CCM Vipande vipande, waliotuhumiwa kuuza madawa ya kulevya awamu ya 5 wapanga kujiuzulu

Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Sio kwa maccm haya!
 
Watu adui zako wanapata cheo. It's an every day thing. Kwa nini ujiuzulu?
Rais anapowapa wale watu vyei hakuulizi wewe maoni yako.
Hakuna ushahidi kwamba Makonda alimsingizia mtu yeyote. Makonda mwenyewe alisema alipoulizwa,mbona umeiacha hii kampeni dhidi ya madawa ya kulevya; Ah,bwana,wanasema niache,wanasema inaleta taharuki. "Huwezi hata kuamini ni nani wanaowafadhili hao watu"
Isipokuwa tu Makonda alipata matatizo mahakamani alipotaka kuwasaidia makahaba waliotelekezwa na watoto.
Nimemsikia dereva mmoja wa daladala(Musoma) anazungumza juzi.
Anasema,"Basi,bwana,wake wanawake wakaenda mahakamani kulalamika. Wakaitwa wazazi wa wale wanawake. Wakaulizwa mnawafahamu hawa jamaa wanaolalamikiwa? Wakasema hatujawaona hata siku moja. Basi,anasema,mahakama ikaamua,hayo mambo hayahusu mahakama,transactions za watu wanazofanya mitaani bila kuwashirikisha wazazi.
😆😆😆
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Kucheleeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...!.
Sijui watu mnapata faida gani kuzua uongo, fitna na majungu?.
Hao waliotuhumiwa wasijiuzulu pale walipotuhumiwa waje wajiuzulu leo?!. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . na uendelee kuwapelekea moto hawa jamaa zetu, uzushi kama huu ni dalili ya panic!, kuna watu wanatafutana!, tena hizi ni ziara za kusalimia tuu!, zikianza amsha amsha za 2025, kuna upinzani wowote utatusua? . Uchaguzi wa 2025 ni kama 2020 enzi za JPM! kwasababu Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli hivyo walio relax wakijua yule Mwanamume chuma has left aliyepo ni Mwanamke, hivyo 2025 ni mserereko!, sasa mmletewa chuma cha pua!. Kazi kwenu!.

P
Pascal uko sahihi, Chadema sijui kwanini wakusikia Makonda wanapanic wanamuogopa ni JPM tu
 
Wako wengi sanaaa.....Mzee no 2 Chama...na wenhine wengi tuone Prince....na njaa zake kama atatoka maana ajue hata ubunge ndio basi tenaaa.....milele amina ...tunasubiri
Huyo namba 2 tuhuma za unga hayumo
 
Naona mmeshindwa kuwatuliza Lissu na Mbowe wakae chungu kimoja mnaunga unga vistori vyenu

Makonda amewapelekea moto sana hizi week mpaka mmesahau operesheni changia mwenyekiti
Chadema ni Chama Makini. Umakini huo ndiyo uliowapelekea kumrdisha Mwendawazimu Konda Boy chamani eti ndiye anaewaweza Chadema.

Jiwe mwenyewe alinyoosha mikono kwa Chadema aje kuwa huyu Mpayukaji?? Aliwanunua kwa fedha na Vyeo Watendaji Wakuu Chadema lkn bado kikawa Imara kuliko Jana.

Kila wakati tunawaambia jitengeni na Vyombo vya Dola/ wekeni bunduki chini tupambaneni kwa HOJA.
 
Wanatakiwa wakijiuzulu na wafe kabisa wasiwepo itakuwa furaha sana...hao ndio mafisadi na wanaoshirikiana na wakwepa kodi..hii nchi imechoka umaskini kwasababu yao.
Kifo kipo sekunde moja tokea hapo ulipo,hakina mwenyewe.
 
Duh...!.
Sijui watu mnapata faida gani kuzua uongo, fitna na majungu?.
Hao waliotuhumiwa wasijiuzulu pale walipotuhumiwa waje wajiuzulu leo?!. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . na uendelee kuwapelekea moto hawa jamaa zetu, uzushi kama huu ni dalili ya panic!, kuna watu wanatafutana!, tena hizi ni ziara za kusalimia tuu!, zikianza amsha amsha za 2025, kuna upinzani wowote utatusua? . Uchaguzi wa 2025 ni kama 2020 enzi za JPM! kwasababu Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli hivyo walio relax wakijua yule Mwanamume chuma has left aliyepo ni Mwanamke, hivyo 2025 ni mserereko!, sasa mmletewa chuma cha pua!. Kazi kwenu!.

P
Musiba na sanaya wataziba gepu lao
 
Chadema bwana yao ndani na nje yamewashinda wanapiga majungu kwa CCM yani mna safari ndefu sana kushika Dola nchi hii msipobadilika

Awamu ya pili ya ziara ya Mwenezi Makonda ni nyanda za juu kusini jiandae kisaikolojia
 
Chadema ni Chama Makini. Umakini huo ndiyo uliowapelekea kumrdisha Mwendawazimu Konda Boy chamani eti ndiye anaewaweza Chadema.

Jiwe mwenyewe alinyoosha mikono kwa Chadema aje kuwa huyu Mpayukaji?? Aliwanunua kwa fedha na Vyeo Watendaji Wakuu Chadema lkn bado kikawa Imara kuliko Jana.

Kila wakati tunawaanbia jitengeni na Vyombo vya Dola/ wekeni bunduki chini tupambaneni kwa HOJA.
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Duh...!.
Sijui watu mnapata faida gani kuzua uongo, fitna na majungu?.
Hao waliotuhumiwa wasijiuzulu pale walipotuhumiwa waje wajiuzulu leo?!. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . na uendelee kuwapelekea moto hawa jamaa zetu, uzushi kama huu ni dalili ya panic!, kuna watu wanatafutana!, tena hizi ni ziara za kusalimia tuu!, zikianza amsha amsha za 2025, kuna upinzani wowote utatusua? . Uchaguzi wa 2025 ni kama 2020 enzi za JPM! kwasababu Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli hivyo walio relax wakijua yule Mwanamume chuma has left aliyepo ni Mwanamke, hivyo 2025 ni mserereko!, sasa mmletewa chuma cha pua!. Kazi kwenu!.

P
Vp Mkuu bado utachukua Form ya kuomba ridhaa ya CCM kuwa Mgombea wao wa Ubunge??? Huyu unaemsema hapa hata wewe mwenyewe unamfahamu fika kuwa hazimo. Ukimfuata sasa hivi ukamuuliza alichozungumza kule Kagera wala hakumbuki. Shida yako kubwa umeanza kuwa "CHAWA UZEENI "
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Ninakupongeza sana kwa kukipigania chama pendwa CCM na kutotaka mgawanyiko ndani ya chama. Huu uzi wako ni mzuri kwasababu unatukumbusha CCM kufuatilia hili suala kama lipo. Ndugu Erythrocyte kwa dhati kabisa nakushukuru kwa kukipigania Chama Cha Mapinduzi na kutaka kuona CCM imara.
 
Back
Top Bottom