CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
 
Mikataba iliyosainiwa ni mingi mno ya Barabara ila hakuna ujenzi unaoendelea!

Wabunge 2025 mmejiandaa vipi kujibu maswali ya wananchi wakati wa kuomba kura?

Mitano Tena mtamuuzaje ili akubalike?
 
Professor tapeli
 
Back
Top Bottom