ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wapi huko ujenzi hauendelei?Mikataba iliyosainiwa ni mingi mno ya Barabara ila hakuna ujenzi unaoendelea!
Wabunge 2025 mmejiandaa vipi kujibu maswali ya wananchi wakati wa kuomba kura?
Mitano Tena mtamuuzaje ili akubalike?