Uchaguzi 2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

"Ukienda kushoto,ukaenda kulia:kipengele cha kumtangaza mshindi bado wabunge wamekisahau kukifanyia mapitio.
"MSHINDI NI MGOMBEA ALIYETANGAZWA,na wala SIO ALIYEPATA KURA NYINGI"
Ni na maana kuwa uhuru na haki kwa mpiga kura na mgombea katika nafasi ya uongozi utata upo katika maneno yenye herufi kubwa!!
 

Huyo mwenezi wenu hivi ni kabila gani samahani lakini
 
Ni aghalabu,, aghalabu sana kiasi sina mfano kama ushahidi. ni MUUJIZA.
Ila naamini pia kuwa huu muujiza haumaanishi urais
Urais utokane na sera zake na yaliyo ndani ya moyo wake.

Pengine muujiza umetendeka kwake ili aje ashuhudie binadamu kuwa Mungu anaweza amua lolote alitakalo kuwa na likawa.
 
MAHANJU NI WEWE KWELI AU MWINGINE? NYIE SI NDIO MLITUDHAMBULIA HUMU HADI TUKAZIBA MASIKIO?
 
Katika historia ya Tanzania ndiyo tuna upinzani wenye nguvu kuwahi kutokea
Sahihi. Kuna jamaa zako Lumumba bado wanapinga unajua kama ningekuwa sina muda mrefu humu ningesema wewe ni Bavicha uliyejivisha uccm lakini nakujua vizuri kitambo sana. Ndege John, Imhotep? John the baptist? Britanicca wote wameshabwaga manyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…