Serikali imeanza usanifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya lami itayounganisha Mikoa ya Simiyu, Singida, Manyara na Arusha ili kupunguza umbali wa safari uliopo sasa. Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa amesema barabara inayoanzia Meatu kupitia daraja la Sibiti hadi Singida, Hanang...