchoka wala kushindwa Lissu anasimama kuonyesha Utukufu wa Mungu wewe ni nani hata upinge!?Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.
Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu mtu ametondoa mwenye historia za siasa za nchi hii. Huyu Lissu anabebwa na Mungu Muumba kama kweli ndani yetu kuna mtu ana dini.
Alisema rafiki yangu Robert Heriel kwamba nabii Mussa, Mfalme Daudi na Yessu walishinda vita si kwa nguvu zao, ni kwakua walikua na nguvu za ziada kutoka kwa Mungu. Tusimpuuze Lissu kuna kitu ndani yake, ayakaemgusa au kumkaribia huyu kiumbe huenda ndio tukalipoteza taifa letu mapema.
Usipaniki mkuu, tulia daktari achomoe sindano polepoleAnafanya kampeni za nini sasa?
Si akae tu nyumbani unabii utimie wenyewe!
hoja mlenda mlendaNataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.