Aneyebebwa na Mungu huwa siyo mwongo na mropokaji; huwa ni mtu makini sana na msema kweli tupu. Lisu hawezi kusimamama akahutubia dakika kumi bila kuweka sentensi yenye uwongo.tatizo amekuwa muongo muongo sana hebu sikiliza hii
Asante kuliona hili mwanachama mwenzangu useye pepesa macho. Lisu ni mpango wa Mungu anayebisha abishe kwani muda unazidi kusonga mbele tutaendelea kuyaona.Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.
Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu mtu ametondoa mwenye historia za siasa za nchi hii. Huyu Lissu anabebwa na Mungu Muumba kama kweli ndani yetu kuna mtu ana dini.
Alisema rafiki yangu Robert Heriel kwamba nabii Mussa, Mfalme Daudi na Yessu walishinda vita si kwa nguvu zao, ni kwakua walikua na nguvu za ziada kutoka kwa Mungu. Tusimpuuze Lissu kuna kitu ndani yake, ayakaemgusa au kumkaribia huyu kiumbe huenda ndio tukalipoteza taifa letu mapema.
Mm ni mwanaccm kusema kweli Lisu nimwombea sana.Mungu azidi kumpa uzima na roho ya kusahe. AminaCCM wanasahau kuwa
Kila aliyemuombea Lissu dua kimoyomoyo ili asife kutokana na ile kadhia na apone huenda atampa kura yake.
Sasa utaachaje kumpa kura mtu ambaye uwepo wake hai leo ni ushuhuda wa ujibiwaji wa maombi yako na muujiza wa dhahiri wa uponyaji wa Mungu?
Na kila aliyetoa senti kumchangia Lissu ili akatibiwe, naye ni potential mpiga kura wake, maana mtu akipanda mbegu shambani hutaka kuipalilia ikue na itoe na ayashuhudie matunda yake.
Samia, Majaliwa watampa lissuCCM wanasahau kuwa
Kila aliyemuombea Lissu dua kimoyomoyo ili asife kutokana na ile kadhia na apone huenda atampa kura yake.
Sasa utaachaje kumpa kura mtu ambaye uwepo wake hai leo ni ushuhuda wa ujibiwaji wa maombi yako na muujiza wa dhahiri wa uponyaji wa Mungu?
Na kila aliyetoa senti kumchangia Lissu ili akatibiwe, naye ni potential mpiga kura wake, maana mtu akipanda mbegu shambani hutaka kuipalilia ikue na itoe na ayashuhudie matunda yake.
AmeeeenNataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.
Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu mtu ametondoa mwenye historia za siasa za nchi hii. Huyu Lissu anabebwa na Mungu Muumba kama kweli ndani yetu kuna mtu ana dini.
Alisema rafiki yangu Robert Heriel kwamba nabii Mussa, Mfalme Daudi na Yessu walishinda vita si kwa nguvu zao, ni kwakua walikua na nguvu za ziada kutoka kwa Mungu. Tusimpuuze Lissu kuna kitu ndani yake, ayakaemgusa au kumkaribia huyu kiumbe huenda ndio tukalipoteza taifa letu mapema.
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikonotatizo amekuwa muongo muongo sana hebu sikiliza hii
Check full video.tatizo amekuwa muongo muongo sana hebu sikiliza hii
tatizo amekuwa muongo muongo sana hebu sikiliza hii
Hujafahamu anachosema TL au wajitoa mshipa wa fahamu?? Mwaka huu mtateseka sana
Mkurugenz habari maelezo katoa ufafanuz lkn hakuna kilichojibiwa
Katibu Mkuu wizara ya Fedha katoa ufafanuz hakuna alichoeleza
Polepole kaja kusema Kama kawaida yake porojo na matusi
Kesho mtampanga nani??
Kazi mnayo mwaka huu
Wewe Lu-ma-ga, unanifurahisha sana. Kama kuna nyeti zitafunguliwa, atakayebaki uchi anajulikana. Sidhani kama unajua maana ya PANDORA BOX lakini ngoja nikupe benefit of doubt. Mzee anachokozwa ajaribu tu kuingia huko aone muziki wake lakini mpaka sasa anasita, unajua kwa nini?Subirini wiki mbili za mwisho wa October, PANDORA BOX litafunguliwa lenye nyeti za mgombea wengi watu lazima wajue INTEGRITY ya boss wenu siyo kuongopea anataka kuwa rais wakati makando kando kibao. Hiyo inaitwa niguse NINUKE. Hao walioko nyuma yake wajiandae kumsafisha. Maendeleo hayana chama
Hapana unakosea. Mzee karudi nyumbani alikolishwa sumu kwenda kutapishwa au akawafie waliomlisha sumu. Muulize vizuri atakuambia.Upinzani ulishakufaga tangu Mzee alivyowakimbia UKAWA
Upinzani ulishakufaga tangu Mzee alivyowakimbia UKAWA