Uchaguzi 2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

Mkuu MAHANJU inawezekana usieleweke kwa mada hii ila ni ukweli mtupu kuwa nguvu ile iliyomwokoa Tundu Lissu na mauti siyo ya kuibeza hata kidogo.....maana nguvu ile haitaishia kumponya tu bali inalenga kufanya kuwa kiongozi mkubwa hapa nchini.
 
sio bure ndani ya Lissu kuna dark matter na dark energy ccm mkitaka kumpoteza mtapotezwa nyie kwenye uso wa dunia.
 
Mkuu usiwaamshe we acha waendelee kutembelea nyota ya mazoea! Lissu anakuja na mahitaji ya wakati!
Waseyempenda kaja,wakubaliana na hali zao.Mh.Lissu hazuiliki kwa nguvu za kibinadamu.Mungu ametuletea Mkombozi wa kurejesha Tanzania kwenye misingi yake ambayo ni Haki,Usawa,Uhuru na Umoja.Hakika maendeleo endelevu yatapatikana kwa Watanzania wote bila Ubaguzi au Vikwazo vinavyoepukika.
Twendeni na Lissu,tuchague Wabunge,Wawakilishi na Madiwani tunaowaamini bila kujalisha vyama vyao.Hata kama ni CCM, kama anafaa tumchague,tulinde kura zetu hadi mwisho waliochaguliwa tu ndiyo watangazwe.Hilo ni jukumu LA kila mwenye sifa za kupiga kura.
 
... hivi Samia kapotelea wapi. Muda sasa sijasikia habari zake.
 
Tangu lini ccm wakawa na masikio
 
CCM wamesahau kilicho mtoa Rais Kaunda wa zambia madarakani pamoja na kwamba Rais Kaunda aliwajengea SGR kutoka dar Hadi Kamprimposhi zambia,pamoja na kwamba aliwaletea Uhuru zambia.
Mkuu kuna sgr inatoka dar mpaka kapirimposhi?
 
Kila Manzania anashuhudia Matendo Makuu ya Mungu wetu,wengi hufariki kwa risasi moja/hata ya bastola.Mh Lissu kanusurika kwa risasi zaidi ya 16 na baadhi ya vipande vyake bado vipi mwilini mwake.
Wasioona Rohoni wanashindwa kusoma maandishi ukutani na kutafsiri njozi/ndoto.Huu wa Lissu ulikuwa muujiza rahisi kuwabadili hawa majambazi lakini wameshupaza shingo zao.Hawana jinsi tena isipokuwa kulinywa togwa lao.
 
Wewe ni binti wa mzee yule asiyejua kuongea, ni halali yako kuongea hvyo maani ni watoto mnaofuliwa hadi chupi lazima uringe huna shida yaani unasema aliparazwa matako ulaaniwe wewe!
Upinzani ulishakufaga tangu Mzee alivyowakimbia UKAWA
 
Mwenye Mungu ana vyote
 
Unawahubiria mambo ya Mungu watu wanaotegemea nguvu za giza? Angalia Comments za baadhi ya wana CCM ndo utagundua wana highest degree ya Roho mbaya na ushirikina
 
Aliyempiga nani tuanzie na hapo ndio mjue Mungu ni wa wote na hajawahi kuchoka wala kushindwa Lissu anasimama kuonyesha Utukufu wa Mungu wewe ni nani hata upinge!?

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
hoja mlenda mlenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…