Uchaguzi 2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

Uchaguzi 2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

Subirini wiki mbili za mwisho wa October, PANDORA BOX litafunguliwa lenye nyeti za mgombea wengi watu lazima wajue INTEGRITY ya boss wenu siyo kuongopea anataka kuwa rais wakati makando kando kibao. Hiyo inaitwa niguse NINUKE. Hao walioko nyuma yake wajiandae kumsafisha. Maendeleo hayana chama
 
tatizo amekuwa muongo muongo sana hebu sikiliza hii
Aneyebebwa na Mungu huwa siyo mwongo na mropokaji; huwa ni mtu makini sana na msema kweli tupu. Lisu hawezi kusimamama akahutubia dakika kumi bila kuweka sentensi yenye uwongo.
 
Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.

Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu mtu ametondoa mwenye historia za siasa za nchi hii. Huyu Lissu anabebwa na Mungu Muumba kama kweli ndani yetu kuna mtu ana dini.

Alisema rafiki yangu Robert Heriel kwamba nabii Mussa, Mfalme Daudi na Yessu walishinda vita si kwa nguvu zao, ni kwakua walikua na nguvu za ziada kutoka kwa Mungu. Tusimpuuze Lissu kuna kitu ndani yake, ayakaemgusa au kumkaribia huyu kiumbe huenda ndio tukalipoteza taifa letu mapema.
Asante kuliona hili mwanachama mwenzangu useye pepesa macho. Lisu ni mpango wa Mungu anayebisha abishe kwani muda unazidi kusonga mbele tutaendelea kuyaona.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
CCM wanasahau kuwa

Kila aliyemuombea Lissu dua kimoyomoyo ili asife kutokana na ile kadhia na apone huenda atampa kura yake.

Sasa utaachaje kumpa kura mtu ambaye uwepo wake hai leo ni ushuhuda wa ujibiwaji wa maombi yako na muujiza wa dhahiri wa uponyaji wa Mungu?

Na kila aliyetoa senti kumchangia Lissu ili akatibiwe, naye ni potential mpiga kura wake, maana mtu akipanda mbegu shambani hutaka kuipalilia ikue na itoe na ayashuhudie matunda yake.
Mm ni mwanaccm kusema kweli Lisu nimwombea sana.Mungu azidi kumpa uzima na roho ya kusahe. Amina

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
CCM wanasahau kuwa

Kila aliyemuombea Lissu dua kimoyomoyo ili asife kutokana na ile kadhia na apone huenda atampa kura yake.

Sasa utaachaje kumpa kura mtu ambaye uwepo wake hai leo ni ushuhuda wa ujibiwaji wa maombi yako na muujiza wa dhahiri wa uponyaji wa Mungu?

Na kila aliyetoa senti kumchangia Lissu ili akatibiwe, naye ni potential mpiga kura wake, maana mtu akipanda mbegu shambani hutaka kuipalilia ikue na itoe na ayashuhudie matunda yake.
Samia, Majaliwa watampa lissu
 
Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.

Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu mtu ametondoa mwenye historia za siasa za nchi hii. Huyu Lissu anabebwa na Mungu Muumba kama kweli ndani yetu kuna mtu ana dini.

Alisema rafiki yangu Robert Heriel kwamba nabii Mussa, Mfalme Daudi na Yessu walishinda vita si kwa nguvu zao, ni kwakua walikua na nguvu za ziada kutoka kwa Mungu. Tusimpuuze Lissu kuna kitu ndani yake, ayakaemgusa au kumkaribia huyu kiumbe huenda ndio tukalipoteza taifa letu mapema.
Ameeeen

Hakika Tundu Lissu atashinda..hilo halina mpinzani..mbeba maono hafi
 
internal documents znatambua ccm itakua madarakani mpaka 2100, according na mahojiano ya polepole na timefm,
 
nasubiria tarehe 23 mafile yatolewe tujue nje ndan ya lissu, na yale mawasiliano walikua wanafanya yawekwe hadharani,
 
CCM wasimdharau Lissu, kwanza mwongeaji mwenye ushawishi na maneno mengi. Asiyechoka na anakidhi shauku ya wananchi tofauti kabisa na Lowassa anayesema tu hapo vipi, watatuweza? 2015
Hivyo wawe makini.
 
Upinzani ulishakufa, sasa mnahangaika na wafu/ mfu wa kazi gani? Si mkazike tu? Ni ajabu sana!
 
tatizo amekuwa muongo muongo sana hebu sikiliza hii

Lissu anazungumzia Mikataba ya ununuzi ,wewe umeweka Taarifa ya kujulishwa kutengwa kwa kiasi kadhaa cha Pesa.Mikataba ndio mpango mzima.
 
Hujafahamu anachosema TL au wajitoa mshipa wa fahamu?? Mwaka huu mtateseka sana
Mkurugenz habari maelezo katoa ufafanuz lkn hakuna kilichojibiwa
Katibu Mkuu wizara ya Fedha katoa ufafanuz hakuna alichoeleza
Polepole kaja kusema Kama kawaida yake porojo na matusi
Kesho mtampanga nani??
Kazi mnayo mwaka huu

Usipoteze, sio kwamba aelewi, Hata ki kuelewa
 
Screenshot_20200925-223130.png
ccm wamechanganyikiwa kweli na bado?
 
Subirini wiki mbili za mwisho wa October, PANDORA BOX litafunguliwa lenye nyeti za mgombea wengi watu lazima wajue INTEGRITY ya boss wenu siyo kuongopea anataka kuwa rais wakati makando kando kibao. Hiyo inaitwa niguse NINUKE. Hao walioko nyuma yake wajiandae kumsafisha. Maendeleo hayana chama
Wewe Lu-ma-ga, unanifurahisha sana. Kama kuna nyeti zitafunguliwa, atakayebaki uchi anajulikana. Sidhani kama unajua maana ya PANDORA BOX lakini ngoja nikupe benefit of doubt. Mzee anachokozwa ajaribu tu kuingia huko aone muziki wake lakini mpaka sasa anasita, unajua kwa nini?

Labda huwajui wanaomuunga Mh. Tundu Antiphas Lisu (wengine wao ni wabeba mikoba), lakini mpelekee ujumbe aliyekutuma kwamba akiingia huko, atakuwa kama vile kagusa nyaya za umeme na shoti atakayopata mmh!

Kikulacho kiko nguoni mwako!
 
Kuna mwanamuziki wa Reggae huko Toronto Canada anaitwa Jamal , kapigwa Risasi 30 lakini hajagombea Nafasi yeyote ya Uongozi ,
 
Back
Top Bottom